abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
How do you think digital beam balance works?Uzani Upi Siku hizi kuna Digital measure hatutumii Spring tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How do you think digital beam balance works?Uzani Upi Siku hizi kuna Digital measure hatutumii Spring tena
Thats Simple even My 17 years Old Grand children Can answer It..How do you think digital beam balance works?
Usiite watu Mavi kwa Concepts Za Kisayansi ambazo zinaweza Kubadilika..Fanyeni kujoin kwenye hiyo link mtoe mavi ayo kichwani
Nini maana ya theory? Tuanze hapo !Usiite watu Mavi kwa Concepts Za Kisayansi ambazo zinaweza Kubadilika..
Theory Nyingi sana Zilikuwa Zinaaminika Ila baadae Zikawa Nullified na Void
Nini maana ya theory? Tuanze hapo !
And how do you nullify a theory, is it by saying uliobserve kwa milango ya fahamu? 😂😂😂
Kumbe unajua kwamba kuongea maneno ya hovyo ni alama ya immaturity.....kama una uhakika na hoja zako haina haja ya kutumia maneno yasiyoweza kutoka kutoka kwa mtu mwerevu,... Weka hoja na facts mezani kisha tulia maana kuita watu idiots, imbecile n.k hakuthibitishi kwa namna yoyote ile kwamba Dunia ni tufe linalozunguka,....To DR Mambo Jambo
The only thing I can say, atleast you have some sense of maturity in the way you place your arguments and how you respond to the arguments and for that, I beg your pardon for my selection of words.
For all my dear flat eathers community in this thread, Let's continue with this discussion! I'll be happy to discuss this live
With Regards!
Unaweza kuthibitisha au ni mawazo yako tu?Sio ndege tu, hata wewe hapo ulipo unamove along with the earth.
Ili iwe convenience nadhani ungetuma message ya kuwaalika wadau kwamba tarehe na muda fulani kutakua na mdahalo wa mada husika,..then unaweka Link atakae kuwa interested atajiunga.🤝🏻Natengeneza meeting, ntatuma link humu !
Usitoke online na kwa yeyote atakayetaka pia atajoin kwenye huu mdahalo
Safi umemfafanulia vizuri zaidi,..... abdulrahman Said unakubali kwamba wewe huwezi kuthibitisha Dunia ni tufe linalozunguka bila kutegemea mtu mwingine akuambie kama asemavyo DR Mambo Jambo hapo juu?Sasa Belief zisipo kuwa Verified zikiwa Nyingi Zinatengeneza Doctrine kama wewe Unavyoamini Dunia Duara Ila Huwezi kuthibitisha zaidi ya Kutegemea Mtu mwingine Akuambie Kitu ambacho wewe Hunakithibitisha.
Now we're talking!
Firstly, hakuna sehemu nimesema theory inatokana na data like pictures n.k, nakubaliana moja kwa moja kwamba lazima tuanze kuobserve with our sense organs sijapinga hilo nilichopinga ni kuweka conclusion kutokana na ulichokiobserve kwa sense organs like eyes, ears etc nikatoa example kwa uyo jamaa. Anasema ameconclude dunia ni flat na haimove kwasababu hapa alipo ameona haimove na ni flat nikamuuliza tukuweke ndani ya boksi huwezi kuona nje alafu lirushwe kwenye space liende at constant speed utaweza kujuwa kama unamove ingali upo ndani ya boksi? Je, utaweza kuconclude kusema kwamba haumove simply kwasababu mule ndani ya boksi wewe haumove?
The thing is, maybe you inside the box are not moving but the whole system of you and the box is moving How could you simply say si move kwasababu tu wewe ndani ya boksi haumove???
Nikauliza kuhusu chungwa, Luckily I held an orange mkononi mwangu jana nikajaribu kuziba jua na chungwa langu liliweza kuliziba jua lote, naweza kuhitimisfha kama chungwa langu ni kubwa kuliko jua???
sasa wewe Unachozungumzia Kwamba Unataka Mtu atoe Internal Experience Ziwe Daata Ili atengeneza Theory thats Not how Science works Kwanza Internal experience ni the direct awareness of an internal state of our consciousness. For example, my knowledge that I am thirsty is direct awareness of an internal state ,
I don't remember saying this, na siwezi kusema kitu kama hiki. Pitia comments zangu vizuri ambapo hujanielewa ntakuelewesha.
Nakubaliana na wewe kabisa unaposema theory zinatokana na what we observe with our sense and based on previous knowledge (not belief) ukisema belief unaenda vitu vyengine. However nakataa conclusion yako on how theories are formulated. After observing the happening in nature and hypothesizing the theory based on laws of nature the next is to perform experiments and Mathematical analysis to test the theory sio tu kuishia hapo kutokana ma watu wa nyuma waliamini basi na sisi tutaamini.
Ntakupa mfano atomic theory, Thomson alibelieve kwamba atom is entirely positive with negative charge embedded on it but Rutherford alikuja kufanya experiment by bombarding a beam of positive helium kwenye gold atom, aliexpect beam iwe reflected as atom was entirely believed to be positive but the result of the experiment nullified the theory. After careful study and analysis akatoa theory nyingine about atoms
Ndo mana nikasema, while laws and principlas are always true but theories can only be true to some extent ndo mana zinaweza kuwa replaced by more efficient theory, kwanini theory zinaweza kuwa false! Kwenye Engineering sisi tunakitu tunaita modeling, tukitaka kudesign a model to represent a real world phenomenon mfano chuma, ama movement ya upepo tunatengeneza mathematical model kwa kuzingatia different conditions zinazoweza kutokea sasa the accuracy inadepend vitu vipi umeinclude na vipi hujainclude, kadri unavyoinclude vitu vingi ndo accuracy inaongezeka. It is difficult to model every thing and for simplicity tunapunguzaga baadhi ya vitu au unfortunately tunasahau kumbe kile kina effect nyingi zaidi

Huna hoja! Jaribu kufikilia utaelewa mfano kwasasa ntaendelea na DR Mambo JamboUnaweza kuthibitisha au ni mawazo yako tu?
Kinachotakiwa ni uthibitisho tu,.ili uonekane unasema kweli,.. is that too much to ask?