Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Ilikua ni theory, baadae Ikawa proved kwahiyo sio theory tena.
 
Kabla sijasoma! Kuingiza data za Flat Earth kichwani ni kumaliza disk space

Moja kati ya kazi ngumu sana

Kupatwa kwa mwezi ama kupatwa kwa jua panatokeaje kama dunia ni tambarare!!?

Mwezi kua nusu kwanini kwanini upande wenye mwanga na upande wenye giza visitenganishwe na mstari ulio nyooka!? Kama ni tambarare

Hayo ni moja kati ya maswali machache tu

Ninachowaza kingine ni upeo wa macho kuona ungekua mbali zaidi kama ingekua tambarale
 
Tarehe 9

sehemu

Tarehe 9 sehemu ya milky way galaxy ( hii yetu ) itaonekana kwa uzuri upande wa mashariki bila kutumia darubini.

Usikose kukaa nje siku hiyo ujifunze mambo mengi alafu tutakuja kuulizana maswali hapa.
Sawa tusubiri,.... Ni jambo zuri endapo kupitia tukio hilo tutaweza kupata solution ya maswali yanayotatiza ndani ya uzi huu.
 
Sio kweli vinginevyo kutoka Japan mpaka Marekani pangekuwa mbali sana, sababu dunia ipo flat, hujiulizi kwanini pako karibu?

Haya hapo labda tuseme haipo, lakini sayari zote zimeumbwa au kuumbika kwa jinsi moja

Nikiabgalia Jua la Duara, mwezi japo unaonekana kwa mchongo nao Duara agu dunia nayo isiwe ya duara, huu si utakuwa ufala??

Anyway, hivyo ndivyo navyofikiri
 
Mkuu., kuhusu umbo la Dunia sio lazima tusubiri shirika fulani kama NASA ndiyo lituambie.... kwakuwa tayari tuna macho tunaweza kuyatumia kuchunguza ili kuchunguza Dunia ina umbo gani...... ngoja nikuulize swali ➡️Je,wanachosema NASA kwamba Dunia ni Tufe 🌍 kinaendana na kile ambacho macho yako yanaona kwenye uhalisia?
 
Ilikua ni theory, baadae Ikawa proved kwahiyo sio theory tena.
Hapa unatupanga mkuu,... gravity bado ni theory.

Ni kama umelazimisha tu ili kuridhisha akili yako., au una ushahidi kwamba gravity sio theory tena?
 
Kupatwa Kwa Mwezi&Jua una uhakika kwamba matukio hayo yana uhusiano na Dunia na umbo lake?
 
mhhh,mkuu hivi unadhani ili bacteria aliyepo juu ktk ngozi ya kichwa chako,anahisi kama kichwa ni cha mviringo??hawezi sababu haoni kingo sio kwa sababu kingo hazipo.

Unasema camera zilizopo kwenye space zinakimbia pamoja na Dunia...... jiulize "Are there any unedited pictures & videos of Earth from space that show it as a Tufe"
kama zipo nionyeshe tuone jinsi Dunia Tufe linavyokimbia kwenye njia yake.
utatazama picha pale chini,nadhani unataka kuona njia ya dunia pia😂😂.
wakati umeambiwa ni njia ya kufikirika ambayo dunia hupita sio kwamba ni barabara.
kwanza unachanganya concepts hapa.
kuna mawingu kuwa ndani ya miliki ya dunia,na kuna mawingu kuzunguka uelekeo mmoja na dunia.
hayo ni mambo mawili tofauti.
mawingu yako ndani ya ozone layer ya dunia,yanakwenda na dunia pamoja kwa mizunguko yake yote miwili,unaona yanatembea tofauti sababu ya upepo na mabadiliko ya hali ya hewa.
 

Attachments

  • 20240205_070156.jpg
    63.4 KB · Views: 6
mhhh,mkuu hivi unadhani ili bacteria aliyepo juu ktk ngozi ya kichwa chako,anahisi kama kichwa ni cha mviringo??hawezi sababu haoni kingo sio kwa sababu kingo hazipo.
Kwanini Bacteria asione kingo,na uhakika kama haoni kingo tumeupatia wapi,.huoni kama tunakua tuna guess tu?!,..hiyo Imani kwamba huoni Tufe Kwasababu Dunia ni kubwa sana, imekua indoctrinated kwenye akili yako ndiyo maana na wewe unaamini hauwezi kuona kama Dunia ni Tufe au la......unajua kwanini nasema hivyo? Ipo hivi zipo njia mbalimbali unaweza kuzitumia kujua kama Dunia ina umbo gani,. Njia hizo ni pamoja na:-

a. Macho yako - Hii ni njia ya kwanza kabisa ambayo kabla ya kusikiliza na kumuamini yoyote yule,.inatakiwa uyatumie macho yako kama Primary source ya tafiti yako..,Je, ukitumia macho yako unaona Tufe?
NASA wasingekuambia Dunia ni Tufe,..wewe binafsi ungekua na maoni gani kuhusu umbo la dunia?


