Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Okay ipo hivi,.. kama nilivyokuambia mwanzo kwamba zipo scenarios ambazo curved path inaweza kuwa shorter than straight path,..kwa mfano ikitokea straight path ina mwiinuko ndani yake basi practically the curved path ambayo haina mwinuko wowote inakua ndiyo short path/option.
Hahahahahaa!! Sasa huoni hiyo unayoita ni straight itakuwa ni curved path au Kuna mkunjo tofauti itakuwa ni mkunjo wa juu na nyingine ni mkunjo wa pembeni???

Lakin pia!! Hapa tunaongelea ndege, Sasa ndege ikiwa angani huwa kunakuwa na hiyo milima au meli baharini huwa Kunakuwa na milima??
Tukija kwenye ishu ya Great circle route huwezi ukaitumia kama proof ya kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..
🤣🤣🤣🤣🤣 Soma tena ujinga wako vzr!!
 
Wewe hujawahi kutoka nje ya the so called curvature,..that means umeambiwa tu kuna curvature
Na kuona pia picha 🤣🤣
,.,. picha ambazo zinakufanya uamini ni Computer generated,.
Kwako ww ni CGIs na huna uthibitisho wa unayosema🤣🤣
kwanini usisubiri siku moja tupate teknolojia ambayo itawezesha ku zoom Dunia ili tuone jinsi shape na structure ilivyo huku tukishuhudia viumbe mbali mbali wanavyoishi kwenye Dunia tufe bila kuanguka away from it due to gravity?
Technologia Gani unayosubiri tena??? Si Bado utasema ni AI??
 
Hapana,.. ukiwa unatembea kwenye round surface ukikutana na mkunjo (CURVE) lazima ufuate mkunjo huo,... na ukifuata mkunjo maana yake abrupt change in direction tayari imetokea!
Sio ukikutana!! Haukutani na mkunjo Bali muda wote unaufata mkunjo. Muda woteee!! Maana Kila sehem ni mkunjo no abrupt change in direction
 
Mpira una mikunjo miwili,.based on point of reference ya observer,.
Upi na upi??🤣🤣
Kama ukiambiwa utazame mpira kisha utaje ina mikunjo mingapi, ukishindwa, basi wewe ni kilaza.

Assume huu👇👇 ni Mpira unaweza kunionesha hiyo mikunjo miwili???🤣🤣
Na hapa ni 2D je nikikupa 3D????
PXL_20250117_091505559.jpg
 
Attachments

  • PXL_20250117_091505559.jpg
    PXL_20250117_091505559.jpg
    124.8 KB · Views: 2
Hahahahahaa!! Sasa huoni hiyo unayoita ni straight itakuwa ni curved path au Kuna mkunjo tofauti itakuwa ni mkunjo wa juu na nyingine ni mkunjo wa pembeni???
Ndiyo akili yako ilivyofikiria hivyo? Straight path itabaki kuwa straight hata kama itakua na obstacles tofauti tofauti,..

Straight path inakua determined na destination+location ambayo wewe upo,.. ukiwa LOCATION "A" unataka uende destination "T" straight path itakua determined kwa kuangalia mstari mnyoofu toka pale ulipo kwenda destination husika haijalishi kwenye hiyo.
 
Ndiyo akili yako ilivyofikiria hivyo? Straight path itabaki kuwa straight hata kama itakua na obstacles tofauti tofauti,..
What🥺??? Sawa Sasa path utakayopita ukipanda mlima na kushuka si itakuwa curved?? Ila tu ni Kwa juu.
Straight path inakua determined na destination+location ambayo wewe upo,.. ukiwa LOCATION "A" unataka uende destination "T" straight path itakua determined kwa kuangalia mstari mnyoofu toka pale ulipo kwenda destination husika haijalishi kwenye hiyo.
Pumba tu zote hizi!! Kwahy hata ndege huwa zinakwepa milima huko angani?? Na meli pia huwa Kuna milima ya maji??🤣🤣🤣🤣🤣
 
Upi na upi??🤣🤣

Assume huu👇👇 ni Mpira unaweza kunionesha hiyo mikunjo miwili???🤣🤣
Na hapa ni 2D je nikikupa 3D????
View attachment 3204311
Angalia picha yako hapo., From your reference point, upande wa kushoto na kulia utaona points ambazo zime bend outward hizo ndiyo points mkunjo ulipo,.. nimekuwekea maelezo zaidi hopefully utaelewa.

