Kwanini Bacteria asione kingo,na uhakika kama haoni kingo tumeupatia wapi,.huoni kama tunakua tuna guess tu?!,..hiyo Imani kwamba huoni Tufe Kwasababu Dunia ni kubwa sana, imekua indoctrinated kwenye akili yako ndiyo maana na wewe unaamini hauwezi kuona kama Dunia ni Tufe au la......unajua kwanini nasema hivyo? Ipo hivi zipo njia mbalimbali unaweza kuzitumia kujua kama Dunia ina umbo gani,. Njia hizo ni pamoja na:-
a. Macho yako - Hii ni njia ya kwanza kabisa ambayo kabla ya kusikiliza na kumuamini yoyote yule,.inatakiwa uyatumie macho yako kama Primary source ya tafiti yako..,Je, ukitumia macho yako unaona Tufe?
NASA wasingekuambia Dunia ni Tufe,..wewe binafsi ungekua na maoni gani kuhusu umbo la dunia?
b. Tumia logic - Kwa mfano unaweza ukajiuliza logically kwamba ikiwa Dunia ina umbo la tufe kama hivi ➡️🌍,..basi hiyo inamaanisha lazima kuna sehemu dunia ina curve ili kutengeneza shape yake ya Tufe...sasa Jiulize,..Je hiyo curve ipo? Ipo location gani exactly kwenye uso huu wa ardhi?,
Kisha jiulize kama Dunia ina curvature,... kwanini water body kama Ocean ipo level horizontal kabisa na haionyeshi curve yoyote?
Hujajibu swali mkuu,..niliuliza kuna authentic video yoyote inayoonyesha Dunia yenye umbo la tufe ikiwa inafanya movement(rotation)?,.masuala ya njia achana nayo sio ishu.
Dah Kwamba mawingu yana rotate na Dunia pamoja kwenye mizunguko yote miwili?
Sawa ngoja nikuulize swali,...kama mawingu yanafanya rotation pamoja na Dunia kwa mizunguko yote miwili kama ulivyosema kwanini kuna muda yanatulia? Kumbuka wakati huo yanapotulia Dunia yenyewe constantly ina rotate kama unavyoamini,....Je, huoni hoja yako ina contradiction.