Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Kwani wanaodai Dunia Tufe ina curvature ni kina nani?

Kwa kukusaidia curvature maana yake ni "Mkunjo"…....

Sasa huoni kama Inakua haiingii akilini unapodai kwamba flattened earth inahitaji kuwa na curvature?

Kingo na curvature ni vitu viwili tofauti,..usirudie tena kufananisha.
 
Yani unajua kwanini napinga kuhusu ship visibility.,..NI Kwasababu ipo aligned na concept ya Curvature of the earth.

Kwa maana kwamba,...hapo macho yako yanapokuonyesha kutumbukia Kwa Meli ukiwa distance Fulani, ndiyo curvature inapoanzia......sasa ili ujue kama macho yako yanakuonyesha ukweli ama la ni wewe kuthibitisha hiyo curvature kwenye eneo husika kupitia macho yako hayo hayo,.. kimsingi macho hayaonyeshi curvature yoyote through ship visibility kama mnavyodai.

Have you ever witnessed the curvature at the exact point where you claim the ship starts to descend towards the curve?

NB:- Kabla ya kuhitimisha mjadala huu let's wait for 9th February kama ulivyoahidi... Experience now
 
Kwani wanaodai Dunia Tufe ina curvature ni kina nani?
wanasayansi wote wanadai dunia ni tufe,sasa ukiuliza curvature inaanzia point ipi ktk tufe,unakuwa umeuliza swali la kupuyanga.
Kwa kukusaidia curvature maana yake ni "Mkunjo"…....
hunisaidii,bali unazidi kujiweka pambaya sababu uliuliza swali la ajabu kama unajua ni mkunjo.
Sasa huoni kama Inakua haiingii akilini unapodai kwamba flattened earth inahitaji kuwa na curvature?
labda hujui msingi wa imani yako(flattened earth),imani ya watu wanaoamini flattened earth ni pamoja na kuamini dunia ina kingo,au mpaka kwa maana nyingine,yaani inapoishia ardhi kuna mkatiko,mfunjiko,mkunjo,sasa tunaomba kujua ni point ipi ktk dunia ina hiyo hali.
Kingo na curvature ni vitu viwili tofauti,..usirudie tena kufananisha.
,wewe unang'ang'ania kuwa mpumbavu wakati tunataka ukikaa na watoti wa standard 5 ufiche aibu ndogo ndogo hizi.
haya swali,hizo kingo hazina mwisho??
 
CURVATURE
The Earth is too large to notice curvature
Pia "kumbuka dunia kwa ujumla wake ni tambarare" lakini uso wake una mabonde mabonde.........
Sasa kumbe unajua kama Dunia Kwa ujumla wake ni tambarare kama ulivyosema hapo juu,... kwanini unaamini vitu ambavyo havipo mkuu.? Nadhani mada ilipaswa iishie hapa.
Sasa tuje hapa kwenye suala la Curvature..., miongoni mwa vitu muhimu kabisa unachotakiwa ufahamu ni hii principle ya maji "Water never curves"....Water always maintain a horizontal level at the surface especially In a very large body of water like ocean....
Naamini unafahamu na unakubaliana na principle hiyo,..si ndiyo?

sasa Kwa kuwa maji yana maintain horizontal level baharini:-
1
. Meli haiwezi Ku descend towards the so called curvature Kwasababu maji yapo at the horizontal level.
2. Kwa kukusaidia pia,. Unaweza fanya laser test over an Ocean and prove by yourself if water indeed curves or not.... cause utaweza kuona a straight line beyond sehemu ambayo unaamini Meli ina descend towards the so called curvature.

NB:- Curvature of the earth,.haipo Kwa kuwa mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa, hakuna uthibitisho wowote kwamba a specific point/location ndiyo curvature inapoanzia.......labda kama wewe Una ushahidi huo unaweza kutusaidia ili tuondoe utata.... Narudia tena Where's the curvature?
 
kingo hizo hawajawahi kutuonesha, wameshindwa kuungana kurusha satelite moja tu ya kwenda kuleta feed ya kingo
 
Hahh mkorinto acha bangi mkuu,...Globers ndiyo mnasema Dunia ina curve,. Sasa inakuaje unataka Mimi nithibitishe hiyo curvature wakati nyie ndiyo mnadai hivyo????????

Kama hujui hata curvature ni hoja toka upande gani,...basi hustahili kujadili mada hii,..pumzika Mkuu.
 
Kuna watu wajinga sana hasa hasa waafrika, kung'amua, kwa hiyo mercury, mars, jupiter tufanye na jua nazo pia ni flat πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kama hujui waafrika wengi ndiyo wanaamini Dunia Tufe Kwa kuwa wengi ni wavivu wa Ku reason,.... Great thinkers wengi hii idea ya round-ball haiwaingii akilini mpaka sasa Kwa kuwa haina ushahidi wowote zaidi ya CGI.

NB:- Usirudie tena kufananisha Dunia na Mars, Jupiter wala Mercury Kwa kuwa Dunia ipo tofauti Sana,...kama DUNIA ingekua sawa na hivyo ulivyovitaja basi huenda saa hizi ungekua Jupiter huko umelala,..You are here because this is a flat home, that supports life!
 
 

Attachments

  • sciencefunn-20230620-0001.mp4
    793.8 KB
Kwanini tukiruka juu tunarudi chini according to flat earthers theory yenu ipoje hapa?
 

Nimesema hapo juu kwamba Dunia ni duara kwa ujumla wake lakini surface yake ina milima na mabonde
Na kwa ukubwa wa Dunia nivigumu sana kuona curvature

So kutaka kujua ni wapi haswa dunia inapoanza kujikunja haswa kwenye aridhi ni vigumu kwasababu ya ukubwa wa dunia na dunia haipo perfectly and smoothly round.

