Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwa sabab ndio jibu lenye mashiko zaidi mpaka sasa, kama unalo la kwako liseme hapa na utuambie how. Maana maelezo kuhusu how gravity yapo vyema kabisa.
So, Maji yanastick kwenye round-ball Kwa kushikiliwa na gravity?

Una uthibitisho wowote,?..ukileta real video itakua vizuri zaidi au kama ushawahi Ku observe sehemu.
 
Kinachofanya udondoke nilishasema kwamba ni kukosa mechanism ya kukufanya uweze kugenerate lift na kuitumia air pressure kama ngazi.....so Kwa kuwa huna mechanism hiyo lazima uanguke tu.,.
Hapa hujajibu ni nini, na Kwa vipi? Bali umetoa soln ya kufanya uende juu,
Na hii ni proof ya kuwa Kuna force inavuta kuja chini that's why unahitaji opposite force yenye nguvu zaidi kuliko hiyo Ili uweze kufanya hivyo

Nilikupa mfano ulichukua mpira (ball) ukiuweka juu ya maji let's say ya bahari utaelea bila mechanism yoyote ya kufanya upae, lakn ukiuweka kwenye air above the ground utadondoka why?
 
So, Maji yanastick kwenye round-ball Kwa kushikiliwa na gravity?

Una uthibitisho wowote,?..ukileta real video itakua vizuri zaidi au kama ushawahi Ku observe sehemu.
Ndio hivyo au Kuna namna nyingne unayoijua?

Unataka real video ya gravity😄😄😄??
Gods might be crazy🤣🤣🤣🤣🤣
Ni sawa naww nikuambie niletee real video ya magnetism. Au real video ya Dunia flat ikielea.
 
So, Maji yanastick kwenye round-ball Kwa kushikiliwa na gravity?

Una uthibitisho wowote,?..ukileta real video itakua vizuri zaidi au kama ushawahi Ku observe sehemu.
Nimeshajua tatizo lako ni nn.

Screenshot_20240307-005400~2.png

Sasa wewe umeanza vizuri umeobserve Kwa perception zako, ukarukia conclusion tu.

Japokuwa sio wote tunaweza kufanya scientific investigation ya Kila kitu, Kuna njia za kuverify hizo investigations.

1. Check the Source: Look for research published in reputable scientific journals or by well-respected research institutions.

2. Peer Review: Determine if the research has been peer-reviewed, meaning it has been evaluated by other experts in the field.

3. Methodology: Assess the study's methodology to ensure it is sound and rigorous.

4. Replication: See if the findings have been replicated by other studies or if there is a consensus within the scientific community.

4. Conflict of Interest: Investigate if there are any potential conflicts of interest that may have influenced the research.

Kitu ambacho ww unakosa ni huna maelezo yanayoeleweka, unaunganga tu.
 
Hapa hujajibu ni nini, na Kwa vipi? Bali umetoa soln ya kufanya uende juu,
Na hii ni proof ya kuwa Kuna force inavuta kuja chini that's why unahitaji opposite force yenye nguvu zaidi kuliko hiyo Ili uweze kufanya hivyo

Nilikupa mfano ulichukua mpira (ball) ukiuweka juu ya maji let's say ya bahari utaelea bila mechanism yoyote ya kufanya upae, lakn ukiuweka kwenye air above the ground utadondoka why?
Yes hapo kwenye mfano wa mpira juu ya maji nadhani tutaelewana zaidi..:-
Unapaswa uelewe kwamba maji ni maada na yanaweza ku act kama obstacle Kwa kitu kingine,..na ndiyo maana mpira ukiuweka juu ya maji utaelea instead of kwenda chini kabisa ya bahari kwenye ardhi kwa kuwa tayari maji yame act kama obstacle kwa mpira,.lakini pia Mpira ni less dense kuliko maji hivyo utaelea juu ya maji.

Ukiuweka kwenye air above the ground,.. mpira utadondoka Kwa kuwa upo more dense than air(yaani ni mzito kuliko hewa) hivyo hewa haiwezi Ku act kama obstacle kwa mpira,.. kitu ambacho kitapelekea mpira kudondoka mpaka pale utakapokutana na kizuizi ambacho ni dense than it,. which is earth's ground!
 
Ndio hivyo au Kuna namna nyingne unayoijua?

Unataka real video ya gravity😄😄😄??
Gods might be crazy🤣🤣🤣🤣🤣
Ni sawa naww nikuambie niletee real video ya magnetism. Au real video ya Dunia flat ikielea.
Sio real video ya gravity,..nataka ulete real video ikionyesha movement za maji ya bahari upside down kwenye Tufe ili tuone maji yanavyostick.

