Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
tuwaachie wasomaji wengine watajua nimejibu hayo maelezo yako au nimepuyanga, maana mi naona nimejibu katika swali husika labda nimekuchanganya kwakusapoti jibu langu kwa mifano
Achana na wasomaji wengine kwani sasa hivi si tunajadili Mimi naww? Unapaswa unielimishe vzr.
 
vitu tunavyoviona vinapunggua umbo ni kwa msaada wa mwanga mwngine. ila Jua tunaliona kwa msaada wa Mwanga wake lenyewe so kuliona likibadili shape ni mpaka tuwe katika eneo kubwa sana lililo na utambarare. ila katika mazingira yetu humu mijini kwenye majimba miti na vilima inakua ngumu kido, smtimes hata kuzama na kuchomoza hatulioni zaidi ya mwanga tuu na likiwa limeshakamilika lote
Hapa umetudanganya kaka!! Jua linaonekana Kubwa na linazama hata bila kuwa na hizo obstacles!!

main-qimg-b87dbc2626b68231a38e35866a863761-lq.jpeg
 
Sawa, kama Nyota ni ndogo kuliko Jua na zipo mbali nasisi mbona tunauwezo wa kuziona lakini Jua unasema linaenda mbali linapotea?
ni hivi ndugu, nyota mpaka mchana zipo, tunaziona pindi mwanga wa jua unavyopotea na tuashindwa kuziona pindi mwanga wa jua unavyokuwepo. ni kwasababu mwanga wa jua ni mkali zaidi.
 
vitu tunavyoviona vinapunggua umbo ni kwa msaada wa mwanga mwngine. ila Jua tunaliona kwa msaada wa Mwanga wake lenyewe so kuliona likibadili shape ni mpaka tuwe katika eneo kubwa sana lililo na utambarare.
Hapa pia umeforce kujibu kaka!! Naamini ulishawah kuobserve mwanga wa taa ukiwa mbali utaona ni just like a spot of light lkn ukisogea karibu utaona ni taa Kubwa tu.
 
hatukubaliani ila nimekukubalia wewe. halafu kua na mtazamo wakuelimishana zaidi kuliko kukosoana. maana maswali na hoja zako unazonijibu ni kama mtu unaetaka kumlazimisha mtu akubaliane na wewe. wewe niffundishe nikiwa nina swali lijibu then kubali nikufundishe kwa uelewa nilionalo ukiwa na swali uliza.
Sijakulazimisha, na hakuna sehemu niliyokupazimisha.

Kama hatujakubaliana ndo nikakuuliza ukiruka juu hautarudi chini? Naamini jibu ni hapana au nakosea? Kama ndio hiyo observation wanasayansi waliita GRAVITY. Sasa nakuuliza tena tunakubaliana kuwa gravity ipo as a phenomenon kabla hatujaanz kuongelea theory behind it?
 
nasema haya maana maswali yangu mengi hauyajibu zaidi unakomaa kuyahoji majibu yangu ninayokujibu wewe it means unataka mpaka nikubaliane na wewe. kumbuka elimu ya dunia tufe na mimi nimefundishwa basic yake. so nimekua nikiihoja kwa basic ya Flat Earth inayohusisha zaidi milango ya fahamu tuliyonayo.
Ndugu yangu ni swali Gani sijajibu?? Mbona najitahidi kujibu yote? Ni direct wapi sijajibu.
 
Hapa umetudanganya kaka!! Jua linaonekana Kubwa na linazama hata bila kuwa na hizo obstacles!!

View attachment 3181347
ndomana nilikusisitiza tusishindane kujua nani muongo au mkkweli bali tuelimishane... sasa kwa uelewa wako wewe hapo kuna umbali gani haswa wakuweza kuliona hilo jua kua litabadili shapena kua dogo. na bado hiyo picha imehusisha Lens au hilo umejisahaulisha.? Sasa Muongo atakua nani kati ya yule anaetetea kudanganywa na anaeutetea ukweli auoonae kwa macho yake mwenyewe.?
 
sasa kabla hatujaendelea naomba uyajibu maswali yangu yenye alama za viulizo tangu mwanzo wa post zangu za usiku huu, maana kuna mengi umeyakwepa kwakunihoji namna ninavyokujibu. tutakesha bila kuelimishana
Nidirect kwenye hayo maswali unavyosema sijajibu. Siwezi kukukwepa sifaidiki na chochote Dunia ikiwa duara Wala sipungukiwi chochote Dunia ikiwa flat kama usemavyo.
 
Sijakulazimisha, na hakuna sehemu niliyokupazimisha.

