The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
NkumbiSon
Katika discussion yetu yote Kuna mambo Bado hujayajibu vzr na yanaacha maswali pia.
1. Umesema DENSITY ndo sababu ya vitu kufall down, lakini hujaelezea kwann down⬇️ na sio juu⬆️ ama left ⬅️ or right➡️. Nikakupa mfano uchukue object then iweke juu ya hewa then iachie, lazima hiyo object ishuke chini(fall). Sababu uliyotoa wewe ni sababu ya DENSITY Kwa maana ya kwamba kitu chenye density ndogo kitapanda juu na chenye density Kubwa kitashuka chini swali langu kwann chini na sio pande nyingine? Wakati hiyo object imezungukwa na hewa ambayo ni less dense than that object?
2. Umesema au flat earthers huwa mnasema Jua huonekana linazama(sunset) Kwa sababu ya 'PERSPECTIVE' nanukuu
"Flat Earthers often argue that the sun and moon appear to set due to perspective, as they move further away across the flat disc of the Earth. They claim these celestial bodies don't actually go below the horizon, but simply become too small to see".
Sasa hujanijibu vzr swali langu nililoambatanisha na picha👇 kwann tunaona Jua linazama likiwa Kubwa?