Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Wazee wa Spinning Ball nina swali hapa. Kama Dunia ni globe maji ya mto nile yanawezaje kupanda mlima kwenda Egypt?? Toka lini maji yakapanda mlima?? Naombeni majibu hapa.
Unatakiwa ujue Dunia ni ellipsoid na pia sio smooth surface, Inamilina na mabonde na maji yanaenda direction ambayo ni down relative to yanapotoka
 
Attachments

  • main-qimg-a53e6c06b2086dff0c1f25c407a7aaf8-pjlq.jpeg
    main-qimg-a53e6c06b2086dff0c1f25c407a7aaf8-pjlq.jpeg
    10.3 KB · Views: 4
Sijajibiwa itapendeza ukinijibu
Mzunguko wa dunia hauna athari kwenye mtiririko wa mito kwa sababu mvuto huwavuta vitu moja kwa moja chini. Mito, ikiwa mbali sana, haiathiriwi na mzunguko kwa sababu "chini" bado ni sawa na uwiano wa uso wa mto. Kinachosimamia mtiririko wake ni tofauti katika kimo. Mito huendelea kutiririka kutoka sehemu ya juu hadi sehemu ya chini. Kile kinachofanya mtiririko huo ni mwinuko mdogo wa kitanda cha mto, sawa na jinsi mpira unavyoruka ukiiweka mwisho wake kwenye ubao ulionyooka.
 
Ukweli jua ndo linazungua Dunia na sio dunia inazunguka jua. Jua na mwezi viko ndani ya Dunia na viko karibu sana. Tuko ndani ya bakuli mfano wa glass “firmament” na huko nje ni maji. Soma mwanzo 1:6, Isaya 40:21, zaburi 19:1 zipo verse nyingi sana zinaoelezea flatness ya Dunia.

Kuna swali unatakiwa kujiuliza kuna pande kuu nne za Dunia. Kama dunia ni duara hizo pande 4 zinatoka wapi? Duara lina pande????
Kumix sayansi na vitabu vya dini ni hatari kwa imani yako,

View: https://youtube.com/shorts/oWPJ3RJiSF4?si=jmz-eWsyCt_via9a

Cheki kwanza hua kuna hii concept, unakubaliana nayo?

Hapa ndo tunaestablish msingi wa mambi ya straight line
 
Sijajibiwa itapendeza ukinijibu
Yaani mfano mdogo tu, pale unaposema wewe ni uphill (say point B relative to point A ulipo) eti Kwa sababu ya curvature. Ukienda kwenye hiyo point unasema ni uphill(point B) utaona pale ulipotoka ni uphill(point A).
 
Unatakiwa ujue Dunia ni ellipsoid na pia sio smooth surface, Inamilina na mabonde na maji yanaenda direction ambayo ni down relative to yanapotoka
Kwahiyo kwa hii point unataka kusema kutoka Tz to Egypt ni mteremko??🤷🏻‍♂️ kumbuka tuko kwenye ball na Tz ipo south na Egypt North.
 
Mzunguko wa dunia hauna athari kwenye mtiririko wa mito kwa sababu mvuto huwavuta vitu moja kwa moja chini. Mito, ikiwa mbali sana, haiathiriwi na mzunguko kwa sababu "chini" bado ni sawa na uwiano wa uso wa mto. Kinachosimamia mtiririko wake ni tofauti katika kimo. Mito huendelea kutiririka kutoka sehemu ya juu hadi sehemu ya chini. Kile kinachofanya mtiririko huo ni mwinuko mdogo wa kitanda cha mto, sawa na jinsi mpira unavyoruka ukiiweka mwisho wake kwenye ubao ulionyooka.
Hakuna point hapa mkuu ya kunishawishi, kumbuka maji hayapandi mlima, kwahiyo hapo umekiri maji yanatitirika kutoka sehem ya juu kwenda ya chini. So kwa hii point unataka kusema Tanzania iko kwenye mwinuko na Egypt iko bondeni??
 
Kwahiyo kwa hii point unataka kusema kutoka Tz to Egypt ni mteremko??🤷🏻‍♂️ kumbuka tuko kwenye ball na Tz ipo south na Egypt North.
Kwani mto umenyooka? Point kutoka tz mto unapoanzia mpaka points nyingne before Egypt zina vary it means Kuna point ni uphill na point nyingne ni downhill, so maji yatafuata point ambayo ipo chini na ndio maana mto haujanyooka kwenye straight line.
 
Hakuna point hapa mkuu ya kunishawishi, kumbuka maji hayapandi mlima, kwahiyo hapo umekiri maji yanatitirika kutoka sehem ya juu kwenda ya chini. So kwa hii point unataka kusema Tanzania iko kwenye mwinuko na Egypt iko bondeni??
Mbona umegeneralize, kwani mto Nile upo Egypt yote? Au mto unapoanzia ni Tanzania mzima?
 
IMG_4764.jpeg
Kwani mto umenyooka? Point kutoka tz mto unapoanzia mpaka points nyingne before Egypt zina vary it means Kuna point ni uphill na point nyingne ni downhill, so maji yatafuata point ambayo ipo chini na ndio maana mto haujanyooka kwenye straight line.

Maana yake Dunia ni flat Tanzania ipo juu ya mwinuko kidogo😂😂, hii ramani ni jibu tosha
 
Matukio kama Kupatwa Kwa mwezi na Jua unaweza kuyaelezeaje Kwa nadharia ya flat earth?
 
Kwani mto umenyooka? Point kutoka tz mto unapoanzia mpaka points nyingne before Egypt zina vary it means Kuna point ni uphill na point nyingne ni downhill, so maji yatafuata point ambayo ipo chini na ndio maana mto haujanyooka kwenye straight line.
Hakuna maji ya mto yanayokwenda mlimani chief, maji yanakwenda bondeni
 
Vizuri kabisa na ushahidi nakupa, acheni hizi video za Nasa ni generated CGI. Kwanza unatakiwa uelewe maana ya NASA ni “Kupinga”.
Nipe proof ya hiyo maana. Maana hata utotoni FFU tulikuwa tunaambuwa ni "Fanya Fujo uone" 😄😄
 
Back
Top Bottom