Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Mwezi unaonekana kwenye direction tofauti tofauti,..that means una move.., sasa nakushauri utumie mwezi kama reference point utajua je Dunia ina move kama unavyoambiwa ama La,.......

Ukitumia Jua unaweza ukapata changamoto,..Tumia mwezi simple kabisa utakutana na ukweli unaoingia akilini.
Direction tofaut kivipi? Si unasema Jua linamove naww tumia hizo dk au record Kwa hizo dk uje utuoneshe jua likimove
 
Kwann usiexplain hapa? How refraction inafanya Jua lionekane half? Na Kwa madai ya flat earth mnasema Jua huwa linaenda mbali na ndio maana tunaona limepotea na kunakuwa usiku, sawa; lakini swali la kujiuliza tu kama ni kweli Jua linaenda mbali kwann lisipungue SIZE as we know kitu kikiwa mbali zaidi size yake inapungua lakini upande wa Jua halipungui size Bali linaonekana kinazama kama lilivyo Naomba maelezo hapa kusoma nimeshasoma.

View attachment 3180254
Picha: mfano wa Jua likionekana half

Na naomba majibu ya swali la pili pia.Asante.
hateeb10 holaaaa!!😄😄
 
hateeb10 😀😀😀 kapaaa🗑️🚮
Unataka maelezo gani zaidi,... Umekubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza,..that means hicho unachokiona is just an illusion..na sio uhalisia......nikakugusia kuhusu refraction hutaki kwenda kusoma usaidiwe vipi sasa?
 
Nisikubaliane nae kivipi?? Point Kubwa ni gravity, mabonde yanafanya maji yaflow ardhini bila mabonde na Dunia ingekuwa perfect sphere maji yasingekuwa yanaflow in any direction. So mabonde yanaplay part kwenye flow ya maji lakini point Kubwa hapo ni Gravity.
Nilikuuliza unakubaliana nae,..ukajibu Niskubaliane nae kivipi.......umekumbuka sasa?
 
Unataka maelezo gani zaidi,... Umekubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza,..that means hicho unachokiona is just an illusion..na sio uhalisia......nikakugusia kuhusu refraction hutaki kwenda kusoma usaidiwe vipi sasa?
😄😄 Wapi nimesema Jua halizami (sunset)? Swala la Refraction elezea Sasa namm maswali unayouliza nikikujibu kasome tutafika?? Acha janja janja wewe.
 
Unataka maelezo gani zaidi,... Umekubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza,..that means hicho unachokiona is just an illusion..na sio uhalisia......nikakugusia kuhusu refraction hutaki kwenda kusoma usaidiwe vipi sasa?
hateeb10 Na swali la vitu kufall pia hulioni?? Nimeuliza hii mara ya Tano Sasa 😄😄.
 
Sawa kabisa, Sasa chukua container let say ndoo weka maji then inyanyue na uigeuze upside down, je maji yataendelea kukaa kwenye ndoo? Kumbuka hata hapo yapo kwenye container(contained).

Usichojua container inafanya maji yasiflow horizontally tu lakini Haina effect yoyote Kwa maji kustick kwenye Dunia. Ndo maana hata hapo juu nimekwambia role ya mabonde
hateeb10 Na hapa huoni??😄 Mimi najibu Kila swali lako lkn ww unajifanya ndege John NJOO hapa mpaka ujibu maswali yote.
 
Back
Top Bottom