Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hapana sijabuni,. currently hakuna tafiti yoyote inayoonyesha mwisho wa dunia.....so mpaka hapo huwezi kuhitimisha kusema dunia ina mwisho, bali utasema mwisho wa dunia ni unknown.
Dunia haina mwisho, Kwakua ni tufe,

Hakuna starting point wala ending point.
 
1. Jibu hafifu, halijitoshelezi.
2. We jamaa mbishi sana nakupata itabodi ukabishane na yule mwanao kuhusu mass na weight
Kuliko kusema jibu ni hafifu.,,nadhani ungeleta uthibitisho kuonyesha mfanano wa DUNIA & MWEZI.

NB: Sipo hapa kubishana,.. ninaomba uthibitisho tu kuhusu madai yenu...au hilo ni ombi ghali sana?
 
Hapo ndio utanionyesha kuwa Dunia haina mwisho ?

Au hapo ndio mwisho wa Dunia ulipo ?
utachagua wewe kipi utataka nikuthibitishie:-
1. Flatness ya Dunia
2. Kwamba Dunia ipo stationary
3. Kwamba mwisho wa Dunia ni unknown.

karibu sana.
 
utachagua wewe kipi utataka nikuthibitishie:-
1. Flatness ya Dunia
2. Kwamba Dunia ipo stationary
3. Kwamba mwisho wa Dunia ni unknown.

karibu sana.
Mbona hivyo vyote haviwezekani kuviona kwa kufika Posta,

Dunia ina ukubwa gani kwa k.m ? Na Posta ina k.m za mraba ngapi ?
 
Mbona hivyo vyote haviwezekani kuviona kwa kufika Posta,

Dunia ina ukubwa gani kwa k.m ? Na Posta ina k.m za mraba ngapi ?
Vinawezekana simple kabisa ondoa shaka,...
1. Nitakuonyesha jinsi dunia ilivyo flat,..kwa kukutembeza mpaka utakapochoka bila kuona dalili zozote za tufe.

2. Kwenye kutembea huko umbali utakaoweza,.. nitaweza pia kukuthibitishia jinsi dunia ilivyotulia bila movement yoyote.

3. Pia, tutambea mpaka tuthibitishe whether Dunia ina mwisho/not.

NB:- Tukiifanyia promo ya kutosha research hii tutaweza kupata hata sponsorship za aircrafts toka kwa wadau wa elimu na tafiti duniani,..ili tuweze kwenda umbali mrefu zaidi tuthibitishe ukweli ulivyo.
 
Hizi ndio akili zenu sasa 😂😂😂, Kutoka Posta hadi Chalinze tu huwezi utaweza kutembea umbali wa kujiridhisha jinsi Dunia ilivyo ??

Dunia ni Flat si ndio ? Fanya hivi nenda Bagamoyo tupigie picha mji wa Zanzibar taa zikionekana then tuje tuonane tuendelee na research zingine
 
Relax...usiwe na haraka kabisa.....

Kwahiyo hata kuthibitisha kama Dunia ipo Stationary ni mpaka niende Bagamayo nipige picha mji wa Zanzibar?

Hii inafurahisha.
 
Hivi wanaoamini dunia ni flat Kuna mtafiti wao hata mmoja alishawahi kufanya tafiti za Kisayansi na au kufika anga za juu? Au pia kuwa na kituo maalum cha utafiti wa flat earth
 
1. Jibu hafifu, halijitoshelezi.
2. We jamaa mbishi sana nakupata itabodi ukabishane na yule mwanao kuhusu mass na weight
Huyo jamaa analazimisha kuelezea vitu ambavyo yeye mwenyewe havifahamu ni kupoteza muda tu kubishana naye ukimuuliza maswali hajibu anakupandishia swali juu ya swali ...Mimi niliachana naye nilipomuuliza kupwa na kujaa kwa bahari kwa concept ya flat eathers (maana alikataa kuwapo kwa nguvu ya asili ya mvutano) akajibu maji yanaenda mteremkoni🤣🤣
Nikambana kwa hiyo dunia flati inayumba yumba kubadilisha mwinuko? Maana maji yanaondoka na kurudi akamute!
 
Ndivyo nlivyoandika ?
yes,. umetoa mfano wa kwenda Bagamoyo hapo... mfano ambao unakwepa hoja za msingi.

Umesahau kwamba vitu vya kuthibitisha vipo vitatu :-
1. Dunia ni flat
2. Stationary( Haizunguki)
3. Dunia haijulikani mwisho wake...
 
Back
Top Bottom