Ukiileta hiyo video nitaamini unasema kweli...na nitabadilisha mtazamo wangu.
 
Yes hapo kwenye mfano wa mpira juu ya maji nadhani tutaelewana zaidi..:-
Unapaswa uelewe kwamba maji ni maada na yanaweza ku act kama obstacle Kwa kitu kingine,..na ndiyo maana mpira ukiuweka juu ya maji utaelea instead of kwenda chini kabisa ya bahari kwenye ardhi kwa kuwa tayari maji yame act kama obstacle kwa mpira,.lakini pia Mpira ni less dense kuliko maji hivyo utaelea juu ya maji.

Ukiuweka kwenye air above the ground,.. mpira utadondoka Kwa kuwa upo more dense than air(yaani ni mzito kuliko hewa) hivyo hewa haiwezi Ku act kama obstacle kwa mpira,.. kitu ambacho kitapelekea mpira kudondoka mpaka pale utakapokutana na kizuizi ambacho ni dense than it,. which is earth's ground!
Ukisoma hapa👆🏼 sitarajii tena kama utakariri idea yako ya gravity na kuiweka kwenye kila kitu.. anthony_art
 
Safi Sasa unakuja nilipokuwa nataka, nimeshakutoa huko kwenye mechanism ya kupaa Sasa upo kwenye density. Safi😁.

Sasa ipo hivi ni kweli less denser than air lazima kipande juu, higher denser kitashuka chini.
Unajua kwann higher denser kitashuka chini na less denser kitapanda juu and not otherwise?

Ipo hivi, Kuna forces mbili zinakuwa zinaact kwenye huo mpira, bouyancy force na gravity kama hapa chini.
Screenshot_20240307-010736~2.png

Lakini kumbuka formula ya bouyancy force ni
Fb = density x gravity x volume.
Umeona gravity Bado ipo.

Kwahy Ili mpira uelewe either kwenye air au maji ni lazima bouyancy force iwe Kubwa zaidi ya gravity. Na ndivyo helium balloons zinafanya kazi.
 
Attachments

  • Screenshot_20240307-010736.png
    Screenshot_20240307-010736.png
    206.9 KB · Views: 2
Sio real video ya gravity,..nataka ulete real video ikionyesha movement za maji ya bahari upside down kwenye Tufe ili tuone maji yanavyostick.

Ukiileta hiyo video nitaamini unasema kweli...na nitabadilisha mtazamo wangu.

Hivi unaelewa usemacho?
Yan unataka nisimame upside down nipigie picha?
 
Ukisoma hapa👆🏼 sitarajii tena kama utakariri idea yako ya gravity na kuiweka kwenye kila kitu.. anthony_art

Au nikuulize wewe gravity ulizokubaliana nayo wewe ambayo Ina apply katka field mbali mbali ni work vipi?

Maana always gravity ina-act at the centre of the earth, na ndio hiyo hiyo tunatumia kwenye geological mapping na mining kwenye gravity exploration method.

Hiyo hiyo tunatumia kwenye energy dissipation Ili kuzalisha umeme,

Hiyo hiyo tunaitumia kwenye water supply designs Kwa dhana hiyo hiyo kuwa ina act at the centre of the earth.

Au calculations zetu zinatudanganya? Au inatokea by coincidence tu vitu zinaleta positive results katika field tofaut tofauti?

Noo man... Sio ujinga kukubali kwanza hapa kwenye gravity. Maana umekimbilia kwenye magnetism nimekuuliza how umetoka nduukiiii 😁.
 
Ukisoma hapa👆🏼 sitarajii tena kama utakariri idea yako ya gravity na kuiweka kwenye kila kitu.. anthony_art

Gravitational force Ina suppotiana na vitu vingi sana, ukiipinga itakubidi upinge vitu vingi ambavyo viko katika uhalisia,

Gravity inaelezea vizuri tu ocean tides zinavyotokea, au kama we unaweza kuelezea Kwa unavyojua elezea.

Inaelezea vizuri tu ni kivipi celestial bodies zina-revolve including moon kitu ambacho ww umeshindwa kuelezea.

Zaidi gravity inatumika estimate au kujua viscosity ya different liquids,

hqdefault.jpg

You see, all these fields ambazo Kwa namna Moja ama nyingne haziingilian lakn inatumika na inaleta positive results.
 
Wewe una ushahidi gani kama Ile shadow unayoona kwenye mwezi ni Dunia?