Lakini kwenye maji popote pale utakapo kuwa umesimama basi tambua upande wowote utakao elekea basi kuna mkunjo unaanza lakini kwa sababu ya ukubwa wa dunia huwezi ku notice, itaonekana ipo tambarare tu (MUHIMU... Mkuu kama concept ya Earth is too large with rough surface to notice curvature hujailewa hata kama hukubaliani nayo auimekuzidi upeo wako wa kuelewa basi huu mjadala utakua hauna TIJA)

Nani kakudanganya kwamba water can not curve?...... water can curve in any shape it’s forced into because it’s a fluid
Wakati mwingine hata tone la maji linaweza kuwa sehemu na likatengeneza shape ya mviringo
Hata ukiweka maji kwenye glasi nyembamba pale yanapoishia yatapinda

Katika Bwawa la kuogelea saizi ya olimpiki kama ukichukua vipimo sawa vimenyooka toka mwanzo hadi mwisho wa bwawa basi kipimo cha katikati ya bwawa kitakuwa juu zaidi ya kipimo cha mwanzo na mwisho wa bwawa kwa chini ya 50 micrometers.... hii sio kitu unaweza kuona na kubaini kwa macho
 
Elimu yako inatia wasiwasi, kwa hiyo hapo unajiona bonge la great thinker πŸ˜„ Nyie ndiyo wale mnabisha mpaka jinsia zenu mkitaka mpaka ushahidi alafu mnajiita great thinker! Kwanza unaelewa maana ya CGI? Unazijua satellites? Unajua any space mission? Naposema elimu yako inatia mashaka ni hapo unaposema dunia ni tofauti! Inaonyesha hauna uelewa wa mambo mengi sana USHAURI: jikite kwenye kujifunza kwanza na kuelewa mambo kwa upana wake sio kugoogle na kukusanya viandiko vya wanafunzi wa field wa huko marekani mwisho unafanya conclusion ambazo zinakufanya uonekane mjinga huku wewe ukijiona great thinker.
 
Elimu yako inatia wasiwasi, kwa hiyo hapo unajiona bonge la great thinker πŸ˜„ Nyie ndiyo wale mnabisha mpaka jinsia zenu mkitaka mpaka ushahidi alafu mnajiita great thinker! Kwanza unaelewa maana ya CGI? Unazijua satellites? Unajua any space mission? Naposema elimu yako inatia mashaka ni hapo unaposema dunia ni tofauti! Inaonyesha hauna uelewa wa mambo mengi sana USHAURI: jikite kwenye kujifunza kwanza na kuelewa mambo kwa upana wake sio kugoogle na kukusanya viandiko vya wanafunzi wa field wa huko marekani mwisho unafanya conclusion ambazo zitakufanya uonekane mjinga huku wewe ukijiona great thinker.
fuatilia mkuu it's very interesting and very confusing at the same time. wanaobisha sio watu wa dini ni wana sayansi pia.
Hakuna mwanasayansi mpuuzi wa karne hii anayekuwa confused na shape ya dunia, acha kukuza mambo! Labda nyie watoto wa nursery ndiyo bado ujinga mwingi vichwani
 
Yaani hata hili mleta mada kashindwa kujiongeza! Hapo anajiona bonge la great thinker πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Ona hii Ng'ombe nyingine πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kuna swali moja ambalo huwa najiuliza kila siku.

Kama kweli dunia inazunguka inakuaje nchi zingine barafu huwa zinaanguka miaka yote na wakati huo kwa tanzania barafu hazijawahi kuanguka hata siku moja.
Duh elimu yako tafadhali?
 
So Kwa video uliyoweka hapo umeonyesha kwamba,.. it's impossible to see the curvature? Si ndiyo?

If it's impossible to observe the curvature of the earth as you have shown in that video,..then it's equally ilogic to say that "The ships are disappearing towards the earth's curvature,." Experience now
 
So kutaka kujua ni wapi haswa dunia inapoanza kujikunja haswa kwenye aridhi ni vigumu kwasababu ya ukubwa wa dunia na dunia haipo perfectly and smoothly round.
Kwa mantiki hiyo,....mtu akisema Meli huwa zina descend towards the curve,...anakua yupo sahihi?

Kama yupo sahihi,.... kwanini basi tusihitimishe Kwa kusema kwamba "Pale ambapo Meli zinaanza ku descend towards the curve,. Ndiyo an exact point ambayo Curvature of the earth inaanzia?"

NB:- Umesema hapo kwenye maelezo yako kwamba Dunia haipo perfectly round,...sasa picha zinazoonyesha ipo perfectly round 🌍 zimetoka wapi? Maana globers wengi wanategemea picha za NASA., picha ambazo zinaonyesha a perfect round-ball.
 
Usiongee sana,....ili uthibitishe kwamba Dunia ni Tufe lete ushahidi usio na shaka.

1. Lete authentic picha, ambayo sio Computer generated (CGI).
2. Au lete video halisia kutoka hizo satellite unazosema zikionyesha, Dunia Tufe inayozunguka.
 

Mkuu naamini tunaelimishana na HATUBISHANI......

Naomba rudi kwenye post uliyo quote na ufafanue hoja kwa hoja, usi quote kakipande na kufanya diversion kukwepa kutoa ufafanuzi hoja ya msingi

Naomba nifafanulie hoja kwa hoja kama nilivyo jitahidi kufafanua hoja zako ZOTE nilizozi quote hapa chini
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…