Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hateeb10 nkumbison

Wakati upo hapa unakazana kubishana Dunia ni flat, Kuna mainjinia huko wanadesign barabara water supply, etc. wanatumia latitude na longitude kwenye design. Sasa kwenye Dunia flat hakuna latitude Wala longitude.

Na maswali yangu hayajawahi kujibiwa na mengine yalijibiwa kihuni huni tu. Mfano haya maswali👇👇,

1. Different Night skies:
Constellations zinazokuwa observed at northern pole during Night ni tofauti na zinazokuwa observed at northern pole. Kama Dunia ingekuwa flat basi wote tungekuwa tunaobserve same night sky.

2. Lunar eclipse:
Hii nimeshauliza sana humu majibu yenu ni hekaya tu,

3. Flight paths:
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingehitaji ku-adjust altitude as they're moving, hii inathibitisha curvature ya dunia.
Hapa najua hateeb10 hatoelewa maana haujui maana ya altitude yeye anajua altitude ni level😀.

4. Curiolis effect:
Hii hutokea pale vitu vinavyomove angani vina experience deflection due to Earth's rotation, Sasa naomba mnambie nyie kama Dunia hairorate ni nn kinasababisha.

5. Day and night length variations:
Length ya day and night inachange throughout the year.

6. Seasons of the year,

Na lastly nyie mnaoamini Dunia ni flat mnatofautiana sana hoja zenu, mfano tu mwingne ananambia Jua linazunguka kama coil nkumbison ,😀

Hamna hoja zenu zinazojitegemea
 
Nakubaliana nawewe kuwa dunia ni tambarare. Alieko ukingoni mwa dunia atutumie selfie pleaseee.. Au je alieko ukingoni mwa dunia akiruka anatua wapi?
Naomba kuwasilisha
 
Mimi Sina nyenzo za kunifanya niendele space nikaone milky way Galaxy 😀. Wewe ambaye unasema Jua ni dogo kuliko Dunia na linazunguka Dunia, niletee video simple umeshindwa nini?
Kwahiyo Mimi ndiyo unataka niende space nikaone milk way galaxy?.....hakuna Mtu amewahi kwenda huko!

Jambo la kushangaza ni kwamba Mimi nimekuomba ulete uthibitisho wa Dunia Kuzunguka., tena Dunia ambayo unaishi hapa hapa tofauti na Jua ambalo lipo mbali...... lakini Kwa bahati mbaya umeshindwa kuleta uthibitisho.

Simple request kabisa,.....kipi kinachofanya ushindwe?
 
Tunatofautiana, Mimi nimesema Jua Lina orbit around the milky way Galaxy pamoja na sayari zake zote, na hiyo haisababishi usiku na mchana.

Wakati wewe unasema Jua linamove na ndio inasababisha usiku na mchana, so weka point zako vzr.
Una akili za kushikiwa Sana,...yani ulichoaminishwa ndiyo hicho umekibeba bila reasoning yoyote....ajabu hii!

Eti Jua Lina orbit around the milk way galaxy na hiyo haisababishi usiku na mchana,.......kisha unasema huwezi kuthibitisha hili Kwa kuwa huna nyenzo ya kwenda space Ku observe sasa huoni unaamini Tu blindly Mzee?
 
Leta uthibitisho hapa, we unauhakika Gani Jua ndio linamove? Nimekupa mfano wa video kwani Yale majengo hayakuhama position? Kwann hukusema majengo yanamove? Tumia Akili.
Sasa ngoja nikurahisishie ili uelewe,.. nitaweka statement moja Tu strongly kabisa...👇🏼

"NINA USHAHIDI YAKINIFU KWAMBA DUNIA IPO FIXED HAI MOVE!.....NA UTHIBITISHO WANGU HAUHUSISHI JUA, MWEZI N.K "

Maana naona tunazunguka wakati point kubwa ni hiyo hapo juu....sasa kama utapinga kauli yangu utapaswa kuleta uthibitisho wa Dunia Kuzunguka na sio kuhusisha Jua wala Mwezi kwenye maelezo yako.... umeelewa?
 
Point yangu hapo ni FRAME OF REFERENCE
Kwahy kama umeelewa vzr hapo siku nyingne nikisema Jua lipo stationary with respect to the earth, uwe unanielewa sawaaa 🙃
Hahh,..tumia akili vizuri

Logically.., if two cars(Sun & Earth ) are in motion, you cannot say that one is stationary with respect to the other unless you're trying to lie. Each car has its own motion, and neither can be considered stationary relative to the other while both are moving...... unaelewa?
 
