Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Umesahau kama mnasema Dunia ina move Kwa zaidi ya 1.6 miles per day yaani zaidi ya 40,075 kilometers??!

Wewe nenda kachunguze hizo video Kwa sekunde zote unazotaka,.hautoweza kuona kile ulichoaminishwa.
Size ya hili tufe Dunia unaifahamu ?
 
Ingekuwa tambarare tusingepata usiku na mchana, kuhusu uduara wa dunia vipi picha live zinazopigwa ISS na zile za voyager 1 na 2 na bado satellite kibao zinaonyesha uduara wa dunia
Jua ndo inaizunguka Dunia.... Hivyo ndio maana tunapata usiku na mchana... Sio kwamba kwa sababu ya uwongo ya kuwa Dunia ni duara.....
 
Unasema hii ni meme ndio ni meme ambayo ilitengenezwa kutoka kwenye habari ya ukweli..Huu ni mfano wa wazi ni kwanini mnakua wabishi kuelewa kwa vitu ambavyo mnakua hamjui.

Hii ni taarifa kamili ya habari, Watu wa flat eather's walitoa hayo madai kwamba Australia haipo Duniani..

Hizo meme zikatengenezwa baada ya hiyo habari.
Umewasingizia flat earthers,...most of flat earthers are genius & free minded people(s) hawawezi wakaongea upuuzi kama huo.

Hao waliodai hivyo itakua ni Globers tu,.wameamua kutengeneza meme ya kujipa moyo juu ya Imani yao ya tufe.
 
Nna uhakika wa 100% usafiri wa ndege hujawahi kuutumia.

Hapa umethibitisha kuwa unaandika mambo kwa kubahatisha bahatisha.
Mimi pia nina uhakika 100% usafiri wa Ndege hujawahi kuutumia.

Ngoja nikufahamishe sasa kama hujui kuhusu hili,....ipo hivi👇🏼
Miongoni mwa assumptions muhimu kabisa kwenye Piloting ni hizi mbili :-
1. Non-rotating earth.
2. Assumption that the earth is flat.

Pilots primarily rely on instruments and navigation systems that assume a flat, non-rotating Earth, and these systems are highly accurate for all typical flight operations!

wanasema ni assumptions,..lakini Kwa Mtu mwenye akili timamu na kujiongeza anajua kabisa kwamba sio tu assumptions,.Bali ndiyo uhalisia ulivyo.

NB:- Naamini maelezo haya yataweza kukuzindua na kuanzia usiku huu utaanza kufikiria critically on your own na hapo ndiyo utakua umeamka sasa.
 
Umewasingizia flat earthers,...most of flat earthers are genius & free minded people(s) hawawezi wakaongea upuuzi kama huo.

Hao waliodai hivyo itakua ni Globers tu,.wameamua kutengeneza meme ya kujipa moyo juu ya Imani yao ya tufe.
Jaribu kujitofautisha na wapumbavu mkuu, Wapumbavu huwa wanabisha tuu kwasababu tu wameamua kubisha.

Kwanini usingeomba hata chanzo cha taarifa kwanza ?

Hii taarifa ni ya tangu 2018

Anyways soma hapo chini [emoji116]
1668597758.jpg
 
Mimi pia nina uhakika 100% usafiri wa Ndege hujawahi kuutumia.

Ngoja nikufahamishe sasa kama hujui kuhusu hili,....ipo hivi[emoji1370]
Miongoni mwa assumptions muhimu kabisa kwenye Piloting ni hizi mbili :-
1. Non-rotating earth.
2. Assumption that the earth is flat.

Pilots primarily rely on instruments and navigation systems that assume a flat, non-rotating Earth, and these systems are highly accurate for all typical flight operations!

wanasema ni assumptions,..lakini Kwa Mtu mwenye akili timamu na kujiongeza anajua kabisa kwamba sio tu assumptions,.Bali ndiyo uhalisia ulivyo.

