Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Where did you get this crap? Source and citation please.
 
Where did you get this crap? Source and citation please.
Nadhani atakua kayapata kwa njia ile ile ya kujifunza umbo la dunia... Inadhani ni kwanini umbo la dunia limefundishwa mashuleni... tusingejua shape yake kipi tungeshindwa kukifanya?
 
Nilikuuliza awali kama unatambua uwepo wa setelite katika maeneo mbalimbali ya anga la dunia.
Mkuu kuhusi satelite wewe ndio umeleta hii hoja nadhani bora nikujibu kwamba sielewi chochote kuhusu satelite.

Ninachofahamu kwamba hatutegemei kitu kinachoutwa satelite ili kujadili hoja za dunia tambarare ama mpira,hivyo sidhani kama hoja ya satelite ina nafasi katika kujadili nadharia hizi .

kama wewe ndio umeleta hoja ya satelite basi wewe ndio uifafanue na kuelezea ni kitu gani.
Mfano uliutoa hapo sijweza kuuelewa vizuri. Pengine ungeurudia kwa maneno mengine ili twende sawa.
NA hapo mkuu ndipo shida kubwa ilipo kwa sababu hatujaelewana,na kwa haraka sina mfano mwingine wa kuutoa ili kukuelewesha.

Tufanye hii hoja ya gravitational force tuiweke pembeni naona itatupotezea muda maana hata mimi nimeyasoma maelezo yako naona bado niko na mambo mengi ya kuhoji na kuyakanusha,lakini yatatutoa nje ya maudhui.

Hivyo turudi kwenye hojakuu ya dunia tambarare na dunia tufe.

Naomba radhi kwa kuchelewa kujibu hii comment
 
Okay.

Swala la satelite nililileta kama moja wapo ya njia ya kutambua umbo halisi la dunia na hivyo lina nafasi katika kujadili nadharia hizi.
Lakini kama huelewi chochote kuhusu satelite, basi hapo tupaache.

Uliahidi kutoa maelezo kuhusu hili swala.

Karibu.
 
Swala la satelite nililileta kama moja wapo ya njia ya kutambua umbo halisi la dunia
Mkuuwalioanzisha nadharia ya dunia tufe wakati wao hakukuwa na kitu satelite so nadhani ingelikuwa satelite nji njia ya kutambua umbo la Dunia basi hapo zamani wasingekuja na dhana ya dunia tufe.

Ndio maana nikaona inshu ya satelite tuiwache kwa sababu haiwezi kuleta uthibitisho wowote zaidi ya maelezo ambayo nayo yatahitaji uthibitisho.
Uliahidi kutoa maelezo kuhusu hili swala.
Sahihi mkuu kabla sijatoa maelezo naomba nirudie tena kusema na nina amini unakumbuka kauli yangu kwamba mimi nipo hapa sio kwa sababu naamini dunia ni tambarare bali nipo hapa kujadili nadharia na kuone je tukizitia kwenye upande wa dunia sahani tambarare zitafanya kazi ?

NItakujibu mkuu ili tuone kama ina make sense
 
Sawa mkuu.
Tuko pamoja.
 
Nina mwezi sasa nafuatilia hii theory ya flat earth kwa kweli inaumiza kichwa sana. kwa sasa nimeiweka kapuni. baada ya kichwa kuanza kwenda mlama.
Bora wewe mkuu,mm nimebaki na maswali badala ya majibu
 
Interesting...!! hapana asee mtu anakwambia hamna aliyefika mwezini huyo sio mwana science hata kama ni mwana science anaichanganya na imani hapo ndio hutokea confusion
Kuhusu kufika mwezini mbona wengi wamehoji kuhusu ukweli wa hilo
 
Noma.[emoji28]
 
Wewe uliyefuatilia hebu nipe mwanga wa hili, jamaa amesema dunia ni tambarare na maji yamezuiliwa kwa mabonge makubwa ya barafu. Swali, mwisho wa hayo mabonge ya barafu ni wapi na baada ya hayo mabonge kuna nini!
Ushahidi wa Kibiblia about Ice walls 👇
(Methali 8:27-29 "Alipozithibitisha mbingu nalikuwako, alipopiga DUARA KATIKA USO WA BAHARI. Alipoipa bahari mpaka wake kwamba maji yake yasiasi amri yake alipoiagiza misingi ya nchi") Ukitumia ya kingereza itakua vizuri zaidi!

Ukienda Kule Antarctica huruhusiwi kuvuka behind the walls! Kuna ulinzi mkali sana tena maalum wa special forces wa NASA. Wanaruhusu researchers wao tu na labda tourist nao huwa wanapelekwa maeneo ya hapo mbele tu na wanakua wamethibitishwa sana ili kwenda. Mataifa yote yamesign makubaliano ya kutokwenda kule hata Tanzania.

Kwanini? Sababu behind Ice walls is where exact the Earths edges are and probably the firmament is settling down the ground level. Lakini pia uwezekano upo kwamba Mungu alificha firmament to the ground level kama alivoficha bustan ya Eden na vitu vingine baada ya dhambi kuingia, maana alijua haya yote tungejaribu kuanza kuidestroy kama wanavotuma rocket kupasua ile ya juu.

ICE WALLS. Ziliumbwa na MUNGU mwenyewe kwaajili ya kukeep yale maji yote ya bahari yalio kwenye Flat Earth ili yasifall kwenye edges! Hilo walipoligundua wakaficha na wakabadilisha wakaitwa Bara la Antarctica! Tukadanganywa. Angalia logo ya UN (United Nations) ina ramani ya Flat Earth, these people they know the truth lakini hawataki tujue uumbaji wa Mungu.
 
