Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
hili la nyuzi bado pia ni kubwa kwako,inabidi twende na nyuzi hizo hizo 360*,ili uelewe.
si unajua hata mtoto wa standard two anaambiwa 1-2 haiwezekani??

hata ukiambiwa haiko 360 exactly si kwa sababu sio duara kama unavyodai wewe.
ukitaka kuelewa kitu focus kwenye mada husika kisha read between the lines,. Hiyo itakusaidia kuzingatia ili usitoke out of point.

Maelezo yako hayajibu swali nililokuuliza,...tuliza akili kisha urudi.
 
sijasema haina curveture,namaanisha kila sehemu ni curveture au sehemu ya curveture.
Unazidi kujichanganya sasa.....in short mada inaanza kuwa oversize kwako.

Relax Kwanza,...kunywa maji ya kutosha urudi. πŸ™ŒπŸΌ

Ukiwa humble utajifunza mengi sana,...kwa mfano binafsi nimeamua kujishusha kiasi ambacho nikipata proof isiyo na shaka kwamba Dunia ni Tufe la namna hii ➑️🌍,.....Basi nitakubaliana na hoja hiyo,... problem ni kwamba kwa sasa doubts ni nyingi zinazofanya Mtu ushindwe kukubaliana na hoja hiyo kwa 100%.
 
Nasoma hoja yako hii,

Hapo kwenye kutumia macho kama njia ya kubaini umbo la dunia, futa kabisa hiyo.

Kuna vitu vidogo tu huwezi kutumia macho yako mpaka vipimo...Mfano Ujenzi, Michoro ya mistari na maumbo tofauti,

Hivyo nlivyoorodhesha hapo ukitumia macho yako unaweza ona kila kitu kipo sahihi kumbe umeenda chaka haswa.
 
Yes upo sahihi kabisa maana hata hivyo vipimo utatumia macho kutazamia,...na ndiyo maana macho tukiyapa na usaidizi wa vifaa mbalimbali bado mpaka Leo hayajatupa uthibitisho kwamba Dunia ni round-ball......

Au wewe kuna kifaa unakifahamu kimetumika kuonyesha kwamba Dunia ni round-ball?

Kwa mfano hata ukiwa kwenye Ndege au aircraft yoyote,..bado huoni umbo la tufe la Dunia,...sasa ni kitu gani kinafanya tuamini dunia ni Tufe??!
 
Kuna jambo nachunguza, Ntakuja kutoa majibu hapa.


Nkiachana na hilo nina swali kwako.
Na hili swali ni "zao" kutoka kwenye swali la mdau wa dunia ni flat kama wewe.
Yani swali lake ambalo tayari nlimjibu kwa kumtaka achunguze kujiridhisha liliibua maswali ya kuwauliza nyinyi mnaodai dunia ni flat

Swali:


Kwa nyinyi ambao mnaamini dunia ni flat, Kama Dunia imestick kwenye position moja kwanini nyota hazionekani kwenye position moja ? Yani nyota uliyoiona sehemu fulani baada ya masaa kadhaa kupita haionekani tena pale why ? . Naomba majibu tafadhali
 
Sawa chunguza mkuu,..that's a right thing to do 🀝🏼

Nikijibu swali lako ni kwamba,..Nyota hazionekani kwenye position moja Kwa kuwa na zenyewe zinafanya movement kama ilivyo Kwa Mwezi &Jua,....all heavily bodies are floating in the sky.

Na utagundua hilo endapo Tu,.utaamua kuamini macho yako,..usipoamini macho yako utasikiliza maoni ya wengine ambayo yata contradict na kile ambacho wewe unakiona kisha uta ignore macho yako Kwa kuamini kile ambacho kipo believed na wengi (masses) ndiyo sahihi.,...watu wengi hudhani kile ambacho kinaaminiwa na wengi ndiyo ukweli 100% kumbe kiuhalisia haipo hivyo.

Kwa mfano chukulia, the late John Pombe Magufuli alivyo handle ishu ya Covid-19 alionekana wa ajabu Kwa kwenda kinyume na views za wengi,.ila in the end kumbe alifanya the right approach na decision.
 
Aise una moyo sana.
 
Umejibu kiuwepesi sana mkuu,

Hii ni research yako uliifanya ukabaini hivyo ?

