The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Unatakiwa ujue Dunia ni ellipsoid na pia sio smooth surface, Inamilina na mabonde na maji yanaenda direction ambayo ni down relative to yanapotokaWazee wa Spinning Ball nina swali hapa. Kama Dunia ni globe maji ya mto nile yanawezaje kupanda mlima kwenda Egypt?? Toka lini maji yakapanda mlima?? Naombeni majibu hapa.
Mzunguko wa dunia hauna athari kwenye mtiririko wa mito kwa sababu mvuto huwavuta vitu moja kwa moja chini. Mito, ikiwa mbali sana, haiathiriwi na mzunguko kwa sababu "chini" bado ni sawa na uwiano wa uso wa mto. Kinachosimamia mtiririko wake ni tofauti katika kimo. Mito huendelea kutiririka kutoka sehemu ya juu hadi sehemu ya chini. Kile kinachofanya mtiririko huo ni mwinuko mdogo wa kitanda cha mto, sawa na jinsi mpira unavyoruka ukiiweka mwisho wake kwenye ubao ulionyooka.Sijajibiwa itapendeza ukinijibu
Kumix sayansi na vitabu vya dini ni hatari kwa imani yako,Ukweli jua ndo linazungua Dunia na sio dunia inazunguka jua. Jua na mwezi viko ndani ya Dunia na viko karibu sana. Tuko ndani ya bakuli mfano wa glass “firmament” na huko nje ni maji. Soma mwanzo 1:6, Isaya 40:21, zaburi 19:1 zipo verse nyingi sana zinaoelezea flatness ya Dunia.
Kuna swali unatakiwa kujiuliza kuna pande kuu nne za Dunia. Kama dunia ni duara hizo pande 4 zinatoka wapi? Duara lina pande????
Yaani mfano mdogo tu, pale unaposema wewe ni uphill (say point B relative to point A ulipo) eti Kwa sababu ya curvature. Ukienda kwenye hiyo point unasema ni uphill(point B) utaona pale ulipotoka ni uphill(point A).Sijajibiwa itapendeza ukinijibu
BROKE BOYSKumix sayansi na vitabu vya dini ni hatari kwa imani yako,
View: https://youtube.com/shorts/oWPJ3RJiSF4?si=jmz-eWsyCt_via9a
Cheki kwanza hua kuna hii concept, unakubaliana nayo?
Hapa ndo tunaestablish msingi wa mambi ya straight line
Kwahiyo kwa hii point unataka kusema kutoka Tz to Egypt ni mteremko??🤷🏻♂️ kumbuka tuko kwenye ball na Tz ipo south na Egypt North.Unatakiwa ujue Dunia ni ellipsoid na pia sio smooth surface, Inamilina na mabonde na maji yanaenda direction ambayo ni down relative to yanapotoka
Nitacheki badae then nitakurudiaBROKE BOYS
Mkuu kuhusu issue ya straight line tazama hizi video mbili pale youtube
Anza na hii fupi
View: https://youtu.be/-PRzUS6lEBM?si=NyRHyshgV2ssw9ZM
Then hii
View: https://youtu.be/c8bC-xtypIA?si=HFqEluPcdXiKrNjW
Hakuna point hapa mkuu ya kunishawishi, kumbuka maji hayapandi mlima, kwahiyo hapo umekiri maji yanatitirika kutoka sehem ya juu kwenda ya chini. So kwa hii point unataka kusema Tanzania iko kwenye mwinuko na Egypt iko bondeni??Mzunguko wa dunia hauna athari kwenye mtiririko wa mito kwa sababu mvuto huwavuta vitu moja kwa moja chini. Mito, ikiwa mbali sana, haiathiriwi na mzunguko kwa sababu "chini" bado ni sawa na uwiano wa uso wa mto. Kinachosimamia mtiririko wake ni tofauti katika kimo. Mito huendelea kutiririka kutoka sehemu ya juu hadi sehemu ya chini. Kile kinachofanya mtiririko huo ni mwinuko mdogo wa kitanda cha mto, sawa na jinsi mpira unavyoruka ukiiweka mwisho wake kwenye ubao ulionyooka.
Kwani mto umenyooka? Point kutoka tz mto unapoanzia mpaka points nyingne before Egypt zina vary it means Kuna point ni uphill na point nyingne ni downhill, so maji yatafuata point ambayo ipo chini na ndio maana mto haujanyooka kwenye straight line.Kwahiyo kwa hii point unataka kusema kutoka Tz to Egypt ni mteremko??🤷🏻♂️ kumbuka tuko kwenye ball na Tz ipo south na Egypt North.
Mbona umegeneralize, kwani mto Nile upo Egypt yote? Au mto unapoanzia ni Tanzania mzima?Hakuna point hapa mkuu ya kunishawishi, kumbuka maji hayapandi mlima, kwahiyo hapo umekiri maji yanatitirika kutoka sehem ya juu kwenda ya chini. So kwa hii point unataka kusema Tanzania iko kwenye mwinuko na Egypt iko bondeni??
Kwani mto umenyooka? Point kutoka tz mto unapoanzia mpaka points nyingne before Egypt zina vary it means Kuna point ni uphill na point nyingne ni downhill, so maji yatafuata point ambayo ipo chini na ndio maana mto haujanyooka kwenye straight line.
We unaiona ipo juu ukiwa wapi? Embu imagine hiyo picha ipigwe Kwa angle nyingine alafu uone juu ni wapi na chini ni wapi?Maana yake Dunia ni flat Tanzania ipo juu ya mwinuko kidogo😂😂, hii ramani ni jibu tosha
Hakuna maji ya mto yanayokwenda mlimani chief, maji yanakwenda bondeniKwani mto umenyooka? Point kutoka tz mto unapoanzia mpaka points nyingne before Egypt zina vary it means Kuna point ni uphill na point nyingne ni downhill, so maji yatafuata point ambayo ipo chini na ndio maana mto haujanyooka kwenye straight line.
Maana yake Dunia ni flat Tanzania ipo juu ya mwinuko kidogo😂😂, hii ramani ni jibu tos
Nimekwambia tofautisha curvature na mwinuko😄 alafu mbona hujibu maswali yangu?Hakuna maji ya mto yanayokwenda mlimani chief, maji yanakwenda bondeni
Vizuri kabisa na ushahidi nakupa, acheni hizi video za Nasa ni generated CGI. Kwanza unatakiwa uelewe maana ya NASA ni “Kupinga”.Matukio kama Kupatwa Kwa mwezi na Jua unaweza kuyaelezeaje Kwa nadharia ya flat earth?
Nipe proof ya hiyo maana. Maana hata utotoni FFU tulikuwa tunaambuwa ni "Fanya Fujo uone" 😄😄Vizuri kabisa na ushahidi nakupa, acheni hizi video za Nasa ni generated CGI. Kwanza unatakiwa uelewe maana ya NASA ni “Kupinga”.
Kwanini maji yanaenda bondeni na sio mlimani?Hakuna maji ya mto yanayokwenda mlimani chief, maji yanakwenda bondeni