Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hateeb10
Mpaka Sasa hujajibu vitu vifuatavyo!
1. Unasema kutembea friction force haihusikii nimekuuliza ukitembea kwenye tope kwann huwezi na utateleza.

2. Weight unayoongelea ww ni ipi?
3. How weight Ina exert force.
4. Hujatoa mfano wa kitu kinachoweza kumove bila external force kuwa applied mpka sasa kimya
1. Friction force,.. haikusaidii kutembea bali itakusaidia incase of kuteleza (itakusaidia kujizuia kuteleza),.. ndiyo maana umetoa mfano wa kuteleza kwenye tope.

2. Kwani kuna weight za aina ngapi? weight ninayoongelea mimi ipo determined na uzito wa maada bila kuhusisha imaginary force yoyote.....Narudia Layman anaweza kuelezea uzito wa kitu kuliko mtu aliyekariri formula za kubuni.

3. Unaposema external force sio lazima ujitungie force ambayo haipo bali unaweza ukatumia reasoning kujua kipi kinachafanya object fulani ifanye movement kwa kuzingatia natural laws zinavyofanya kazi,.... kwa mfano,.. Unajua kwamba (a) kila chenye uzito maana yake kina internal force ndani yake,. so uzito wa kitu ndiyo uta determine kitu hicho kitaanguka kwa magnitude effect gani (b) Natural law inavyofanya kazi,. kitu chenye uzito zaidi kitaenda chini mpaka pale ambapo kitakutana na kitu chenye uzito sawa au kuzidi kitu hicho (Nadhani hii hata wewe unaweza kutafiti na kuthibitisha through observations mbalimbali,......I stand to be corrected.

Kwa kuhitimisha,..Naomba nikubaliana na kauli yako uliyosema kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,...so let's agree kwamba kusema kuna imaginary force inayotuvuta chini is not logical.....
 
Masharti yangu umeyakubali lakini.....?

Nilisema hivi......"Kabla hatujafika mbali,.. Unapaswa ukubali kwamba huna uthibitisho unaoonyesha Dunia ni tufe na inazunguka,.. Lakini pia tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,..

Ili tuutafute ukweli inabidi kwanza tukubali kuachana na uongo,...."
Okay tufanye nmekubali,

Sina aina ya uthibitisho unaouhitaji wewe,

Tuanze maswali ?
 
Hiyo ni katuni,....hushangai hata wenzako wa Dunia tufe hawana imani nayo?
Wenzangu kina nani??😀😀 Nimekwambia kama hii ni katuni leta katuni yako ya umbo la Dunia flat iliyowahi kutengeneza au tengeneza ww maana unaonekana mtaalam sana wa kutengeneza katuni kama hizi😀😀, ukishindwa maana yake hutakiwi tena kusema hii ni katuni
 
1. Friction force,.. haikusaidii kutembea bali itakusaidia incase of kuteleza (itakusaidia kujizuia kuteleza),.. ndiyo maana umetoa mfano wa kuteleza kwenye tope.
Unaakili ndogo sana, sasa ukiteleza friction force inakusaidiaje?? Wakati mpaka unateleza maana yake friction force ni ndogo. Kama nilivyosema awali ww unashida kwenye topic ya FORCE.
2. Kwani kuna weight za aina ngapi? weight ninayoongelea mimi ipo determined na uzito wa maada bila kuhusisha imaginary force yoyote.....Narudia Layman anaweza kuelezea uzito wa kitu kuliko mtu aliyekariri formula za kubuni.
Mbona unajitetea😀, Weight inayojulikana na Kila mtu ni ya mass ×g, Sasa ww nambie yako ni ipi mbona swali dogo tu bwa mdogo?

Au nikuulize tu, tofauti ya Mass na Weight ni nn?
3. Unaposema external force sio lazima ujitungie force ambayo haipo bali unaweza ukatumia reasoning kujua kipi kinachafanya object fulani ifanye movement kwa kuzingatia natural laws zinavyofanya kazi,.... kwa mfano,.. Unajua kwamba (a) kila chenye uzito maana yake kina internal force ndani yake,. so uzito wa kitu ndiyo uta determine kitu hicho kitaanguka kwa magnitude effect gani (b) Natural law inavyofanya kazi,. kitu chenye uzito zaidi kitaenda chini mpaka pale ambapo kitakutana na kitu chenye uzito sawa au kuzidi kitu hicho (Nadhani hii hata wewe unaweza kutafiti na kuthibitisha through observations mbalimbali,......I stand to be corrected.
BLA BLA BLA BLA BLA BLA !!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mfano wa kitu kinachoweza kumove chenyewe bila external force ndio inahitajika hapa. Maelezo mengi hayakusaidii kitu bwa mdogo😀😀. Chaka uliloingia hutoki
Kwa kuhitimisha,..Naomba nikubaliana na kauli yako uliyosema kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,...so let's agree kwamba kusema kuna imaginary force inayotuvuta chini is not logical
Siasa😀😀,
 
Siasa😀😀, j
 
Kwamba hiyo formula ni universal?

Unajua theory of gravity imekua proposed for the first time karne ya ngapi?

Je, kabla ya hiyo theory kuwa proposed,... watu hawakujua maana ya uzito?

Vitu vingine vinahitaji reasoning ndogo tu lakini unakwama kufikiria,....
 
Wenzangu kina nani??😀😀 Nimekwambia kama hii ni katuni leta katuni yako ya umbo la Dunia flat iliyowahi kutengeneza au tengeneza ww maana unaonekana mtaalam sana wa kutengeneza katuni kama hizi😀😀, ukishindwa maana yake hutakiwi tena kusema hii ni katuni
Wenzako wa Dunia tufe,.....sasa kuna haja gani ya kukuletea katuni hapa na unaweza uka observe mwenyewe kwamba Dunia ipo flattened & stationary,..au huiamini akili yako?
 