Au Kwa kuwa umeambiwa na NASA?
Acha porojo.

Kama NASA taarifa zao si sahihi, sahihi ni taarifa za taasisi ipi na kwanini?
 
Hahh kwahiyo tukiamua kukutana physically na kufanya real observation utaweza Ku prove Dunia Tufe?

Kwanza Dunia Tufe mwenzako anthony_art tayari ame confirm kwamba Dunia sio tufe la namna hii ➡️🌍,..
Dunia sio perfect sphere. Mbona hilo lipo wazi? Ila sio flat kama yale mapicha picha ya dunia iliyobebwa na kobe.
 
Yap,.Mimi sio wa Kwanza wala wa mwisho,... nenda kwenye page ya NASA utaona jinsi wanavyokua criticised Kwa ajili ya hizo CGI's.

Nadhani ili kuwatoa watu wasiwasi watume picha na videos ambazo ni real bila kufanya editing yoyote.
Ikija katika uhalisia wake sidhani kama mtu mwenye uelewa wa kawaida kama wako na wangu ataelewa achilia mbali kifaa cha kuifungua ikiwa na data zake zote.

Picha ni collection of lots of data. Hata picha unayopiga na simu yako sio halisi sababu ina edit data nyingi mno na kuna data ni too huge kuweza kutafsiriwa na lenzi ya camera yako.

Sasa imagine picha inayopigwa mbali sana katikati ya mionzi tofauti tofauti hatari halafu itumwe duniani uifungue na simu yako hiyo ya GB 2 RAM katika uhalisia wake. Utaona manamba namba tu na herufi na hutaweza kuzitafsiri.
 
So, Maji yanastick kwenye round-ball Kwa kushikiliwa na gravity?

Una uthibitisho wowote,?..ukileta real video itakua vizuri zaidi au kama ushawahi Ku observe sehemu.
Unapenda sana video. Sikia, ukitaka kuona ulimwengu katika uhalisia wake tumia hesabu.

Video na picha ni kwa ajili ya watu kama wewe na mimi ambao hatuma IQ ya kutafsiri data za fizikia na hesabu. Ila ukitaka uhalisia kabisa tumia namba, hesabu.

Mfano mdogo:
Unapomtazama mpenzi wako au mtoto au mama ukamtambua ujue ubongo wako umetafsiri data kupitia kamera ya jicho lako inform of namba, upana wa uso, urefu wa pua, ukubwa wa mdomo, ni a lot of data zinakusanywa sehemu moja na kutoa hitimisho kuwa huyu ni flani halafu zinaifadhiwa ili ukimuona tena chap reconcilliation ya utambuzi inafanyika na unamtambua.

Sasa kama utaweza, ukitaka kumuona huyo flani katika uhalisia nje ya urahisi ambao ubongo wako umemtafsiri kwa kutumia hizo data kumtengenezea picha ya umbo lake na ukamuona, tafuta namna upate access ya data zilizotumika kutengeneza hilo umbo, utaona zaidi ya umbo. Hapa ndipo watu wenye IQ kubwa walipotuzidi sisi ambao tunataka vitu viwe simplified ili tuweze kuvitafsiri.

NB: Kwakuwa unapenda video, tafuta movie inaitwa The man who knew infinity. Kidogo utapata picha ya ninachokueleza.
images (86).jpeg
 
hateeb10 mpaka sasa tumekubaliana mambo mawili.

1. Earth is not a perfect sphere.
Hii sentence Ina maana hii👇👇

Earth is an oblate spheroid, meaning it's slightly flattened at the poles and bulges at the equator due to its rotation. This deviation from a perfect sphere is caused by the centrifugal force generated by Earth's rotation, which pushes material away from the axis of rotation towards the equator. As a result, Earth's shape is more like a squashed sphere than a perfect one.

2. Gravity tunai apply katika field tofaut tofaut na inaleta matokeo chanya.
Au nimekosea?

Jambo lingine unaposema flat kwanza unatakiwa ujue maana ya flat.
Screenshot_20240307-100122~2.png

Screenshot_20240307-101012~3.png

Lakini pia hata ukiangalia tu sky the way clouds are oriented utajua tu zinafata curvature.

PXL_20240307_070435730.MP~2.jpg

Angalia namna clouds are oriented, angalia shadow kwenye clouds utagundua kitu, tumia macho yako then interpret unachokiona.