Uthibitisho Uthibitisho Uthibitisho. Hapa hatutaki NGANO na VIGANO
Kama vipi tupange siku Chosen Rich anthony_art na mwingine yoyote anaetaka uthibitisho tukutane sehemu tutakayokubaliana then kila upande uweke uthibitisho wake mezani....kisha tulete mrejesho humu.

Kwa upande wangu itakua simple sana kuthibitisha na nipo tayari Kwa hilo hasa ikiwa wote mpo DSM hapa......
 
hateeb10

Kama unakubaliana na Einstein kuhusu Gravity, sidhani kama Kuna haja ya kuendelea na huu mjadala naww, kwasabab mpk hapo utakuwa umekubaliana nasi kuwa Dunia ni tufe.

Gravity ya Einstein ndio hiyo inayoelezea kwann Dunia inazunguka Jua, yaani katika Einstein theory of general relativity anasema vitu vyenye uzito na maumbo makubwa huzungukwa na vitu vyenye maumbo madogo, lkn tu vikiwa spherically shaped.

View attachment 2967717

Kwahy nakushukuri sana Kwa mchango wako hapa, nadhani utawafunua na wengine waweze kuelewa ni Kwa jinsi Gani Dunia yetu tufe inavyo work.
Acha bangi mkuu,....hivi umesahau kama Einstein mwenyewe idea yake ni kwamba You can't absolutely tell of whether the earth is in motion or at rest?

Sasa Kwa statement hiyo akili yako imerukia vipi kuhitimisha kwamba Dunia inazunguka?......maana Einstein mwenyewe haukua msimamo wake huo.,unamsingizia!
 
hateeb10 nkumbison

3. Flight paths:
Kama Dunia ingekuwa flat ndege zisingehitaji ku-adjust altitude as they're moving, hii inathibitisha curvature ya dunia.
Hapa najua hateeb10 hatoelewa maana haujui maana ya altitude yeye anajua altitude ni level😀.
Hii kauli kuhusu altitude unapenda kuirudia lakini Kwa bahati mbaya inadhihirisha tu ujinga(sio tusi).

"Adjusting altitude occurs when an aircraft adjusts its flight level......"

Sasa kuadjust flight level kunahusiana vipi na imaginary curve of the earth?...huoni kwamba adjusting flight level inathibitisha Dunia ni flat?

Ukibisha na hii unapaswa utunge tafsiri yako nyingine ya statement "adjusting altitude"

NB: Nakumbusha kwamba kwenye Piloting miongoni mwa assumptions muhimu ni:-
a. Non-rotating earth
b. Flat earth

So., akili kichwani mwako.
 
Tunaomba uthibitisho kuwa Jua inazunguka Dunia

( Tafadhali usije na maelezo matupu, Unahitajika uthibitisho bila maneno wala maelezo kibao )
Uthibitisho ni changing point/position of the Sun......Tenga siku amka asubuhi ujionee mwenyewe.

Na hiyo inatokea wakati ambao Dunia yetu ipo permanently at rest.

Kama huu hautoshi kuwa uthibitisho,...basi muone daktari.
 
Hahh,..tumia akili vizuri

Logically.., if two cars(Sun & Earth ) are in motion, you cannot say that one is stationary with respect to the other unless you're trying to lie. Each car has its own motion, and neither can be considered stationary relative to the other while both are moving...... unaelewa?
Ndio maana nlisema huku wewe pamekuzidi, Hata kifikra ni pazito kwako, ni ngumu kuelewa,

Sisi sio kuwa tunakubali tu, Ni kwakua tunaruhusu akili ifanye kazi kuchambua na kupambanua jambo.

Ningeweza kukuletea mfano hapa wa hiyo mizunguko kwa clip bahati mbaya haujaruhusu kichwa yako ijifunze mambo mapya utaipinga.
 
Kama vipi tupange siku Chosen Rich anthony_art na mwingine yoyote anaetaka uthibitisho tukutane sehemu tutakayokubaliana then kila upande uweke uthibitisho wake mezani....kisha tulete mrejesho humu.