Okay tufanye nmekubali,

Sina aina ya uthibitisho unaouhitaji wewe,

Tuanze maswali ?
Sawa vizuri,..kwa kuwa uthibitisho huna atleast baki 50/50 kuliko kupambana kuonyesha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka 100% wakati ushahidi huna.

Karib uulize maswali.
 
Kwamba hiyo formula ni universal?
😀😀 Mbona umekomaa na formula?? We nimekwambia nambie ni weight Gani unaongelea unambwela tu😀
Unajua theory of gravity imekua proposed for the first time karne ya ngapi?
Jibu swali acha kumbwela
Je, kabla ya hiyo theory kuwa proposed,... watu hawakujua maana ya uzito?
Acha kumbwela weight unayoongelea ww ni ipi??
Vitu vingine vinahitaji reasoning ndogo tu lakini unakwama kufikiria,....
Reasoning yako ni ndogo, ndo maana nikakuuliza nini tofaut kat ya Mass na Weight
 
Wenzako wa Dunia tufe
Wataje hapa 👇
,.....sasa kuna haja gani ya kukuletea katuni hapa
Thibitisha ni katuni, leta katuni zako pia za Dunia flat Ili tukuamini, hapa bwa mdogo hutoki.
na unaweza uka observe mwenyewe kwamba Dunia ipo flattened & stationary,..au huiamini akili yako?
Nimeshakwambia kama ww umeweza ku observe Dunia ni flat tuletee picha basi ulivyo observe maana ukisema Dunia sijui unamaanisha nn?
 
hateeb10

Still umeshindwa kujibu maswali;
1. Weight unayoongelea ww ni ipi?
2. Tuletee katuni za flat earth kama unazodai nilizoleta ni katuni😀😀
3. Mfano wa kitu kinachoweza kumove chenyewe bila external force
4. How weight exerts force?
 
😀😀 Mbona umekomaa na formula?? We nimekwambia nambie ni weight Gani unaongelea unambwela tu😀

Jibu swali acha kumbwela

Acha kumbwela weight unayoongelea ww ni ipi??

Reasoning yako ni ndogo, ndo maana nikakuuliza nini tofaut kat ya Mass na Weight
Umeamua kuruka,..hujajibu swali.........nimeuliza "Unajua theory of gravity imekua proposed for the first time karne ya ngapi?

Je, kabla ya hiyo theory kuwa proposed,... watu hawakujua maana ya uzito?....."

Kwanini unaogopa kujibu?
 
Reasoning yako ni ndogo, ndo maana nikakuuliza nini tofaut kat ya Mass na Weight
Kwahiyo kwa akili yako mimi sijui tofauti ya Mass na Weight?........Wewe ndiyo una reasoning ndogo unaamini kabla ya nadharia ya gravity kuwa proposed watu walikua hawajui uzito ni nini.., Sasa huoni kwamba unahitaji ukombozi wa fikra ili utoke kwenye box la kukariri?
 
Thibitisha!! Simple tu.. au ulidhani ntashindwa kuleta ulichotaka???
Ndiyo umeshindwa kuleta nilichotaka,..mimi nilitaka ulete uthibitisho kwa bahati mbaya umeleta katuni.

Unataka uthibitisho kwamba Dunia ni flat na Stationary,.tumia akili na macho yako unachokiona ndiyo uthibitisho wenyewe,..sioni haja ya mimi kukuletea katuni maana itakua hakuna tofauti kati yangu na wewe.

Narudia hii sio uthibitisho ni katuni... 👉🌎
 
hateeb10

Still umeshindwa kujibu maswali;
1. Weight unayoongelea ww ni ipi?
2. Tuletee katuni za flat earth kama unazodai nilizoleta ni katuni😀😀
3. Mfano wa kitu kinachoweza kumove chenyewe bila external force
4. How weight exerts force?
Tulia upate Shule:-
1. Weight ninayoongelea mimi ni ile weight before nadharia ya gravity,...kwa maana kwamba kadri kitu kinavyoongezeka (Mass) na uzito (Weight) wake unaongezeka,...hakuna force yoyote ya kubuni inayo determine uzito wa kitu apart from particles za object husika.

2. Uthibitisho kwamba Dunia ipo flattened na stationary hauhitaji katuni ni vitu ambavyo hata wewe una observe kila siku,... anaetakiwa ku prove otherwise ni yule anaesema Dunia ipo tofauti na vile tunavyoiona na kuihisi.

3. Unarudia swali lako,...nimeshasema as a natural law object yenye uzito zaidi itaenda chini mpaka pale ambapo itakutana na object nyingine yenye uzito sawa au zaidi., so movement ya kitu sio lazima iwe kuna external force.......kwa mfano ukiwa umekaa kwenye kiti then ghafla usingizi ukujie,.. kitakachotokea utashindwa ku control kichwa chako kiasi ambacho utaona kichwa kinataka kuanguka,...Sasa jiulize kwenye scenario kama hiyo kuna external force yoyote hapo iliyo influence movement ya kichwa,.. au ni misuli tu ime relax ukiwa usingizini kiasi cha kushindwa kuhimili uzito wa kichwa?

Fikiria vizuri zaidi,..

4. Object zina weight,..na kila kitu chenye weight kina internal force ndani yake na hiyo internal force ndiyo ina determine magnitude of effect ya hiyo object ikianguka au kupiga sehemu,..
 
Back
Top Bottom