The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Hahahahahaa!! Sasa huoni hiyo unayoita ni straight itakuwa ni curved path au Kuna mkunjo tofauti itakuwa ni mkunjo wa juu na nyingine ni mkunjo wa pembeni???Okay ipo hivi,.. kama nilivyokuambia mwanzo kwamba zipo scenarios ambazo curved path inaweza kuwa shorter than straight path,..kwa mfano ikitokea straight path ina mwiinuko ndani yake basi practically the curved path ambayo haina mwinuko wowote inakua ndiyo short path/option.
Lakin pia!! Hapa tunaongelea ndege, Sasa ndege ikiwa angani huwa kunakuwa na hiyo milima au meli baharini huwa Kunakuwa na milima??
🤣🤣🤣🤣🤣 Soma tena ujinga wako vzr!!Tukija kwenye ishu ya Great circle route huwezi ukaitumia kama proof ya kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..