NB:- Naamini maelezo haya yataweza kukuzindua na kuanzia usiku huu utaanza kufikiria critically on your own na hapo ndiyo utakua umeamka sasa.
Kwahiyo hayo maelezo ndio fikra na taarifa ambazo kichwa chako kimebeba ?

Are you serious brother ? [emoji848]
 
Soma haya maelezo
2086930289.jpg
 
Jaribu kujitofautisha na wapumbavu mkuu, Wapumbavu huwa wanabisha tuu kwasababu tu wameamua kubisha.

Kwanini usingeomba hata chanzo cha taarifa kwanza ?

Hii taarifa ni ya tangu 2018

Anyways soma hapo chini [emoji116]View attachment 2910688
Yani unashindwa kujua kama hata wewe licha ya kuwa ni Mtu wa Tufe., unaweza kufungua a troll social media account na ukaiita "Flat Earth Believers"?

Lakini pia hiyo statement hata kama ni kweli ametoa Mtu anaeamini kwenye flat earth,.binafsi naiona ni statement ambayo haina mantiki yoyote kama vile yalivyo madai ya Dunia Tufe tu....
 
Kwahiyo hayo maelezo ndio fikra na taarifa ambazo kichwa chako kimebeba ?

Are you serious brother ? [emoji848]
Maneno yanapaswa yasiwe mengi turudi kwenye facts,.....kwamba Je, unajua na unakubali kwamba assumptions hizo nilizoweka hapo juu
1. Non-rotating earth
2. Flat earth

100% zinakua applied kwenye Piloting???!
Tukishakubaliana hapa ndiyo tunaweza kuendelea sasa..,....

Maana naona umeenda Quora Ku screenshot maelezo ya watu wakijitetea kuhusu hoja niliyoitoa hapo juu.......kabla ya utetezi tukubaliane Kwanza kama Are those assumptions applied in Piloting,?,if so then we can proceed with utetezi.
 
Yani unashindwa kujua kama hata wewe licha ya kuwa ni Mtu wa Tufe., unaweza kufungua a troll social media account na ukaiita "Flat Earth Believers"?

Lakini pia hiyo statement hata kama ni kweli ametoa Mtu anaeamini kwenye flat earth,.binafsi naiona ni statement ambayo haina mantiki yoyote kama vile yalivyo madai ya Dunia Tufe tu....
Mimi sihitaji kujua, Ila nafahamu hii ni aina ya mitazamo mliyonayo watu wa flat earth, yani nyinyi kwa nyinyi hamuelewani kila mmoja ana mawazo yake.
 
Rudi kwenye post # ya swali lako nilishajibu kuhusu hili,... labda kama hujakua satisfied.
Nmeona maelezo mengi ambayo bado hayajanisaidia so swali langu haujajibu,

Nimeuliza hayo maeneo ili niyafahamu ikiwezekana niandae budget kwajili ya kwenda kufanya utalii huko
 
Sawa,..nadhani hiyo budget ungeandaa Kwa ajili ya kwenda kushuhudia Kwa macho yako mahali exactly ilipo curvature of the earth ingekua unyama sana na ungemaliza mjadala wote huu.

NB:- Usisahau kurudi kwenye post #1,554 Kwa majibu,.watu wote wanakusubiri wewe uokoe jahazi la Dunia Tufe. Tafadhali sana mkuu Chosen Rich
 
Acha uswahili, Mimi nataka kuona kingo za Dunia. nifahamishe zilipo nijipange niende.
 
I think it'll be fair If I could say,..."Dunia ni kubwa sana that's why huwezi kuona kingo,...."
Kama nyie mnavyosema kwamba "Dunia ni kubwa sana that's why huwezi kuona curvature "......so it's both teams to score.

NB:- Usisahau kurudi kwenye post #1,554,..Globers wanakutegemea sana uwaokoe pale Mkuu.
 
Back
Top Bottom