A round shape, such as a circle or sphere, can indeed appear to have two curves based on the point of reference. Here's why:

  1. External Perspective: If you're observing a round shape from the outside, the curve is convex (outward). For example, when you look at the surface of a ball, the curve bends outward from the center.
  2. Internal Perspective: If you're observing a round shape from the inside (like the inner surface of a hollow sphere), the curve appears concave (inward), as it bends toward the center from your point of reference.
 
Straight path inakua determined na destination+location ambayo wewe upo,.. ukiwa LOCATION "A" unataka uende destination "T" straight path itakua determined kwa kuangalia mstari mnyoofu toka pale ulipo kwenda destination husika haijalishi kwenye hiyo.
Sasa utasemaje mstitari umenyooka wakati Kuna mahali inafika unaanza kupanda mlima na kushuka??

Angalia mchoro no.1 na no.2 nambie upi ni straight??

PXL_20250117_092620933.jpg
 
What🥺??? Sawa Sasa path utakayopita ukipanda mlima na kushuka si itakuwa curved?? Ila tu ni Kwa juu.

Pumba tu zote hizi!! Kwahy hata ndege huwa zinakwepa milima huko angani?? Na meli pia huwa Kuna milima ya maji??🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe hujui hata tunajadili kitu gani,...point ya mimi kukupa maelezo hayo ni wewe ulikataa kwamba hakuna scenario hata moja ambayo itafanya curved path kuwa ya haraka zaidi kuliko straight,.

NB: Planes move horizontally over the flat-plane, and they were called AEROPLANE FOR A REASON!
 
Angalia picha yako hapo., From your reference point, upande wa kushoto na kulia utaona points ambazo zime bend outward hizo ndiyo points mkunjo ulipo,.. nimekuwekea maelezo zaidi hopefully utaelewa.
Weka alama hata Kwa highlighter Ili tuone🤣
A round shape, such as a circle or sphere, can indeed appear to have two curves based on the point of reference. Here's why:
Unaona sasa unakujaaaa!!!!! Kwann utumie reference????
  1. External Perspective: If you're observing a round shape from the outside, the curve is convex (outward). For example, when you look at the surface of a ball, the curve bends outward from the center.
Outward kuelekea upande upi? Kulia na kushoto? Au juu na chini? Au diagonally???
  1. Internal Perspective: If you're observing a round shape from the inside (like the inner surface of a hollow sphere), the curve appears concave (inward), as it bends toward the center from your point of reference.
Siongelei ndani ya sphere hapa!!!
 
Wewe hujui hata tunajadili kitu gani,...point ya mimi kukupa maelezo hayo ni wewe ulikataa kwamba hakuna scenario hata moja ambayo itafanya curved path kuwa ya haraka zaidi kuliko straight,.
Sasa ndo nimekuuliza kupanda mlima ni straight au curved????
NB: Planes move horizontally over the flat-plane, and they were called AEROPLANE FOR A REASON!
🤣🤣🤣
 
Zote hizo ni straight path,..ila straight path mojawapo ina obstacle (mwinuko) mbele.
🤣🤣🤣 Kwahy hapo hakuna curve?? Okay na hii je👇👇 ni curved line au straight??

PXL_20250117_093412835.jpg
 
Attachments

  • PXL_20250117_091505559.jpg
    PXL_20250117_091505559.jpg
    205.5 KB · Views: 2
hateeb10
Unajua tofauti ya distance na displacement??

Straight meaning: extending or moving uniformly in one direction only; without a curve or bend.
"a long, straight road"
 
hateeb10
Unajua tofauti ya distance na displacement??

Straight meaning: extending or moving uniformly in one direction only; without a curve or bend.
"a long, straight road"
Hapana hiyo sio universal meaning,...
"straight" can indeed be used as a reference to indicate direction or the relationship between a person's current location and their destination. In this context:

Straight as a Directional Reference:

  • It implies moving directly toward a destination without deviation, detour, or turning.
  • For example, if someone says, "Go straight to the park," it means to follow a direct path without turning left or right.

Reference Between Two Points:

  • The term "straight" assumes the most direct and uninterrupted line or path connecting the starting point (where the person stands) and the endpoint (destination).
  • This use often includes visualizing or conceptualizing a straight line between the two locations, even if actual travel might require navigating around obstacles.
 
Back
Top Bottom