Dunia ni duara coz unaweza kutoka tz na ndege ukatua us ukatoka us ukaenda china mwishowe ukatua tena tz kwa mzunguko mmoja
Kama Dunia ni Duara kwann kutoka Australia kwenda USA pawe mbali ilhali walikuwa wageuke tu kuzunguka round waikute USA upande wa pili.?? Fuatilia ramani wanazotumia pilots ni za flat earth na sio round
 
Kama Dunia ni Duara kwann kutoka Australia kwenda USA pawe mbali ilhali walikuwa wageuke tu kuzunguka round waikute USA upande wa pili.?? Fuatilia ramani wanazotumia pilots ni za flat earth na sio round
Swali, hiyo route unayotaka wewe ina vituo vya rada za kuchekia/kutrace mwenendo wa ndege na ukizingatia unatoka nchi kavu Australia uelekeo wa mashariki mpaka utakapokutana na nchi kavu magharibi ya bara la America hapo kati kati ni uwanda wa bahari tupu.

Halafu unapaswa kujua hiyo ni biashara ndege zina vituo kama unavyoona meli zinavyozunguka mabara kupita vituo mbali mbali vya bandari.

Huwezi kutoa abiria south africa uende uelekeo wa mashariki eti ukakutane na magharibi ya america kwa route unayotaka wewe ya moja kwa moja kupitia uwanda wa bahari tupu, risk zake unazifahamu kweli.

Think beyond, kuna vitu vingi vya kufikiria zaidi kuhusu hili la KWANINI tutaandika kitabu kizima hapa nimeweka kwa uchache tu.
 
 
Hii kitu ya dunia duara ama flat mm ishanichanganya sana kila theory ina ukweli na kila theory haina ukweli hata hivo evidence za kuwa dunia ni duara ziko nyingi na s trong zaidi kuliko dunia ni flat.
Dunia ni duara

Usiku na mchana unadhihirisha kuwa dunia ni duara kwa sababu kuna muda upande mmoja ni usiku na upande mwingine ni mchana

Kuna nchi usiku ni mrefu zaidi kuliko mchana

Kuna nchi usiku unaingia ila jua lipp la utosini

Majira ya mwaka
Kuna sehe morthern pole huwa usiku kwa miezi 3 ama 4 na mchana kwa miezi 3 ama 4

Meli baharini
Najua maji kwenye uso wake huwa flat ila haya maji ya ziwa ama bahari eti hufuata duara la dunia, meli ikiwa mbali hautaiona hadi ikukaribie sababu inakuwa imefichwa na uduara wa maji. Hii huwa siielewi ila ndio ilivyo

Ukisaffiri naa ndege
Kama mlishanotice kitu ndege ukiwa ndani ya ndege always huwa haijakaa 180 degree huwa imenyanyuka kidogo kwa mbele hii ni sababu dunia ni duara

Dunia ni flat nachukua maelezo aliyoeleza mtoa uzi
 
Sekeseke la flat earthers🤣
 
Kama Dunia ni Duara kwann kutoka Australia kwenda USA pawe mbali ilhali walikuwa wageuke tu kuzunguka round waikute USA upande wa pili.?? Fuatilia ramani wanazotumia pilots ni za flat earth na sio round
Route zipo aisee wewe fanya kugoogle ,

Swali la nyongeza kwako hivi japan alivokiwasha na usa vita ya pili unadhani walitumia route zipi mkuu?
 
Yani umeshindwa kutumia akili ndogo tu kung'amua ya kwamba meli inatembelea usawa wa bahari so it's easy to notice kutoweka kwake mapema tofauti na ndege inayotembea maelfu ya futi juu kutoka usawa wa bahari kwahiyo kutoweka kwa ndege it's unnoticeable, halafu umeshajibiwa hapo juu ndege haiendi 180° it's entire route.
 
Route zipo aisee wewe fanya kugoogle ,

Swali la nyongeza kwako hivi japan alivokiwasha na usa vita ya pili unadhani walitumia route zipi mkuu?
1. Hakuna hata root moja iliyofanywa North-south na siku zote ndege inakwenda katika straight line.

2. Compass haiwezi kuwork kwenye ball never

3. Angalia root hiyo kutoka SA kwenda Australia lazima upitie Dubai, kwanini wasiende straight kutoka SA to Australia???. Sasa ukija kwenye flat earth map unaona uhalisia. Mapilot wengi waliohojiwa wanakiri Dunia ni flat lakini ni siri ambayo huwa hawaruhusiwi kuitoa.

 

Dunia inazunguka Dunia kwa speed ya 67,000mph ambayo ni sawa na 107,000km/hr. Dunia inajizungusha kwenye mhimili wake kwa 1,000mph ambapo ni sawa na 1,600km/hr. Spidi ya ndege (commercial) ikiwa angani speed yake ni 900-950km/hr.

Ndege ikisha takeoff inakuwa iko angani na muda huu Dunia inakuwa inazunguka jua kwa speed kali sana. Kwa hiyo speed ambayo dunia inazunguka jua unaona ndege inamatch speed hapo? Ndege zingekuwa zinapotelea angani sababu speed ya dunia kwenye kuzunguka jua ni kubwa sana.

Dunia ingekuwa ni ball ndege zingekuwa zina curve ili kwenda na usawa wa Dunia. Tuko kwenye enclosed system hakuna anayeweza kiutoka nje ya Dunia wala kuingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…