PXL_20240307_070508484~2.jpg
 
Kwanza wanakudanganya ili usiamini vitabu vitakatifu further more usiamini uwepo wa mwenyezimungu (huo ni mpango wa shetani kuwaweka waja mbali na mola muumba). Faida yao kwa duniani ni pesa tu ila after death ni majuto tu

Pili huko mwisho wa dunia kamwe huwezi jua kuna nini kwa sababu achilia mbali kujirusha, huwezi tu kujaribu kufika huko. Sababu ni barafu iliyopo huko! Barafu ya ulaya na marekani tu imewashinda ndiyo ije kuwa barafu ya huko ukingoni!

Tatu ujue kila kitu ni kwa kiwango. Kisicho na kiwango ni mola mwenyezimungu tu kwahiyo siyo lazima kila kitu mtu ajue wala siyo lazima kila kitu mtu ahoji. Kuna faida yoyote kwa muulizaji atakayoipata juu kuhoji huko? Kuna watu wamekufa hawaijui hata ndege! japo wameiona mara kadhaa kwa mbaaaali ikipita juu ya anga lakini hawakuwahi kupata wa kumuuliza hata kuhusu hiyo kitu. Je kufa kwao bila kuijia ndege unadhani ni makosa kwao?

Amesema mola aliiumba ardhi na mbingu vimeambatana (vimeshikana) kisha akaviambua (akaviachanisha) akaitandaza na kuumba vilivyomo ndani yake, kisha akasema ameumba jua na mwezi vyote vinajongea kwenye njia zao maalumu kwa muda maalumu uliowekwa. Vyote hivyo tunavitumia kwa ajili ya manufaa mbalimbali (yametajwa baadhi). Mwisho anasema basi tumwabudu yeye tu mola wa vyote hivyo na wala hajasema tutafute ukubwa wa jua/mwezi au dunia nk. Wala hajasema jua au mwezi vina umbo gani ila kasema tu vinajongea japo hazuiwi mwanadamu kutafiti mambo

uzuri ni kwamba binadamu wanafanikiwa kufanya tafiti nyingi kubwakubwa na za msingi. Ubaya ni kwamba matokeo ya tafiti nyingi hizo yanapitishwa kwenye chujio la the so called "MAMLAKA" ambapo kunaingizwa upotoshaji eidha kwa kuondoa baadhi ya yaliyokwemo au kuongeza baadhi ya yaliyokwemo au kuzuia kabisa isitangazwe tafiti yenyewe. Tena aliyehangaikia utafiti akishika msimamo juu ya kazi yake ndo kabisa hadumu. Sawa na mtaalamu/msomi anapoingia kwenye uongozi kuna vitu akitaka kuvihandle kitaalamu wanasiasa wanamzuia kwa maslahi ya siasa matokeo yake anaingia nayeye kuwa mwana siasa na akikomaa na misimamo yake ya kitaalamu...

Fuatilia huyo ARMSTRONG alisemaje baada ya tafiti zake huko angani na kilimpata nini? Fuatilia Keith Moore mtaalamu mwanaembriolojia aligundua nini kuhusu embryology na akaahidi nini na kikamkuta nini?
Kwenye Jibu lako la Kwanza,nakuomba pitia Video ya aliyesoma hiyo thread, utaona anazungumzia ishu ya kufichwa tusijue kama kuna Aliens .wengine mnasema tusijue kama mungu yupo, hapo ndipo mnapo jichanganya. (Angalia video kabla ya kubisha)

Pili kuhusu baridi,Marekani na Ulaya hakuna sehemu ambapo watu hawaiishi,,na sehemu zenye baridi kuliko zote duniani.
Google "Oymyakon" ipo Urusi (upande wa asia)...
Nje ya atmosphere baridi ni kali kuliko duniani lakini binadamu wameweza kufika,
Google na hilo kabla haujabisha...

Mkuu ,utafiti juu ya Solar SYSTEM ndiyo imesaidia katika.
-Uvumbuzi wa satelite na kujua katika umbali gani vikae, kwa kasi ipi vizunguke jua. Na matilio ipi inafaa kutengenezea vifaa vyake.
-Imesaidia kwenye uvumbuzi wa saa,na kuiweka iwe katika accuracy.
-Imesaidia katika ugunduzi wa kalenda tunayotumia. Maana hesabu ya Tarehe imezingatiwa kwenye mzunguko wa dunia.
Google uelewe why mwezi wa pili una siku 28 au 29.

Naomba unijibu swali langu huko mwisho wa dunia Gravity inafanyaje kazi.
Tumia hata reference za Sayansi (Usijetete kwa falsafa hapo)
 
Back
Top Bottom