Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Nkumbison unaiongelea dunia kama kakipande kadogo tu. Dhana ya dunia tambarare ilikuwa binadamu hajaweza kutembea nje ya bara moja kwenda mengine. Mwisho wa upeo wa macho yake ilikuwa ndio mwisho wa dunia kipindi hicho (kama Bushman alivyocheza kwenye the gods must be crazy). Kwa sasa binadamu katembea na kaweza kutafiti na kutengeneza vyombo mbalimbali vya kuweza kumsaidia kuona na kufika mbali zaidi hivyo kuweza kujua uhalisia wa kile kisichoweza kuonekana kwa macho ya kawaida.

Endelea kutafuta elimu zaidi maana naona hujaipata vizuri ipo siku utaelewa tu.

Kwa mtazamo wako huwezi kuelimika juu ya umbo la dunia kupitia hapa JF unahitaji kugharamika zaidi
 
Wabongo bana! Kwahiyo sayansi ina reality kwa kutudanganya kuwa twiga zamani alikuwa na shingo fupi, eti ilirefuka baada ya ukame kutokea hivyo katika kufanya jitihada za kutafuta Chakula yaani majani ya juu ya miti maana ya chini yalikuwa yamekauka ndo shingo zikarefuka hawa wanyama wengine kama swala, digidigi, n.k uvivu wao uliwabakiza hivyo hivyo! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ nimewanyanyulia mikono aiseh! Maana sio kwa hilo chaka!
 
Wanaficha ukweli ili iwasaidie nini? Na kama wakisema ukweli watapungukiwa nini?
 
Kila kitu ukikiangalia ukiwa mbali,uonekana kama duara tu.Lakini ukweli siyo duara.Dunia haijawahi kuwa duara.
 
Asante mkuu.Mimi sijawahi kukubaliana na dunia duara,maana kila kitu ukikiangalia ukiwa mbali uoneka duara wakati siyo kweli kuwa ni duara.
 
Hiyo sayansi ya hivyo ulijifunzia wapi ndugu?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Acheni kua vilaza pimbi nyie mnajazana ujinga tu,Toka lini Dunia ikawa flat?
Akili finyu kama mpo zama za Mawe za kati kama ingekua flat
Usiku na mchana ungetokeaje?
Ilikuaje Bara la America na Asia yakakutana Kwa umbali wa km 4 tu
Ncha ya Urusi na Alaska (USA)ambayo ipo Bara Amerika kaskazini?
Acheni viroja basi daaaa!
😁😁😁😁😁πŸ”₯
 
Dunia haijawahi kuwa duara. Na kama inazunguka kuna siku nasi tungejikuta russia huko au Cuba penginepo. Wametulisha sana matango pori. Eti inazunguka kwenye mhimili wake.
 
Vipi kuhusu sisi akina pit earthers maswali yetu yapo wapi!? Dunia ni shimo!
Haujakosea mkuu, Dunia ni shimo/Crater Earth ambayo imechimbuliwa madini na past civilizations.
Dunia haijawahi kuwa duara. Na kama inazunguka kuna siku nasi tungejikuta russia huko au Cuba penginepo. Wametulisha sana matango pori. Eti inazunguka kwenye mhimili wake.
Sababu kuu ya kudaganywa binadamu kuhusu Dunia kuwa duara ni Gani?
Najua ni ngumu kuamini muda huu wote ulidanganywa shuleni πŸ˜‚ Mwezi pia ni Holographic projection Yani kama vile projector
Kwanini tunapata usiku na mchana?
Jua inazunguka Dunia.
Wanaficha ukweli ili iwasaidie nini? Na kama wakisema ukweli watapungukiwa nini?
Ili usijue Historia ya binadamu ambayo hairuhusu kutawaliwa Kwa njia za kisasa haswa kiteknologia ambayo inafaa kuwa free ila tunauziwa na familia kadhaa kufaidika na kuishi maisha mema kabisa.

USA 1800s kuzifukua Reli! Je ni kina nani kaijenga hizi reli


Je milango na vitabu hivi vilikuwa vitumike na binadamu wa kima chetu?

 
Siri siri siri na wakigundua tu unataka waitoe watakuua kivyovyote hata kwa kansa .na kwa kuwa tamaduni nyingi si zao hawakubali yeyote azifufue ili kuleta ukombozi kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…