hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Kwasababu Dunia haifanani na Mwezi.Kama dunia iko flat mbona mwezi upo kama tufe ?🤔🤔🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu Dunia haifanani na Mwezi.Kama dunia iko flat mbona mwezi upo kama tufe ?🤔🤔🤔🤔
Dunia haina mwisho, Kwakua ni tufe,Hapana sijabuni,. currently hakuna tafiti yoyote inayoonyesha mwisho wa dunia.....so mpaka hapo huwezi kuhitimisha kusema dunia ina mwisho, bali utasema mwisho wa dunia ni unknown.
Thibitisha,. maneno tupu hayatoshi.Dunia haina mwisho, Kwakua ni tufe,
Hakuna starting point wala ending point.
1. Jibu hafifu, halijitoshelezi.Kwasababu Dunia haifanani na Mwezi.
Kuliko kusema jibu ni hafifu.,,nadhani ungeleta uthibitisho kuonyesha mfanano wa DUNIA & MWEZI.1. Jibu hafifu, halijitoshelezi.
2. We jamaa mbishi sana nakupata itabodi ukabishane na yule mwanao kuhusu mass na weight
Wewe nkikwambia uthibitishe madai yako, Hufanyi hivyo.Thibitisha,. maneno tupu hayatoshi.
Uthibitisho ninao,.. ukihitaji utanifahamisha.Wewe nkikwambia uthibitishe madai yako, Hufanyi hivyo.
Nmehitaji mara ngapi, Na unataka nihitaji mara ngapi ili uulete ?Uthibitisho ninao,.. ukihitaji utanifahamisha.
Vizuri,...Kama upo Dsm Fika Posta sasa hivi ili nikupe uthibitisho wa flat & stationary Earth.Nmehitaji mara ngapi, Na unataka nihitaji mara ngapi ili uulete ?
Hapo ndio utanionyesha kuwa Dunia haina mwisho ?Vizuri,...Kama upo Dsm Fika Posta sasa hivi ili nikupe uthibitisho wa flat & stationary Earth.
utachagua wewe kipi utataka nikuthibitishie:-Hapo ndio utanionyesha kuwa Dunia haina mwisho ?
Au hapo ndio mwisho wa Dunia ulipo ?
Mbona hivyo vyote haviwezekani kuviona kwa kufika Posta,utachagua wewe kipi utataka nikuthibitishie:-
1. Flatness ya Dunia
2. Kwamba Dunia ipo stationary
3. Kwamba mwisho wa Dunia ni unknown.
karibu sana.
Vinawezekana simple kabisa ondoa shaka,...Mbona hivyo vyote haviwezekani kuviona kwa kufika Posta,
Dunia ina ukubwa gani kwa k.m ? Na Posta ina k.m za mraba ngapi ?
Hizi ndio akili zenu sasa 😂😂😂, Kutoka Posta hadi Chalinze tu huwezi utaweza kutembea umbali wa kujiridhisha jinsi Dunia ilivyo ??Vinawezekana simple kabisa ondoa shaka,...
1. Nitakuonyesha jinsi dunia ilivyo flat,..kwa kukutembeza mpaka utakapochoka bila kuona dalili zozote za tufe.
2. Kwenye kutembea huko umbali utakaoweza,.. nitaweza pia kukuthibitishia jinsi dunia ilivyotulia bila movement yoyote.
3. Pia, tutambea mpaka tuthibitishe whether Dunia ina mwisho/not.
NB:- Tukiifanyia promo ya kutosha research hii tutaweza kupata hata sponsorship za aircrafts toka kwa wadau wa elimu na tafiti duniani,..ili tuweze kwenda umbali mrefu zaidi tuthibitishe ukweli ulivyo.
Relax...usiwe na haraka kabisa.....Hizi ndio akili zenu sasa 😂😂😂, Kutoka Posta hadi Chalinze tu huwezi utaweza kutembea umbali wa kujiridhisha jinsi Dunia ilivyo ??
Dunia ni Flat si ndio ? Fanya hivi nenda Bagamoyo tupigie picha mji wa Zanzibar taa zikionekana then tuje tuonane tuendelee na research zingine
Ndivyo nlivyoandika ?Relax...usiwe na haraka kabisa.....
Kwahiyo hata kuthibitisha kama Dunia ipo Stationary ni mpaka niende Bagamayo nipige picha mji wa Zanzibar?
Hii inafurahisha.
Wao ni mitizamo yao binafsi tu, Kwao tafiti ni marufuku.Hivi wanaoamini dunia ni flat Kuna mtafiti wao hata mmoja alishawahi kufanya tafiti za Kisayansi na au kufika anga za juu? Au pia kuwa na kituo maalum cha utafiti wa flat earth
Huyo jamaa analazimisha kuelezea vitu ambavyo yeye mwenyewe havifahamu ni kupoteza muda tu kubishana naye ukimuuliza maswali hajibu anakupandishia swali juu ya swali ...Mimi niliachana naye nilipomuuliza kupwa na kujaa kwa bahari kwa concept ya flat eathers (maana alikataa kuwapo kwa nguvu ya asili ya mvutano) akajibu maji yanaenda mteremkoni🤣🤣1. Jibu hafifu, halijitoshelezi.
2. We jamaa mbishi sana nakupata itabodi ukabishane na yule mwanao kuhusu mass na weight
yes,. umetoa mfano wa kwenda Bagamoyo hapo... mfano ambao unakwepa hoja za msingi.Ndivyo nlivyoandika ?