The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
hateeb10 nkumbison
Wakati upo hapa unakazana kubishana Dunia ni flat, Kuna mainjinia huko wanadesign barabara water supply, etc. wanatumia latitude na longitude kwenye design. Sasa kwenye Dunia flat hakuna latitude Wala longitude.
Na maswali yangu hayajawahi kujibiwa na mengine yalijibiwa kihuni huni tu. Mfano haya maswali👇👇,
1. Different Night skies:
Constellations zinazokuwa observed at northern pole during Night ni tofauti na zinazokuwa observed at northern pole. Kama Dunia ingekuwa flat basi wote tungekuwa tunaobserve same night sky.
2. Lunar eclipse:
Hii nimeshauliza sana humu majibu yenu ni hekaya tu,
3. Flight paths:
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingehitaji ku-adjust altitude as they're moving, hii inathibitisha curvature ya dunia.
Hapa najua hateeb10 hatoelewa maana haujui maana ya altitude yeye anajua altitude ni level😀.
4. Curiolis effect:
Hii hutokea pale vitu vinavyomove angani vina experience deflection due to Earth's rotation, Sasa naomba mnambie nyie kama Dunia hairorate ni nn kinasababisha.
5. Day and night length variations:
Length ya day and night inachange throughout the year.
6. Seasons of the year,
Na lastly nyie mnaoamini Dunia ni flat mnatofautiana sana hoja zenu, mfano tu mwingne ananambia Jua linazunguka kama coil nkumbison ,😀
Hamna hoja zenu zinazojitegemea