Kama hatujakubaliana ndo nikakuuliza ukiruka juu hautarudi chini? Naamini jibu ni hapana au nakosea? Kama ndio hiyo observation wanasayansi waliita GRAVITY. Sasa nakuuliza tena tunakubaliana kuwa gravity ipo as a phenomenon kabla hatujaanz kuongelea theory behind it?
gravity haipo kama force ila kama jina la kitu kurudi chini kikirushwa angani kwa kiswahili kuanguka. hapo ndio nikasema kam ni hivyo nakubaliana na wewe. ila gravity kua kama nguvu ya kuvuta vitu chini NIMEKATAA ndio nikauliza Nguvu ya kuyavuta maji ya bahari chini na nguvu ya kunyanyua mguu ipi kubwa?
 
ni hivi ndugu, nyota mpaka mchana zipo, tunaziona pindi mwanga wa jua unavyopotea na tuashindwa kuziona pindi mwanga wa jua unavyokuwepo. ni kwasababu mwanga wa jua ni mkali zaidi.
Hujaelewa swali!! Nyota ni ndogo kuliko jua kama ulivyosema na ziko mbali kuliko jua lakini tunaziona sasa kwann Jua tusiweze kuliona hata kama litaenda mbali na ni Kubwa kuliko Nyota na karibu kuliko Nyota ?
 
ndomana nilikusisitiza tusishindane kujua nani muongo au mkkweli bali tuelimishane... sasa kwa uelewa wako wewe hapo kuna umbali gani haswa wakuweza kuliona hilo jua kua litabadili shapena kua dogo. na bado hiyo picha imehusisha Lens au hilo umejisahaulisha.? Sasa Muongo atakua nani kati ya yule anaetetea kudanganywa na anaeutetea ukweli auoonae kwa macho yake mwenyewe.?
Kaka sishindani!! Kama ulivyosema mwenyewe kuwa kwenye hiyo picha hakuna umbali wa kulifanya Jua lipungue SIZE si ndio? Sasa kama ni hivyo Kwann useme linazama au linapotea Kwa sababu ya umbali? Ukiangalia picha unaona Jua lipo half sio full.

Kwahy unataka kusema camera imeongeza SIZE ya Jua? Point yako ni ipi hapa? Lens au umbali sio mkubwa?
 
gravity haipo kama force ila kama jina la kitu kurudi chini kikirushwa angani kwa kiswahili kuanguka. hapo ndio nikasema kam ni hivyo nakubaliana na wewe. ila gravity kua kama nguvu ya kuvuta vitu chini NIMEKATAA ndio nikauliza Nguvu ya kuyavuta maji ya bahari chini na nguvu ya kunyanyua mguu ipi kubwa?
Safi, huko kwenye gravity ni force Bado hatujafika. Kwahy mpaka Sasa tuko pamoja kuwa Gravity ipo au utaamua ww utakavyoiita kama unaona neno Gravity linakutatiza???
 
ila gravity kua kama nguvu ya kuvuta vitu chini NIMEKATAA ndio nikauliza Nguvu ya kuyavuta maji ya bahari chini na nguvu ya kunyanyua mguu ipi kubwa
Soma vzr swali ulilouliza. Umeuliza nguvu ya kuvuta maji(kustick) na nguvu ya kunyanyua mguu ipi Kubwa?

Automatically nguvu ya kunyanyua mguu itakuwa Kubwa. Kwa sababu nguvu iliyotumika kuvuta maji yastick kwenye ground ndio hiyo hiyo inayovuta mguu wako, Sasa kitendo Cha ww kuweza kunyanyua mguu wako inamaana umeizidi hiyo nguvu inayouvuta mguu wako chini. Nadhani nimeeleweka.
 
Absolutely sumaku inaweza kufanya kitu kizunguke mfano electric motors.
kwanza ondoa dhana ya Jua limesimama/Limetulia katiaka mawazo yako pindi uniulizapo maswali yahusuyo FlatEarth maana nimegundua unashundwa kunielewa kwasababu bado una dhana za ki globe, unakumbuka nilikuambia pitia kidogo hata basic ya Flatearth namna dunia na vitu vyake inavyfanya mambo yatokee.

na hili swali ukilichunguza vizuri linatoa sapoti kwa watu wa flat zaidi kuliko wa Globe. wakuulizwa haswa kwanini halicheng shape na dunia inalikimbia ilitakiwa iwe wewe. mimi nimekueleza vizuri hatulioni likibadili ukubwa au udgo kutokana na mazingira na namna linavyotoa mwangaza wake. unajua hata la mawio na machweo huonekana kubwa kwa sababu tunaliona likiwa katika mionzi hafifu tofauti na lile la saa sita mchana. kuliangalia tuu livu ngumu hadi utumie vifaa na bado utaliona ni dogo kishape tofauti na hilo la kwenye picha.

nikusaidie uelewa, kwa mchana ukubwa wa jua tunaufeel kuanzia miale yake ya mwangaza ndio maana tutaona linaangaza sehemu kubwa kwa mwanga mkali tofauti na la asubuhi au jioni. na kwa nyongeza, nchi au visiwa vya katikati ya dunia kuna wakati jua wanaliona kama linapitia kule south na ndio wanaolishuhudia vizuri kua lipo katika mzunguko wake.

tukikutana hapa tena nakuomba uje na sababu za kwanini baadhi ya nchi ikiwemo Uingereza hubadili majira ya saa zao kwakuyarudisha nyuma au kuyaongeza mbele masaa..
 
Back
Top Bottom