Kwa upande wangu itakua simple sana kuthibitisha na nipo tayari Kwa hilo hasa ikiwa wote mpo DSM hapa......
Najua namna ambavyo umepanga uthibitisho wako uwe,

Nna swali kabla hatujafanya hivyo

Ni ngumu na haiwezekani kupata uthibitisho wa umbo fulani kubwa mara billion ya umbo lako wewe, Tena ukiwa kwenye uso wa hilo gimba,

Haiwezekani na ni vigumu bila wewe kwenda mbali na hilo gimba.

Je wewe ni method gani utaitumia kujua umbo kamili la Dunia hii yote kwa pamoja ?
 
Uthibitisho ni changing point/position of the Sun......Tenga siku amka asubuhi ujionee mwenyewe.

Na hiyo inatokea wakati ambao Dunia yetu ipo permanently at rest.

Kama huu hautoshi kuwa uthibitisho,...basi muone daktari.
Unachekesha sana, Yani ukatae uthibitisho wa Sunrise and Sunset kuwa Dunia inazunguka then unakuja kunipa ushahidi eti wa changing point ya Sun kuwa ndio Jua inazunguka....!? !? !?

Hata kama ni ujinga huu umepitiliza.
 
Uthibitisho ni changing point/position of the Sun......Tenga siku amka asubuhi ujionee mwenyewe.

Na hiyo inatokea wakati ambao Dunia yetu ipo permanently at rest.

Kama huu hautoshi kuwa uthibitisho,...basi muone daktari.
Nipe uthibitisho kuwa Jua ndio ambalo linakua limechange point na sio kuwa ni illusion..
 
Sasa huoni unakosea kufananisha kitu kinachoonekana kwenye uhalisia (Jua) na kitu kisichoonekana kwenye mfano wako (Camera).
Wewe ndio unakosea unaforce camera iwe Jua wakat huioni, ndo maana nimekwambia camera ni Dunia, na majengo ni jua
 
Wewe ndio unakosea unaforce camera iwe Jua wakat huioni, ndo maana nimekwambia camera ni Dunia, na majengo ni jua
Sasa Kwanini kwenye mfano wako kitu ambacho kwenye uhalisia kipo stationary (Dunia) unakipa sifa ya Kitu kinacho move (camera) kwenye mfano wako?

Huoni kama unakosea kufananisha vitu visivyofanana?

Chukulia sasa upo kwenye Camera(Dunia) na Camera(Dunia) inafanya movement,...Je, utashindwa kufahamu kwa milango yako ya fahamu au hata kwa msaada wa teknolojia kama camera ina move?
 
Kwahiyo Mimi ndiyo unataka niende space nikaone milk way galaxy?.....hakuna Mtu amewahi kwenda huko!

Jambo la kushangaza ni kwamba Mimi nimekuomba ulete uthibitisho wa Dunia Kuzunguka., tena Dunia ambayo unaishi hapa hapa tofauti na Jua ambalo lipo mbali...... lakini Kwa bahati mbaya umeshindwa kuleta uthibitisho.

Simple request kabisa,.....kipi kinachofanya ushindwe?
Unakaza kichwa sana, kwahy unakubali kuwa Jua Lina orbit kwenye milky way galaxy?
 
Una akili za kushikiwa Sana,...yani ulichoaminishwa ndiyo hicho umekibeba bila reasoning yoyote....ajabu hii!

Eti Jua Lina orbit around the milk way galaxy na hiyo haisababishi usiku na mchana,.......kisha unasema huwezi kuthibitisha hili Kwa kuwa huna nyenzo ya kwenda space Ku observe sasa huoni unaamini Tu blindly Mzee?
Unauhakika sija reason?? Sio Kila kitu utaweza ku-observe vingne unatumia akili yako tu,
 
Sasa ngoja nikurahisishie ili uelewe,.. nitaweka statement moja Tu strongly kabisa...👇🏼

"NINA USHAHIDI YAKINIFU KWAMBA DUNIA IPO FIXED HAI MOVE!.....NA UTHIBITISHO WANGU HAUHUSISHI JUA, MWEZI N.K "

Maana naona tunazunguka wakati point kubwa ni hiyo hapo juu....sasa kama utapinga kauli yangu utapaswa kuleta uthibitisho wa Dunia Kuzunguka na sio kuhusisha Jua wala Mwezi kwenye maelezo yako.... umeelewa?
Wewe unasema unaushahidi yakinifu kwann hauuleti?? Unashangaza sana!!
 
Back
Top Bottom