Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Sasa we usiemini vya kuambiwa, umesema density ndo inafanya vitu vifall, meli inapelea kwenye maji je nikiiweka kwenye space utaelea?
Density ya Meli inapimwa with reference to water,...sasa Kwa mantiki hiyo ni kwamba Meli ikijengwa kwa materials ambayo yatakua dense than air in the space itaelea tu hata kwenye space(ukibisha nitakupa mfano wa objects ambazo zina material yanayoendana na material ya meli lakini yanaelea kwenye space tena objects hizo zimewekwa na watu ambao you &them have the same opinions),..

ship's density is measured with reference to water and it's its density that makes the ship float(gravity is nowhere to be seen πŸ‘€)" This is very accurate. yaani haipingwi kabisa!
 
Reactions: Lax
pure rubbish ivi hata satellite doesn't help you? so sad 😒
 
Hujibu maswali napoteza muda Bure,, jibu maswali
Jua na mwezi vimeshikiliwa na nn, Dunia hii imeshikiliwa na nn, tofaut na hapo naona tuishie hapa
 
Unachekesha sanaπŸ™‚ Kinachofanya kitu ki drop ni gravity wala sio density. Density is just a relationship between mass and volume na haihusiani na ku drop kwa kitu. antony_art ana moyo na jitihada sana ya kukueleza kwa ufasaha lakini kwa upande wangu wewe haufundishiki.
 
Wewe ndiyo unachekesha sasa,....Kwanini Meli huzama baharini?
 
Hujibu maswali napoteza muda Bure,, jibu maswali
Jua na mwezi vimeshikiliwa na nn, Dunia hii imeshikiliwa na nn, tofaut na hapo naona tuishie hapa
Hayo maswali nishajibu kwenye quotes ulizouliza previous,. huenda hujakubaliana na majibu.... let's agree to disagree Kwa maana sioni tukifikia muafaka.
 
Tuishie hapa tu, unakataa gravity alafu unasema hujui ni kitu gani kinafanya kimeshikilia Jua mwezi na dunia.
 
Tuishie hapa tu, unakataa gravity alafu unasema hujui ni kitu gani kinafanya kimeshikilia Jua mwezi na dunia.
Kwahiyo wewe kutojua Kitu kinachoshikilia Jua mwezi na Dunia ndiyo kumefanya uamini gravity ndiyo Inashikilia.?
Can you prove kwamba gravity ndiyo Inashikilia Jua, mwezi na Dunia?

Ukiweza Ku prove nitakubaliana na wewe juu ya gravity,. Bila hivyo ni theory na maneno tu.
 
Huo umetumika kama mfano, kwenye hiyo clip kuna kipande cha juu kinaonyesha dunia ikijizungusha yenyewe wakati huo huo inalizunguka jua, ( Rudi kwenye hiyo clip angalia kipande cha juu )

kipande cha chini imeonyeshwa sehemu ya dunia ( Alaska ) ambayo mwanga na kiza vinadumu kwa vipindi virefu ambapo kupitia hiyo clip sasa unaelewa ni kwanini inakua hivyo.

Kuanzia sec ya 9 na kuendelea ni video halisi na imechukuliwa kwa mtindo wa time lapse ( Ambapo wewe unaona jua ndio linazunguka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… )

Nmekuwa na wasi wasi na uwezo wako wa kufikiri kwa sababu umeshindwa kuielewa hii clip na ni rahisi kabisa..
 
Ukisema gravity ni maneno unakosea sana, Nlitegemea ukae chini utafute muda wa kuchambua kuhusu gravity, ufanye research iliyokamilika ambayo itaprove madai yako.

Lakini unasema kirahisi sana kwamba haipo.,

Bro unafahamu namna usumaku unavyofanya kazi ?? Yani ile nguvu ya usumaku kuvuta vitu vyenye asili ya chuma unaelewa inavyofanya kazi ??

Kwanini ushangae uwepo wa gravitational force.

