The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Wapi nimekubaliananayo au hujui kusoma?Sasa mwanzo ulivyokubaliana na hiyo hoja ya mabonde ulikua unawaza nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimekubaliananayo au hujui kusoma?Sasa mwanzo ulivyokubaliana na hiyo hoja ya mabonde ulikua unawaza nini?
Nimekwambia chukua maji yarushe juu je hayatarudi chini?Hata hiyo gravity unayosema huwezi kuthibitisha inavyofanya maji yastick kwenye spinning-ball,...unazungumza kisha basi,.
Ila ww ILLUSION kama huioni kabisaa hahahaa😀 kweli we kichwa wazi.Hata hiyo gravity unayosema huwezi kuthibitisha inavyofanya maji yastick kwenye spinning-ball,...unazungumza kisha basi,..
hateeb10 😀😀😀 kapaaa🗑️🚮And BTW why ww unataka uthibitishiwe while ww hata maelezo ya unachoita ILLUSION huna??😀
hateeb10 kapaaa🚮🗑️ I can't argue with someone who avoids pet questions like these.Labda nikuulize tu kati ya Nyota na Jua kipi kikubwa na kipi Kiko mbali zaidi kutoka tulipo?
Direction tofaut kivipi? Si unasema Jua linamove naww tumia hizo dk au record Kwa hizo dk uje utuoneshe jua likimoveMwezi unaonekana kwenye direction tofauti tofauti,..that means una move.., sasa nakushauri utumie mwezi kama reference point utajua je Dunia ina move kama unavyoambiwa ama La,.......
Ukitumia Jua unaweza ukapata changamoto,..Tumia mwezi simple kabisa utakutana na ukweli unaoingia akilini.
hateeb10 avoiding pet questions like these is a symbol of weakness, just face them kama kweli ww unapoint Kwa kile unachoaminiKwa nadharia ya Dunia flat, Elezea hii picha
hateeb10 holaaaa!!😄😄Kwann usiexplain hapa? How refraction inafanya Jua lionekane half? Na Kwa madai ya flat earth mnasema Jua huwa linaenda mbali na ndio maana tunaona limepotea na kunakuwa usiku, sawa; lakini swali la kujiuliza tu kama ni kweli Jua linaenda mbali kwann lisipungue SIZE as we know kitu kikiwa mbali zaidi size yake inapungua lakini upande wa Jua halipungui size Bali linaonekana kinazama kama lilivyo Naomba maelezo hapa kusoma nimeshasoma.
View attachment 3180254
Picha: mfano wa Jua likionekana half
Na naomba majibu ya swali la pili pia.Asante.
Unataka maelezo gani zaidi,... Umekubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza,..that means hicho unachokiona is just an illusion..na sio uhalisia......nikakugusia kuhusu refraction hutaki kwenda kusoma usaidiwe vipi sasa?hateeb10 😀😀😀 kapaaa🗑️🚮
Wewe ndiyo huelewi au mwepesi wa kusahau,..Wapi nimekubaliananayo au hujui kusoma?
Nilikuuliza unakubaliana nae,..ukajibu Niskubaliane nae kivipi.......umekumbuka sasa?Nisikubaliane nae kivipi?? Point Kubwa ni gravity, mabonde yanafanya maji yaflow ardhini bila mabonde na Dunia ingekuwa perfect sphere maji yasingekuwa yanaflow in any direction. So mabonde yanaplay part kwenye flow ya maji lakini point Kubwa hapo ni Gravity.
😄😄 Wapi nimesema Jua halizami (sunset)? Swala la Refraction elezea Sasa namm maswali unayouliza nikikujibu kasome tutafika?? Acha janja janja wewe.Unataka maelezo gani zaidi,... Umekubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza,..that means hicho unachokiona is just an illusion..na sio uhalisia......nikakugusia kuhusu refraction hutaki kwenda kusoma usaidiwe vipi sasa?
Nambie wapi onesha 😄Wewe ndiyo huelewi au mwepesi wa kusahau,..
Unasoma kweli maelezo??? Au unachukua heading tu???Nilikuuliza unakubaliana nae,..ukajibu Niskubaliane nae kivipi.......umekumbuka sasa?
Kama issue ingekuwa kusoma nani angekuwa hapa?......nikakugusia kuhusu refraction hutaki kwenda kusoma usaidiwe vipi sasa?
hateeb10 Na swali la vitu kufall pia hulioni?? Nimeuliza hii mara ya Tano Sasa 😄😄.Unataka maelezo gani zaidi,... Umekubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza,..that means hicho unachokiona is just an illusion..na sio uhalisia......nikakugusia kuhusu refraction hutaki kwenda kusoma usaidiwe vipi sasa?
hateeb10 Hapa hujajibu????Nimekwambia chukua maji yarushe juu je hayatarudi chini?
hateeb10 Na hapa huoni??😄 Mimi najibu Kila swali lako lkn ww unajifanya ndege John NJOO hapa mpaka ujibu maswali yote.Sawa kabisa, Sasa chukua container let say ndoo weka maji then inyanyue na uigeuze upside down, je maji yataendelea kukaa kwenye ndoo? Kumbuka hata hapo yapo kwenye container(contained).
Usichojua container inafanya maji yasiflow horizontally tu lakini Haina effect yoyote Kwa maji kustick kwenye Dunia. Ndo maana hata hapo juu nimekwambia role ya mabonde
hateeb10 Still hujaelezea ILLUSION yako 😄😄😄😄 au unasema tu hata ww huijui?Wewe unasema uniamini vipi Kwa maneno naww ulivyosema ILLUSSION unataka nikuamini Kwa manen😀.
Hahh,..kwahiyo Jua linazama kweli?😄😄 Wapi nimesema Jua halizami (sunset)? Swala la Refraction elezea Sasa namm maswali unayouliza nikikujibu kasome tutafika?? Acha janja janja wewe.