Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Size ya hili tufe Dunia unaifahamu ?Umesahau kama mnasema Dunia ina move Kwa zaidi ya 1.6 miles per day yaani zaidi ya 40,075 kilometers??!
Wewe nenda kachunguze hizo video Kwa sekunde zote unazotaka,.hautoweza kuona kile ulichoaminishwa.
Jua ndo inaizunguka Dunia.... Hivyo ndio maana tunapata usiku na mchana... Sio kwamba kwa sababu ya uwongo ya kuwa Dunia ni duara.....Ingekuwa tambarare tusingepata usiku na mchana, kuhusu uduara wa dunia vipi picha live zinazopigwa ISS na zile za voyager 1 na 2 na bado satellite kibao zinaonyesha uduara wa dunia
Why linatokea Mashariki na kuzama Magharibi ?Jua ndo inaizunguka Dunia.... Hivyo ndio maana tunapata usiku na mchana... Sio kwamba kwa sababu ya uwongo ya kuwa Dunia ni duara.....
Swali gani hilo?Kama haujui unasema tu haujui acha habari za "What if" bla bla bla
umeshindwa kujibu swali langu umeanza maelezo mengine ambayo sijakuuliza.
Umewasingizia flat earthers,...most of flat earthers are genius & free minded people(s) hawawezi wakaongea upuuzi kama huo.Unasema hii ni meme ndio ni meme ambayo ilitengenezwa kutoka kwenye habari ya ukweli..Huu ni mfano wa wazi ni kwanini mnakua wabishi kuelewa kwa vitu ambavyo mnakua hamjui.
Hii ni taarifa kamili ya habari, Watu wa flat eather's walitoa hayo madai kwamba Australia haipo Duniani..
Hizo meme zikatengenezwa baada ya hiyo habari.
Mimi pia nina uhakika 100% usafiri wa Ndege hujawahi kuutumia.Nna uhakika wa 100% usafiri wa ndege hujawahi kuutumia.
Hapa umethibitisha kuwa unaandika mambo kwa kubahatisha bahatisha.
Kama Dunia ni flatSwali gani hilo?
Jaribu kujitofautisha na wapumbavu mkuu, Wapumbavu huwa wanabisha tuu kwasababu tu wameamua kubisha.Umewasingizia flat earthers,...most of flat earthers are genius & free minded people(s) hawawezi wakaongea upuuzi kama huo.
Hao waliodai hivyo itakua ni Globers tu,.wameamua kutengeneza meme ya kujipa moyo juu ya Imani yao ya tufe.
Kwahiyo hayo maelezo ndio fikra na taarifa ambazo kichwa chako kimebeba ?Mimi pia nina uhakika 100% usafiri wa Ndege hujawahi kuutumia.
Ngoja nikufahamishe sasa kama hujui kuhusu hili,....ipo hivi[emoji1370]
Miongoni mwa assumptions muhimu kabisa kwenye Piloting ni hizi mbili :-
1. Non-rotating earth.
2. Assumption that the earth is flat.
Pilots primarily rely on instruments and navigation systems that assume a flat, non-rotating Earth, and these systems are highly accurate for all typical flight operations!
wanasema ni assumptions,..lakini Kwa Mtu mwenye akili timamu na kujiongeza anajua kabisa kwamba sio tu assumptions,.Bali ndiyo uhalisia ulivyo.
NB:- Naamini maelezo haya yataweza kukuzindua na kuanzia usiku huu utaanza kufikiria critically on your own na hapo ndiyo utakua umeamka sasa.
Soma haya maelezoMimi pia nina uhakika 100% usafiri wa Ndege hujawahi kuutumia.
Ngoja nikufahamishe sasa kama hujui kuhusu hili,....ipo hivi[emoji1370]
Miongoni mwa assumptions muhimu kabisa kwenye Piloting ni hizi mbili :-
1. Non-rotating earth.
2. Assumption that the earth is flat.
Pilots primarily rely on instruments and navigation systems that assume a flat, non-rotating Earth, and these systems are highly accurate for all typical flight operations!
wanasema ni assumptions,..lakini Kwa Mtu mwenye akili timamu na kujiongeza anajua kabisa kwamba sio tu assumptions,.Bali ndiyo uhalisia ulivyo.
NB:- Naamini maelezo haya yataweza kukuzindua na kuanzia usiku huu utaanza kufikiria critically on your own na hapo ndiyo utakua umeamka sasa.
..Soma haya maelezoView attachment 2910693
Yani unashindwa kujua kama hata wewe licha ya kuwa ni Mtu wa Tufe., unaweza kufungua a troll social media account na ukaiita "Flat Earth Believers"?Jaribu kujitofautisha na wapumbavu mkuu, Wapumbavu huwa wanabisha tuu kwasababu tu wameamua kubisha.
Kwanini usingeomba hata chanzo cha taarifa kwanza ?
Hii taarifa ni ya tangu 2018
Anyways soma hapo chini [emoji116]View attachment 2910688
Maneno yanapaswa yasiwe mengi turudi kwenye facts,.....kwamba Je, unajua na unakubali kwamba assumptions hizo nilizoweka hapo juuKwahiyo hayo maelezo ndio fikra na taarifa ambazo kichwa chako kimebeba ?
Are you serious brother ? [emoji848]
Rudi kwenye post # ya swali lako nilishajibu kuhusu hili,... labda kama hujakua satisfied.Kama Dunia ni flat
Kuta/Kingo za Dunia zipo wapi mkuu ? Ni mji au nchi gani imepakana na hizo kingo ?
Mimi sihitaji kujua, Ila nafahamu hii ni aina ya mitazamo mliyonayo watu wa flat earth, yani nyinyi kwa nyinyi hamuelewani kila mmoja ana mawazo yake.Yani unashindwa kujua kama hata wewe licha ya kuwa ni Mtu wa Tufe., unaweza kufungua a troll social media account na ukaiita "Flat Earth Believers"?
Lakini pia hiyo statement hata kama ni kweli ametoa Mtu anaeamini kwenye flat earth,.binafsi naiona ni statement ambayo haina mantiki yoyote kama vile yalivyo madai ya Dunia Tufe tu....
Nmeona maelezo mengi ambayo bado hayajanisaidia so swali langu haujajibu,Rudi kwenye post # ya swali lako nilishajibu kuhusu hili,... labda kama hujakua satisfied.
Sawa,..nadhani hiyo budget ungeandaa Kwa ajili ya kwenda kushuhudia Kwa macho yako mahali exactly ilipo curvature of the earth ingekua unyama sana na ungemaliza mjadala wote huu.Nmeona maelezo mengi ambayo bado hayajanisaidia so swali langu haujajibu,
Nimeuliza hayo maeneo ili niyafahamu ikiwezekana niandae budget kwajili ya kwenda kufanya utalii huko
Acha uswahili, Mimi nataka kuona kingo za Dunia. nifahamishe zilipo nijipange niende.Sawa,..nadhani hiyo budget ungeandaa Kwa ajili ya kwenda kushuhudia Kwa macho yako mahali exactly ilipo curvature of the earth ingekua unyama sana na ungemaliza mjadala wote huu.
NB:- Usisahau kurudi kwenye post #1,554 Kwa majibu,.watu wote wanakusubiri wewe uokoe jahazi la Dunia Tufe. Tafadhali sana mkuu Chosen Rich
I think it'll be fair If I could say,..."Dunia ni kubwa sana that's why huwezi kuona kingo,...."Acha uswahili, Mimi nataka kuona kingo za Dunia. nifahamishe zilipo nijipange niende.