Yani unapinga kuhusu Kani ya uvutani ( gravitational force ) na tukikuuliza basi hata kwa nadharia yako hiyo hiyo vipi dunia na magimba hayo mengine yalioyotajwa yanashikiliwa na nini ? hauna majibu doh! πŸ˜…
 
Jibu maswali acha mbwembwe wewe,

Hoja hauna inabidi ukubaliane na sisi kuwa dunia ni tufe


Siku ukiwa na hoja ndio urudi hapa.
 
Kwamba kwenye hiyo clip kunaonyesha Dunia ikijizungusha yenyewe? akili yako inakulazimisha uone vitu ulivyomezeshwa.

Nikukumbushe tu kwamba mpaka leo hii 2024, sio hiyo video wala camera tunazoambiwa zimewekwa kwenye space zimeweza kuonyesha Dunia ikijizungusha yenyewe,....

Kwa mjadala ulipofikia tunahitaji uthibitisho zaidi kuliko maneno,.......

Swali,. unaweza kuthibitisha kwamba Dunia Tufe inazunguka?

Kama huwezi kuthibitisha itabidi uwe mpole kuliko kukariri Tu.
 
Tusiongee sana,...wewe unaesema gravity ipo inabidi ulete evidence Kwa kuwa ushafanya research,.....kuleta maneno matupu inakua sio sawa.

Hata Mimi naweza kuimagine usumaku unavyofanya kazi,..lakini hiyo haithibitishi kwamba gravity ipo na inafanya kazi kama usumaku unavyofanya,...

Kwa mfano unaposema gravity ndiyo Inashikilia Maji yastick kwenye round-ball 🌍,... inabidi usiishie kusema tu, unapaswa kuthibitisha jambo hilo....

Ukithibitisha namna gravity inavyoshikilia maji kwenye round ball,...nitakubaliana na hoja yako....kama huna uthibitisho sema tu acha kuzunguka.
 
Jibu maswali acha mbwembwe wewe,

Hoja hauna inabidi ukubaliane na sisi kuwa dunia ni tufe


Siku ukiwa na hoja ndio urudi hapa.
Wewe hoja unazo, ila uthibitisho huna.

Kuongea ni rahisi ila kuthibitisha ndiyo kazi.

Siku ukiwa na uthibitisho wa hoja zako ndiyo urudi hapa.
 
Wewe hoja unazo, ila uthibitisho huna.

Kuongea ni rahisi ila kuthibitisha ndiyo kazi.

Siku ukiwa na uthibitisho wa hoja zako ndiyo urudi hapa.
Tumeshakupa uthibitisho kibao umekataa, Kwasababu kichwa yako umeshakilimit kuwa na ukomo wa kuelewa na kupambanua mambo.

Uthibitisho ni huu;
-Kupatwa kwa usiku na mchana
-Ship visibility
-Jimbo la Alaska kuwa na mchana au usiku kwa vipindi virefu.
-Vipindi vya mwaka.

Na Elon Musk ana mpango wa kutengeneza vyombo vya utalii vya kuwasafirisha watu mpaka kwenye space, mkiwa huko nyinyi wagumu kuelewa mjionee dunia jinsi ilivyo kwa macho yenu...( Andaa hizo pesa )

Tena nyinyi flat earther wawapige hela ndefu kweli yani
 
Tangu mwanzo nlisema nahisi una matatizo chief...Rudi kwenye ile clip angalia hii picha hiyo sehemu nliyozungushia
 

Attachments

  • Screenshot_20240125-151457.png
    185.1 KB · Views: 7
Ooh Sasa kuongea tu ndiyo inatosha kuwa uthibitisho?

Yaani nikisema tu "Ship visibility" nakua nishathibitisha?

Hahah kwani Musk na wenzake washaiona Dunia ilivyo Kwa macho yao.?? Au ndiyo ulivyoaminishwa hivyo?

Mpaka Leo umeshindwa kuonyesha uthibitisho wa jinsi Maji yanavyostick kwenye round-ball 🌍

 
Tangu mwanzo nlisema nahisi una matatizo chief...Rudi kwenye ile clip angalia hii picha hiyo sehemu nliyozungushia
Video yako ni computer generated haimaanishi kwamba uhalisia upo hivyo,....


NB:- Hata wewe ukiamua unaweza ukatengeneza video kama hiyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…