Au kuna source ambayo ina hayo maarifa pamoja na ushahidi.

Nahitaji proof
 
Flat earthers wekeni point zenu mezani independently, tuzione

Msitumie njia ya elimination ya hoja za spherical earth
 
Kwa mfano chukulia, the late John Pombe Magufuli alivyo handle ishu ya Covid-19 alionekana wa ajabu Kwa kwenda kinyume na views za wengi,.ila in the end kumbe alifanya the right approach na decision.
jo pombe
 
Umejibu kiuwepesi sana mkuu,

Hii ni research yako uliifanya ukabaini hivyo ?

Au kuna source ambayo ina hayo maarifa pamoja na ushahidi.

Nahitaji proof
Yap hiyo ni research yangu,... through observation.

Ndiyo maana nikasema hapo juu kwamba utagundua vitu kama hivyo endapo tu utaamua kuamini macho yako.

Kitu pekee kinachofanya usiamini observations unazofanya na macho yako,...ni indoctrination iliyowekwa kwenye akili yako kwamba πŸ—£οΈ "YOUR EYES ARE LYING TO YOU"

Kitu ambacho wala si kweli,...inabidi ufungue minyororo uliyofungwa ili uanze kuwa na fikra huru.


Unasema unahitaji proof?,... The proof is just in front of your eyes you just have to open it and see on your own!
 
Aise una moyo sana.
Hahh umerudi auco hapa ni facts tu,..ikiwa unataka kujifunza chochote kwenye hii Dunia amini kwamba kuna room ya kujifunza zaidi., ukiiambia akili yako kwamba unachokijua ndiyo sahihi 100% unakua umejiingiza kwenye box ambalo litakufanya ushindwe kuchukua fursa za kujifunza zaidi.

NB:- Hata hao unaowaamini wanaendelea kufanya maboresho kila siku wakipata evidences mpya,....sasa siku wakija kukuambia they were wrong utaiweka wapi sura yako?
 
Wale tunaoamini maoni (theories)ya wengine,....siku watu hao wakibadili maoni yao juu ya vile walivyotuaminisha,..Je, tutabadili msimamo yetu au tutakomaa?
 
Sijaona facts kwenye majibu yako, Ondoa neno "Kuamini" nataka kujua kwa ushahidi usio na shaka yoyote.
 
Sijaona facts kwenye majibu yako, Ondoa neno "Kuamini" nataka kujua kwa ushahidi usio na shaka yoyote.
Kwahiyo ushahidi wa macho yako always una mashaka?
Kwa mantiki hiyo kuna siku utafika Kinondoni, kisha utasema hapa sio Kinondoni bali ni London macho yananidanganya. Jokes!

Kama ni hivyo subiri wengine watumie macho yao wanayoamini hayana mashaka,..wakishayatumia wataamua nini wakuambie Kwa kuwa unawaamini 100%🀝🏼..,

So, hiyo tarehe 9 tutatumia macho kufanya observation,...au tutatumia organ gani ya fahamu?
 


Na ni wewe huyo huyo unapinga ship visibility, Unasema ni uwezo mdogo wa macho ha ha ha! So funny

Nmewahi kukwambia ndio nyinyi mkiwa kwenye gari mnaona miti ndio inakimbia
 
Unazidi kujichanganya sasa.....in short mada inaanza kuwa oversize kwako.
wapi najichanganya,au nakuchanganya na somo halijaanza.
doubt zipi,watu wanaomba toka page ya kwanza hakuna anayeleta.

unajua ili mada iwe simple,inabidi ukubali kwamba hujawahi kuelewa hili somo,lakini.kujaribu kulijengea hoja zako hizi za hapa na pale unazidi kujifukia.

proof zote hazina shaka hata moja,imebaki wewe kutupa zako za dunia tambarale,tunaziomba.
 
Somo la forces pale form two ulielewa mkuu?
 
ukitaka kuelewa kitu focus kwenye mada husika kisha read between the lines,. Hiyo itakusaidia kuzingatia ili usitoke out of point.

Maelezo yako hayajibu swali nililokuuliza,...tuliza akili kisha urudi.
mkuu una uhakika una uwezo wa kuelewa mambo ya kawaida tu!!!πŸ˜‚πŸ˜‚,nisijekuwa napoteza muda hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…