Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwahiyo unaamini hapo ulipo kuna mkunjo,..ila kwa kuwa wewe ni tiny sana ndiyo maana huoni huo mkunjo?
Sasa kama Kila sehem ni mkunjo utauonaje huo mkunjo kwenye sehem ambayo ww upo?? Na ndio maana huwa tunaitumia maneno kama "mkunjo inaanzia miles kazaa away" Kwa maana ya kwamba after every x miles mkunjo unaanzia.

Namaanisha nini??
Tukisema mkunjo lazima kuwe na point 2 za reference then tuseme mkunjo unaanzia hapo, Sasa ww Kwa akili yako ndogo ukisema uwende kwenye hiyo point uuone huo mkunjo ukifika hapo utabadiri maana tena, tutakwambia tena mkunjo unaanzia miles kazaa kutoka point uliyofika muda huo๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ kwahy utajikuta unazunguka kama mwehu tu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.

Lastly; nimekuja kugundua unaakili ndogo sana,
 
kwanini hakuna life?
Swali lako ni la kijinga sana!! Unajua msemo wa "penye miti hakuna wajenzi"??

Mfano hata hapa Duniani palivyo,, pana support life, lkn kama kusingekuwa na mbegu(either za mimea au wanyama) kusingekuwa na life regardless kwamba panasupport life.

Mfano mwingne wa kukuelewesha chukulia mwanamke mwenye uwezo mzuri tu wa kubeba mimba, lakin kama hakuna mbegu itayayopandwa ndani ya mfumo wake wa uzazi hatozaa, Japokuwa anauwezo wa kuzaa!!๐Ÿ˜Ž
 
au ukichora ramani ya Tanzania utahusisha na curve cause Zanzibar ipo below the earth's curvature., Hahh
Unajua maana ya Ramani??? Embu nambie how can you represent milima na mabonde kwenye map?? Mito na bahari?? Kama unavyodai kwenye curvature,

basi nam ntakwambia kwann kwenye ramani tusione mliman? Yaa waweke kijimlima kumaanisha mlima? Au waweke maji kumaanisha chanzo Cha maji?? Badala yake Kuna symbols na colors kuwakilisha vitu hivyo?? Map ni a projection of the globe in 2D,

map sio only drawing kama unavyomchora mtu, ni lazima uiproject Ili kuonesha mabara yote kwenye mchoro mmoja, unachodai ww mi sawa na nikwambie unichore mm halafu uoneshe Kila kitu yaan kisogo, uso, mgongo na tumbo n.k Kwenye mchoro mmoja, utafanyaje?? Kama sio kuproject??

Tatizo huna Elimu na vitu unavyobishania, sidhani hata kama umeshawahi kuwa mchoraji wa maumbo mbali mbali na kuyaproject(Technical drawing).

Lastly, nimegundua huna ulijualo kuhusu usemacho!!
 
Sasa nchi zote zitaonekana vipi??๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Akili akili akili

Projection!! Projection!! Elimu huna kuhusu kitu kaa kimya!!
Siku ukijua tofauti ya akili na elimu utaomba na utatamani uongozewe akili zaidi...

Ngoja nikupe challenge nyingine;-
Wewe unaamini kwamba Curvature ya Dunia ndiyo sababu inayofanya Jua lionekane limezama/kuchomoza na kupelekea either usiku au mchana(kwamba Jua likiwa below/above the curvature inapelekea usiku/mchana),..si ndiyo?

at the same time,. unaamini kwamba Mtu akiwa pwani ya Dar Es Salam hawezi kuiona Zanzibar kwa kuwa kuna curvature,.. si ndiyo?

Sasa kama macho yako yanakuambia Zanzibar ipo below the curve that's why huioni ukiwa Dar Es Salaam,...jiulize kwanini Dar es Salaam na Zanzibar zina experience Sunrise na Sunset pamoja?
 
Hapana mkuu,..mimi lengo langu kujifunza ndiyo maana huwa napenda kuuliza maswali kwenye vitu vinavyotatiza,..
Sasa kwann hutoi majibu kwenye vitu vinavyotatiza kuhusu hoja yako ya Dunia tambarare?? Nilikuuliza Jua huwa linapungua size?? Hujajibu.
Lengo kubwa ni kujifunza,..maana hakuna chochote mtu ataongeza kwa kushinda mjadala.
Basi usiwe mbishi unapoelekezwa
 
Swali lako ni la kijinga sana!! Unajua msemo wa "penye miti hakuna wajenzi"??

