hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hiyo ni katuni,....hushangai hata wenzako wa Dunia tufe hawana imani nayo?Naomba mfano wa katuni ya hivi ikionesha Dunia tambarare kama unadhani hii ni katuni. Kusema tu hii ni katuni hakuondoi uhalisia.