b. Tumia logic - Kwa mfano unaweza ukajiuliza logically kwamba ikiwa Dunia ina umbo la tufe kama hivi ➡️🌍,..basi hiyo inamaanisha lazima kuna sehemu dunia ina curve ili kutengeneza shape yake ya Tufe...sasa Jiulize,..Je hiyo curve ipo? Ipo location gani exactly kwenye uso huu wa ardhi?,
Kisha jiulize kama Dunia ina curvature,... kwanini water body kama Ocean ipo level horizontal kabisa na haionyeshi curve yoyote?
utatazama picha pale chini,nadhani unataka kuona njia ya dunia pia😂😂.
wakati umeambiwa ni njia ya kufikirika ambayo dunia hupita sio kwamba ni barabara.
Hujajibu swali mkuu,..niliuliza kuna authentic video yoyote inayoonyesha Dunia yenye umbo la tufe ikiwa inafanya movement(rotation)?,.masuala ya njia achana nayo sio ishu.
Dah Kwamba mawingu yana rotate na Dunia pamoja kwenye mizunguko yote miwili?
Sawa ngoja nikuulize swali,...kama mawingu yanafanya rotation pamoja na Dunia kwa mizunguko yote miwili kama ulivyosema kwanini kuna muda yanatulia? Kumbuka wakati huo yanapotulia Dunia yenyewe constantly ina rotate kama unavyoamini,....Je, huoni hoja yako ina contradiction.
 
pamoja na madai yako yote kinyume.na hili bado umeshindwa kuthibitisha dunia ni kama meza,na hutaweza wala kujaribu.
labda mwenzetu visivility yako iko tofauti inafanana na ya nyoka,watu wote tunajua na kukubali ithibati kwamba dunia ni duara kutokana na jinsi tunavyoiona,umepewa mfano kidogo tu nenda baharini ukaone umekataa eti ndio kiwango cha mwisho mtu kuona😂😂.

tukikuuliza kwanini jua magharibi linaonekana kuingia chini na mashariki kuonekana linachomoza chini huku makali yake yakiwa dhaifu sijui utatuambia nini!!
mkuu hata basic knowlege ya haya mambo huna,swali gani sasa hili umeuliza.
hili ni swali nilitakiwa kukuuliza wewe,kwamba huko meza yako inapofika mwisho ktk kingo za barafu ni point ipi ya dunia exactly,
sisi waumini wa dunia duara,dunia ni mviringo inakuwaje na point sehemu fulani ya mkunjo!!!

Kisha jiulize kama Dunia ina curvature,... kwanini water body kama Ocean ipo level horizontal kabisa na haionyeshi curve yoyote?
wewe unapoishi hakuna hata ziwa,usingeandika hii hoja😂😂
Hujajibu swali mkuu,..niliuliza kuna authentic video yoyote inayoonyesha Dunia yenye umbo la tufe ikiwa inafanya movement(rotation)?,.masuala ya njia achana nayo sio ishu.
ipi sasa hizi unazosema ni za kuundwa na NASA,au unataka za kutoka mars?
Dah Kwamba mawingu yana rotate na Dunia pamoja kwenye mizunguko yote miwili?
Sawa ngoja nikuulize swali,...kama mawingu yanafanya rotation pamoja na Dunia kwa mizunguko yote miwili kama ulivyosema kwanini kuna muda yanatulia?
nimekupa sababu ya mawingu kutembea au kutokaa sehemu moja kwamba ni hali ya hewa,joto na upepo,
hali hizo ziki ya favour mawingu basi hupunguza kasi ya kutembea na si husimama kabisa kama unavyodhani kama unavyouliza.
Kumbuka wakati huo yanapotulia Dunia yenyewe constantly ina rotate kama unavyoamini,....Je, huoni hoja yako ina contradiction.
hakuna hoja iliyoji contradict hapo,nisome kwa utulivu tu.
ukiwa ndani ya basi linalotembea na kipepeo pia ndani yake,akawa anaruka point A-B humo ndani ya gari,bado kipepeo ni sehem ya vilivyomo ndani ya gari.
 
Sasa ili kuufanya mjadala uweze kueleweka na kuondoa janja janja ya kukimbia maswali,. nadhani tuanze kuulizana maswali magumu Kwa njia rahisi....

Kanuni ya maswali haya ni moja tu, kama hujui jibu la swali husika sema sijui,...usilete ujanja na maneno mengi,...

Nitaanza na swali la Kwanza.

1. Curvature ya Dunia ipo Nchi/location gani exactly, ikiwa dunia ni Tufe 🌍?
 
sisi waumini wa dunia duara,dunia ni mviringo inakuwaje na point sehemu fulani ya mkunjo!!!
Hapa umenishangaza kidogo,... kwamba hujui kama kwenye duara kuna an exact point ambapo duara linaanza Ku curve kutengeneza umbo duara? Hahh kuwa makini na Imani yako Mkuu.
 
Hapa umenishangaza kidogo,... kwamba hujui kama kwenye duara kuna an exact point ambapo duara linaanza Ku curve kutengeneza umbo duara? Hahh kuwa makini na Imani yako Mkuu.
wala sikushangai,bado uko mbali sana.

sisi tunajua dunia ni duara,so sehemu yoyote ni point ya kuanzia mkunjo.
 
kwa aina hii ya maswali usitegemee jibu la moja kwa moja,tegemea jibu la swali kwa swali.

kwani curvature ya puto au mpira inakaa wapi?ukizingatia ni 360*
 
kwa aina hii ya maswali usitegemee jibu la moja kwa moja,tegemea jibu la swali kwa swali.

kwani curvature ya puto au mpira inakaa wapi?ukizingatia ni 360*
Sasa huoni unatoa mifano ambayo haipo relevant?
Walio propose Dunia Tufe wanasema Dunia sio completely round,..yaani sio 360° kama mfano wako wa mpira wenye 360°.

Lete mifano relevant,....au labda useme umeamua kutofautiana na wenzako,.. kwamba Kwa upande wako Dunia ni completely sphere yenye 360° na haina curvature., is this what you mean?
 
hili la nyuzi bado pia ni kubwa kwako,inabidi twende na nyuzi hizo hizo 360*,ili uelewe.
si unajua hata mtoto wa standard two anaambiwa 1-2 haiwezekani??

hata ukiambiwa haiko 360 exactly si kwa sababu sio duara kama unavyodai wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…