Mfano hata hapa Duniani palivyo,, pana support life, lkn kama kusingekuwa na mbegu(either za mimea au wanyama) kusingekuwa na life regardless kwamba panasupport life.

Mfano mwingne wa kukuelewesha chukulia mwanamke mwenye uwezo mzuri tu wa kubeba mimba, lakin kama hakuna mbegu itayayopandwa ndani ya mfumo wake wa uzazi hatozaa, Japokuwa anauwezo wa kuzaa!!๐Ÿ˜Ž
Akili yako ndogo ndiyo maana unaona swali la kijinga,..

Ngoja niendelee kukuuliza maswali ya kijinga,......

"Ni nini kilifanya Dunia kuwe na mbegu za either wanyama/mimea,...?

Kwanini kwenye hizo objects nyingine mars, na kadhalika hakuna mbegu za either Wanyama/mimea?
 
Sasa kwann hutoi majibu kwenye vitu vinavyotatiza kuhusu hoja yako ya Dunia tambarare?? Nilikuuliza Jua huwa linapungua size?? Hujajibu.

Basi usiwe mbishi unapoelekezwa
Mimi sio mbishi,...nipo hapa kuipa mwanga akili yako.
 
Unajua maana ya Ramani??? Embu nambie how can you represent milima na mabonde kwenye map?? Mito na bahari?? Kama unavyodai kwenye curvature,

basi nam ntakwambia kwann kwenye ramani tusione mliman? Yaa waweke kijimlima kumaanisha mlima? Au waweke maji kumaanisha chanzo Cha maji?? Badala yake Kuna symbols na colors kuwakilisha vitu hivyo?? Map ni a projection of the globe in 2D,

map sio only drawing kama unavyomchora mtu, ni lazima uiproject Ili kuonesha mabara yote kwenye mchoro mmoja, unachodai ww mi sawa na nikwambie unichore mm halafu uoneshe Kila kitu yaan kisogo, uso, mgongo na tumbo n.k Kwenye mchoro mmoja, utafanyaje?? Kama sio kuproject??

Tatizo huna Elimu na vitu unavyobishania, sidhani hata kama umeshawahi kuwa mchoraji wa maumbo mbali mbali na kuyaproject(Technical drawing).

Lastly, nimegundua huna ulijualo kuhusu usemacho!!
sawa vizuri,.
 
Siku ukijua tofauti ya akili na elimu utaomba utatamani uongozewe akili zaidi...
Nani kakwambia sijui!! Kwanza ww huna Akili!! Kwann? Kwasababu unashindwa kuelewa point ndogo tu unazoeleweshwa na kuskip unapoona patakuumbua.

Pili huna elimu ya baadhi ya vitu, lakin unabishana tu. Mfano kuhusu great circle, ndo maana ulidandia gari Kwa mbele.

Kwahy sasa, akili na elimu ni vitu vinavyotegemeana, ukimpa elimu mtu asie na akili hatoelewa kitu(mfano ww) na vice versa is true, lakini usipompa elimu mtu mwenye akili, Bado Kuna vitu atakosa/atashindwa kuvielewa Kwa sababu elimu ni taarifa,

Nawenye akili akipewa elimu ambayo sio sahihi kwake atachambua na kuona wapi kunafaa na wapi kusipofaa(Sasa ww usie na akili umepewa elimu ya Dunia tambarare hujatafakari hata)
Ngoja nikupe challenge nyingine;-
Wewe unaamini kwamba Curvature ya Dunia ndiyo sababu inayofanya Jua lionekane limezama/kuchomoza na kupelekea either usiku au mchana(kwamba Jua likiwa below/above the curvature inapelekea usiku/mchana),..si ndiyo?
Ndivyo kabisa!! Lkn kabla hujanipa hii challenge yako Kuna hoja zangu huko nyuma hujajibu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
at the same time,. unaamini kwamba Mtu akiwa pwani ya Dar Es Salam hawezi kuiona Zanzibar kwa kuwa kuna curvature,.. si ndiyo?
Sijawahi kufika hiyo pwani unayosema kwahy Sina majibu kuhusu Hilo either ni curvature au Kuna kitu kimezuia
Sasa kama macho yako yanakuambia Zanzibar ipo below the curve that's why huioni ukiwa Dar Es Salaam,...jiulize kwanini Dar es Salaam na Zanzibar zina experience Sunrise na Sunset pamoja?
Ila ntakujibu usijali!!๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

PXL_20250109_131336891.jpg

Tazama picha hapo juu!! ๐Ÿ‘†, je point A na B ni visible to each other? Yaan mtu aliye point A na mwingne point B wanaweza kuonana?? Jibu ni hapana!!๐Ÿ˜Ž, lakin rays of light si zinawafikia?? Jibu ni ndiyo!!๐Ÿ˜Ž(Light travel in a straight line). Answered!!!

