Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Japan na usa vita ya pilu ya dunia walitumia njia ipi kaka naomba jibu
 
Hawa wapuuzi ni nini wana hide Antartica? Kwanini hawataki twende kule na kuna ulinzi mkali sana.🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️🤷🏻‍♂️.
 
Dunia kuizunguka dunia kivipi tena au typing error ulimaanisha jua?

Halafu yakupasa kujua hiyo ndege duniani ni sawa na bacteria kwenye mpira so with that tininess & hugeness you can't sense the movement & speed ya dunia therefore hakuna impact kwa hiyo ndege kama unavyoeleza.

Tena hii ulipaswa kufanya hesabu ndogo tu kabla ya kuja na hiyo scenario yako, kwamba ukubwa wa ndege unachukua asilimia ngapi katika uso wa dunia.
 
We ni mtu wa physics?
 
Typing error Mkuu Nashukuru kwa kutambua hili. Mkuu wewe ndo unashindwa kung’amua hili jambo dogo sana. Wanasema Dunia inazunguka jua kwa spidi ya 67,000km/hr, muda ambao ndege inakuwa angani kumbuka muda huu dunia inazunguka jua kwa hio spidi. Kumbuka ndege ikiwa angani inakuwa kama inaelea so haiwezi kumatch speed ya kwenda sawa na spidi ya dunia.

Hizo theory zao hazimake sense, ndomana kuna kitu kinaitwa auto piloting, ingekuwa dunia ni curve isingewezekana. Pia compass haifanyi kazi kwenye ball mkuu, kuna vitu hata wewe unang’amua vzr kabisa. Point ni kwamba Jua ndo linazunguka Dunia pamoja na mwezi. Dunia haizunguki jua kama tunavyodanganywa chief.

Angalia video hii

View: https://x.com/exquisite_255/status/1736395042367947075?s=46
 
Naifatilia kwa makini ntaleta mrejesho
 
Wewe according to physics yako wewe hali inabidi iwe vipi? Unaweza andaa documentation kututoa kwenye giza?
Ukweli jua ndo linazungua Dunia na sio dunia inazunguka jua. Jua na mwezi viko ndani ya Dunia na viko karibu sana. Tuko ndani ya bakuli mfano wa glass “firmament” na huko nje ni maji. Soma mwanzo 1:6, Isaya 40:21, zaburi 19:1 zipo verse nyingi sana zinaoelezea flatness ya Dunia.

Kuna swali unatakiwa kujiuliza kuna pande kuu nne za Dunia. Kama dunia ni duara hizo pande 4 zinatoka wapi? Duara lina pande????
 
Hatariii😄😄
 
Kutoka japan kwenda usa unaweza onyesha plane route
Ok ipo hivi vita ya Japan na US ilianza baada ya Japan kuvamia Pearl habour na kufanya mashambulizi mwaka 1941, december.

Nakutumia hizi prove kwa flat earth
 
Yaani mtu anataka kuamini Dunia ni sahani sio tufe (ellipsoid), ila hapo hapo anaamini Jua ni Duara na linazunguka😄, hataki kuamini kani mvutano (gravity) ila anaamini Jua lipo angani linazunguka 😄😄.
 
Wazee wa Spinning Ball nina swali hapa. Kama Dunia ni globe maji ya mto nile yanawezaje kupanda mlima kwenda Egypt?? Toka lini maji yakapanda mlima?? Naombeni majibu hapa.
 
Kama ingekuwa ndogo na karibu kiasi hiko tungeweza kunotice jinsi inavyomove Kwa urahisi, lkn we sasaiv kaa angalia Jua je, unaweza kuliona linamove?, na concept ya kwamba Jua ndo linamove Kwa sababu unaona Lina move, ulishawah kuwa kwenye gari, uliangalia miti Kwa nje unaona kama inarudi nyuma (inamove)?
 
Wazee wa Spinning Ball nina swali hapa. Kama Dunia ni globe maji ya mto nile yanawezaje kupanda mlima kwenda Egypt?? Toka lini maji yakapanda mlima?? Naombeni majibu hapa.
Kuna mtu alikujibu awali, tofautisha mlima na curvature.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…