Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Una mana ipi kwamba wachaga sasa wameanza kumiliki viwanda vyaoWACHAGA WENGI WAMEACHA BIASHARA ZA UCHUUZI,NI STAGE AMBAYO WAMESHAPITA,JAPO WAPO WANAOENDELEA NAYO..!AT A LOW SPEED..!
Hakuja mtu anayefanikiwa kibiashara bila nidhamu ya matumiziEmu anza ubahili baada ya 20 years uje hapa uniambie kama umekuwa tajiri.
DuhHao wakinga 90% waliiteka Tunduma saivi wamehamia kariakoo
Kuna mkinga mwenye mahotel ya "WANYAMA HOTEL" alikuwa tajiri balaaa ana maghorofa zaidi ya 5 hapa kariakoo
Lakini jamaa alipofariki wakasafirisha maiti kupeleka huko kwao walikosa hata pakulaza jeneza, jamaa hana hata kinyumba cha chumba kimoja hapo kwao
Iliwabidi maiti walaze kwenye nyumba ya babaake mdogo
Mswahili bwana. Wewe unadhani wahindi wamekimbia biashara ya maduka! Hawajakimbia ila wameshapitia hiyo hatua. Hao wakinga ndiyo kwao kunakucha sasa hivi wakati wahindi ni jioni.Sio kariakoo tu. Mkinga akiingia sehemu yoyote mchaga hakai,mhindi hakai wala mpemba hakai. Hawa hawachangamani,sababu staili ya mkinga ya ufanyaji biashara ni unique sana.
Wana meli zao ipi mkuu hiyo mkuu na ni mkinga yupi yupo Guanzhou?Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima.
Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa), wapare, n.k.
Kwa sasa hali imebadilika kabisa kwa mapinduzi anayofanga mkinga kwa sulaha yake kuu ya kuuza kwa bei ndogo, yani kwenye swala la bei kwa mkinga uta enjoy sana, faida anayotaka yeye huwa ni ndogo tu wala si kubwa, hata awe peke yake anaeiuza bidhaa, na hili limefanikiwa zaidi kwa wakinga wengi ndugu zao kujazana mji wa Guangzhou huko China na kwa sasa wana meli zao kabisa za kusafirisha mizigo na wana umoja wa kusaidiana.
siri nyingine wanajali sana wateja wao, kila mteja wanamjali.
Kwenye matumizi ya fedha hapa nadhani hawama mpinzani, mkinga anaishi simple sana
Mkinga ni kabila linalopatikana mkoa gani?
Wanajidanganya ivyo awajui yakwamba awa matajiri kupitia biashara zao zinawajngizia faida kubwa ila kwenye matumizi ni watumiaji wazuri wa pesa kuliko hata masikini.Emu anza ubahili baada ya 20 years uje hapa uniambie kama umekuwa tajiri.
We utakuwa mchaga hupendi mtu mwingine anayefanya vizuri asifiweHao wakinga 90% waliiteka Tunduma saivi wamehamia kariakoo
Kuna mkinga mwenye mahotel ya "WANYAMA HOTEL" alikuwa tajiri balaaa ana maghorofa zaidi ya 5 hapa kariakoo
Lakini jamaa alipofariki wakasafirisha maiti kupeleka huko kwao walikosa hata pakulaza jeneza, jamaa hana hata kinyumba cha chumba kimoja hapo kwao
Iliwabidi maiti walaze kwenye nyumba ya babaake mdogo