Na unaposema zina experience sunrise na sunset Kwa pamoja, jibu ni kwamba Kuna tofaut kidg sana ambayo haiwezi kuwa notified kwenye kuzama au kuchomoza Kwa Jua Kwa sabab ya umbali(mdogo kiasi) kati ya hizo sehem mbili.
 
Mimi sio mbishi,...nipo hapa kuipa mwanga akili yako.
Unaona sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ, mwanzo umesema upo kijifunza lkn saiv unasema kuipa mwanga akili yangu!! Haya majibu yanadhihirisha haupo na hautokuwa tayari kijifunza. OVER.
 
"Ni nini kilifanya Dunia kuwe na mbegu za either wanyama/mimea,...?
Nilitegemea utaniuliza hili swali๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Kwa sababu ww ni mjinga..

Kama Kila mtu angekuwa na akili kama yako nadhani kungekuwa na maswali mengi sana Duniani ya kijinga kama haya,

Mfano hata Mimi naweza kukuuliza kwann mwanamke anabeba mimba na sio mwanaume? Kwann ndege anapaa na sisi hatupai?? Kwann mlima Kilimanjaro upo Tanzania na sio marekani?? Na mengine mengi yasiyo maana yoyote!!

Hiyo ni Nature, wote tumeikuta ipo hivyo!! So kuniuliza mm sitokupa majibu yenye uthibitisho zaidi ya hadithi za mababu.
Kwanini kwenye hizo objects nyingine mars, na kadhalika hakuna mbegu za either Wanyama/mimea?
Nature!! Kwann wewe ulizaliwa mwanaume?? Kwann ww ulizaliwa na mama ako ma sio mama mwingine?? And so on!!

Na Kwa kuongezea kabla sijasahau!! Sababu nyingine ni kwamba Sayari nyingne kama sio zote hazina favourable condition kwaajili ya viumbe(ambao wanajulikana mpka sasa) kuweza kisurvive huko!!

Labda kama Kuna kumbe/mmea unaweza kisurvive huko upo basi ukipelekwa tutaishi lkn mpka Sasa hakuna, viumbe vingi kama sio vyote vinategemea oxygen na maji kusurvive
 
Nilitegemea utaniuliza hili swali๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Kwa sababu ww ni mjinga..

Kama Kila mtu angekuwa na akili kama yako nadhani kungekuwa na maswali mengi sana Duniani ya kijinga kama haya,

Mfano hata Mimi naweza kukuuliza kwann mwanamke anabeba mimba na sio mwanaume? Kwann ndege anapaa na sisi hatupai?? Kwann mlima Kilimanjaro upo Tanzania na sio marekani?? Na mengine mengi yasiyo maana yoyote!!

Hiyo ni Nature, wote tumeikuta ipo hivyo!! So kuniuliza mm sitokupa majibu yenye uthibitisho zaidi ya hadithi za mababu.

Nature!! Kwann wewe ulizaliwa mwanaume?? Kwann ww ulizaliwa na mama ako ma sio mama mwingine?? And so on!!
Akili yako ndogo ndiyo maana unaona hayo maswali ya kijinga,..

Ila ukihadithiwa kwamba kuna mtu aliona apple linaanguka akajiuliza kwanini linaanguka chini,..husemi kwamba kajiuliza swali la kijinga tena unachekelea kabisa kwamba "kweli navutwa chini",..even though tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa....Hahh

Yaani bila aibu unasema kwamba kujiuliza kwamba Kwanini Mwanamke ndiyo anabeba mimba na sio Mwanaume ni swali la kijinga....unasahau kwamba akili yenye afya lazima ijiulize maswali hayo? unasahau kwamba elimu zote unazofundishwa msingi wake mkubwa ni maswali (unayoyaita ya kijinga) watu walianza kwa kujiuliza na kuja na solutions zake?
 
Unaona sasa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ, mwanzo umesema upo kijifunza lkn saiv unasema kuipa mwanga akili yangu!! Haya majibu yanadhihirisha haupo na hautokuwa tayari kijifunza. OVER.
Pamoja na kwamba nakuelimisha,..hiyo hainizuii mimi kujifunza kwako pia.

Ondoa shaka.
 
Back
Top Bottom