hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kutokuona kingo za Dunia hakuifanyi Dunia isiwe flat kama tunavyoiona...what if Dunia ni infinity na tunaishi sehemu ndogo tu ya Dunia? Kumbuka sehemu kubwa ya Dunia ni maji yaani eneo ambalo lipo covered na maji with reference to nchi kavu,. utakuta eneo la nchi kavu ni kama kisiwa Tu.Kama Dunia ni flat
Kuta/Kingo za Dunia zipo wapi mkuu ? Ni mji au nchi gani imepakana na hizo kingo ?
Hivi kwanini tunashindwa kukubaliana na ukweli huu ulio wazi kwamba Dunia ipo flattened na sio tufe?
Nani ashawahi kuona Tufe Kwa macho yake?
Nani ashawahi kuthibitisha Dunia inazunguka Kwa kutumia milango yake ya fahamu?,.
Kwanini hakuna real authentic picha au video(NON CGI) ambayo inaonyesha Dunia Tufe ikizunguka.
NB:- Ukifanya research on your own,..hautoacha ku doubt Dunia tufe.