hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kwani nyie mmefika wapi Mkuu?nyinyi hamtaki kufanya tafiti, kazi yenu kupinga theory za wenzenu, space ni kubwa sana mkuu sasa hizi nadharia mimi siwezi jadili nawewe maana huzitaki kwa sababu kitu kama gravity unakipinga huko mbele itakua shida., okay sio kesi achana na kwenda space nyinyi mnasema tambarare ina mwisho ama ni infinity sawa tumekubali je nyi mshafika wapi kwamba mseme tumefika mpaka umbali flani tumekuta hiki na hiki????? au hamna uwezo huo?
Au ndiyo mwaka 1969 mliweza kwenda mwezini Kwa teknolojia ndogo ya miaka hiyo,...lakini sasa hivi 2024 hamuwezi?
Yaani ingekua kweli mliweza kwenda mwezini mwaka 1969 basi mpaka Karne hii ilibidi mwezini kuwe kama kwenda Kariakoo Tu lakini zimebaki hadithi.