Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
uzi ufutwee ni wa upotoshaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalifahamu mkuu.Dunia ni duara USA imepakana na RUSSIA, JAPAN, China, korea kinacho watenganisha ni bahariView attachment 1700000
Vipi kuhusu sisi akina pit earthers maswali yetu yapo wapi!? Dunia ni shimo!Hili swali waliulizwa flat earthers
Wabongo bana! Kwahiyo sayansi ina reality kwa kutudanganya kuwa twiga zamani alikuwa na shingo fupi, eti ilirefuka baada ya ukame kutokea hivyo katika kufanya jitihada za kutafuta Chakula yaani majani ya juu ya miti maana ya chini yalikuwa yamekauka ndo shingo zikarefuka hawa wanyama wengine kama swala, digidigi, n.k uvivu wao uliwabakiza hivyo hivyo! 😂😂🙌🙌 nimewanyanyulia mikono aiseh! Maana sio kwa hilo chaka!ukishakua na akili mgando kwenye dini matokeo yake ndio hayaa............!! We binuka, jipinde, Science haidanganyii and u cant change reality.......... na ukwelii ni kwamba dini zinaharibu fikra za watu ata kama kitu kishakua proven kwasababu tuu kwenye vitabu vyenu visivokua na ukwelii ndani yake vimeeleza kivingine hamwezi kubali
Asante mkuu.Mimi sijawahi kukubaliana na dunia duara,maana kila kitu ukikiangalia ukiwa mbali uoneka duara wakati siyo kweli kuwa ni duara.Hata huu nao ni muda. Kama una amini hilo ni somo refu kwanini hauamini hata somo la dunia ni tambarare si fupi... kujifunza na kudadisi kunapanua ubongo. Kwanini unanilisha maneno .... mimi nakomaa zaidi na kila nikionacho, na ninachoweza kukifanyia majaribio mimi mwenyewe... ambapo uwezo wakuyapandisha maji mlima mimi sina wala uwezo wakutengeneza maji yawe na mwinuko sina na mpaka sasa mi naona nipo katika eneo tambarare lenye mito milima na mabonde ndani yake..
Huku nikiliona jua na mwezi vikitembea na kila chenye uziyo kikitafuta egemeo lake. Kwahiyo anzia hapo kunikanusha kuwa nikionacho sio na ninachoweza kukifanya hakipo hivyo... hayo mabonde au bara la barafu si mimi wala wewe tutakaekuja kuyaona mpaka tunakufa... kwahiyo hata unachokiamini wewe hautakuja kuweza kukithibitisha zaidi ya nadharia tulizoaminishwa katika elimu zetu.
Pumzika!!
Kama dunia sio duara ni vipi tunapata usiku na mchana?Asante mkuu.Mimi sijawahi kukubaliana na dunia duara,maana kila kitu ukikiangalia ukiwa mbali uoneka duara wakati siyo kweli kuwa ni duara.
Kwanini tunapata usiku na mchana?Kila kitu ukikiangalia ukiwa mbali,uonekana kama duara tu.Lakini ukweli siyo duara.Dunia haijawahi kuwa duara.
Hiyo sayansi ya hivyo ulijifunzia wapi ndugu?Wabongo bana! Kwahiyo sayansi ina reality kwa kutudanganya kuwa twiga zamani alikuwa na shingo fupi, eti ilirefuka baada ya ukame kutokea hivyo katika kufanya jitihada za kutafuta Chakula yaani majani ya juu ya miti maana ya chini yalikuwa yamekauka ndo shingo zikarefuka hawa wanyama wengine kama swala, digidigi, n.k uvivu wao uliwabakiza hivyo hivyo! [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] nimewanyanyulia mikono aiseh! Maana sio kwa hilo chaka!
Sayansi ya wapi? Ndugu! kwani wewe sekondari ulisoma mpaka form gapi? Na hauku soma biologia zile theories za origin of earth?
Haujakosea mkuu, Dunia ni shimo/Crater Earth ambayo imechimbuliwa madini na past civilizations.Vipi kuhusu sisi akina pit earthers maswali yetu yapo wapi!? Dunia ni shimo!
Sababu kuu ya kudaganywa binadamu kuhusu Dunia kuwa duara ni Gani?Dunia haijawahi kuwa duara. Na kama inazunguka kuna siku nasi tungejikuta russia huko au Cuba penginepo. Wametulisha sana matango pori. Eti inazunguka kwenye mhimili wake.
Najua ni ngumu kuamini muda huu wote ulidanganywa shuleni 😂 Mwezi pia ni Holographic projection Yani kama vile projectorAcheni kua vilaza pimbi nyie mnajazana ujinga tu,Toka lini Dunia ikawa flat?
Akili finyu kama mpo zama za Mawe za kati kama ingekua flat
Usiku na mchana ungetokeaje?
Ilikuaje Bara la America na Asia yakakutana Kwa umbali wa km 4 tu
Ncha ya Urusi na Alaska (USA)ambayo ipo Bara Amerika kaskazini?
Acheni viroja basi daaaa!
😁😁😁😁😁🔥
Jua inazunguka Dunia.Kwanini tunapata usiku na mchana?
Ili usijue Historia ya binadamu ambayo hairuhusu kutawaliwa Kwa njia za kisasa haswa kiteknologia ambayo inafaa kuwa free ila tunauziwa na familia kadhaa kufaidika na kuishi maisha mema kabisa.Wanaficha ukweli ili iwasaidie nini? Na kama wakisema ukweli watapungukiwa nini?