Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

Wachaga wapo mbali sana kibiashara. Elimu imewasaidia, huwezi kufananisha na kabila lolote Tanzania.
Nani kakudanganya wachaga wanaofanya biashara wamesoma? Hiyo reaserch ulifanyia wapi
Hebu njoo Arusha mtaa mzima Ukiona hata mchaga mmoja anayeongea kingereza nakupa 10000
Wengi waliishia la Saba na wengine hawakufika hata Hilo la Saba
Wakakimbilia kuzungusha viatu viatu
 
Kuna siku natoka zangu Mbezi nimetoka mkoa Alfajiri nikapanda daladala naelekea Home kufika Tabata akapanda Mkinga kalewa full kuropokwa si akatoa burungutu lahela anawaonyesha abiria alafu anacheka Hahahaaa mm ndo mkinga bana sasa ole wake mtu aniibie nashuka Tabata Darajani mm siangaiki nae nakuua alafu nakufanya msukule nakueka kwenye Duka langu la kariakoo pale kazi yako kuita wateja Njoo njooo[emoji23][emoji23].

Wakinga na biashara zao namafanikio yao waacheni km walivyo[emoji38][emoji23][emoji1787]
 
Mchaga anamuheshimu mteja kabla hajanunua. Mteja akishanunua bidhaa, hata wakati anaaga haambiwi karibu tena
Huku kwetu kuna mchaga ana duka la nguo na viatu,kwanza hataki inshu za kujalibia kuvaa kiatu au nguo,pili akitamka bei ndo hyo hyo hapunguzi na ukiendelea kujiliza liza pale anakwambia kwa ukari kuwa "siuzi"

Cha ajabu yupo siku nyingi na anaendelea na wateja anapata
 
Hatari! Sijui anawezaje ku survive ushindani
 
Nimezunguka siku 32 Tanzania nzima kwenye miji mikuu na midogo inayofikika kwa lami kasoro Kigoma na Kagera
Nilikuwa na Kampuni moja hivi ya nje kwenye reaserch flani

Na nikafanya reaserch ya siri mimi nilitaka nione kama ni kweli wachaga wamesambaa Kila mahali na wanafanya vizuri kuliko watu wengine Nikakuta sio kweli

1. Kariakoo. Nilikuta wamekutana na upinzani mkali wamezidiwa na Wakinga

2. Tanga , Lushoto na Handeni ...ni mchanganyiko Kila mtu anapambana
Kama lushoto wenyeji wako moto sana ndio wakulima wakubwa wa Matunda na mboga mboga na wasafirishaji pia.

3. Handeni ..Mchanganyiko kidogo ila nimeona mchaga mmoja ni Mama mwenye duka kubwa la agrovet ndio aliyechangamka pale wengine ni Mchanganyiko

3. Lindi. Kondeboys wanafanya vizuri na wabena ingawa huu mji nao sijakuelewa vizuri
Pamepoa sana.

4.Masasi. Pako vizuri sana. Wafanyabiasha wakubwa hapa ni wabena na Wakinga na Kondeboys kidogo wanajitahidi.

5. Mtwara yote hii Wakinga / Wabena

6. SONGEA. Wakinga/ wabena
Labda huyu mwenye La chazz night club
Sijamjua Challes Hilary ni kabila gani

7. Njombe. Wenyeji wako very active Wakinga / Wabena
Mahotel mazuri, lodges nzuri wanatawala vizuri
8. Makambako . Wahehe/ Wakinga

9. Iringa. Vile vile ila niliingia kwenye bar moja ya mchaga inafanya vizuri

10.Mafinga. Wakinga. Na ndio Fredy vunja bei amekita mzizi kama home na kuweka Chachu kwa vijana wengi

11. Mbeya . Changanyikeni wachaga wapo, wanyakyusa wapo wahehe , wabena, Kila mtu yupo huko

12. Tunduma. Wakinga / Wabena na Mchanganyiko

13. Sumbawanga. Hakuna bingwa biashara kubwa zimeshikwa na waarabu wa Tawakall
Hawa wenye Dew Drop Kampuni ya maji

14. Mpanda. Pamechangamka sana ila hakuna bingwa Kila mtu anagusa kidogo kidogo maendeleo yanakuja

15. Tabora. Mji mkongwe ....sijaona chochote kilichonivutia

16. Nzega. Lodge nyingi tu ..Na vijana wengi kutoka singida wanyaturu na wanyiramba ndio wapambanaji hapa

17. Kahama. Hapa ni amazing. Kila kabila lipo na Kila mchunguli fursa.
Nililala submarine hotel nikafeel kama Niko Arusha uchumi ni kunyang'anyana hakuja shujaa

18.Singida. Wachaga wamevamia kidogo kwa Kasi hata manyoni hapo wapo Nililala Narumu hotel ni ya mchaga

19.Dodoma.
Ngoma droo Kila mtu anazama pango jipya

20.Moro. Changanyikeni

Wacha nipumzuke kidogo nitarudi tumalizie ziwani.
 
Mie nadhani utofauti wetu wa Imani na mawazo ndio vinatufanya tuwe Kama alivyofanya huyo jamaa.
Mie naamini nyumbani ni pale ninapoishi. Kujenga nje ya hapo ni hiari yangu Ila sio lazima. Hata nikifa ni hiyari yangu wanizike wapi, nyumbani kwangu au nyumbani kwa wazazi wangu. Maana mazishi ni Yale Yale hayatobadili chochote kwenye maisha yangu yaliyopita na yaliyobaki (baada ya kifo Kama yapo lakini).
 
Sasa hapo tatizo nini?
 
Ila wakinga ni wachache ila wanakuja na moto wamekuwa fame ivi karibuni na kweli wanateka soko nawasifu coz ni kabila dogo hata Kwa idadi ya watu na kihistoria
Unajua hizi mizania zenu haziko sawa ila umeamua tu kujidanganya mwenyewe.
Wachaga wako wengi mno na ni miongoni mwa makabila makubwa matatu Tanzania.
1. Wasukuma (sisi)
2. Wanyakyusa
3. Wachaga

Mchaga yupo hadi vijiji ambavyo huwezi kudhani atakuwepo na anaendesha biashara zake huyo mkinga ataweza kutapakaa hivyo? Kariakoo wapo ni kweli wanafanya biashara gani kama si ndogondogo?
 
Yani mbena utamjua tu kwenye hii mijadala, penye wakinga wanapenda kuweka "wakinga / wabena" yani ukimkuta mbena kwenye hii mijadala atatumia nguvu kubwa sana ionekane mkinga na mbena ni kitu kimoja wakati wahege ndio ndugu za wabena maan hata lugha zinafanana πŸ˜‚πŸ˜‚.

wabena waache starehe wafanye kazi aisee.

nipo mbeya huku nawajua wakinga na Dar naowajua ni wakinga, kuna wakinga sio wakinga / wabena πŸ˜‚, wabenaunganisheni nguvu na wahehe mtaweza tu
 
SAWA ila sio kiivyo useme Kila Kona kutoka a na idadi yao kuwa wengi na biashara tunazungumzia kubwa zile kiasi Cha kuteka masoko wachaga ni wengi Kwa population ndo Kila Kona wapo hata wasukuma ndo namba moja kila kona wapo

Mkinga point yetu kabila dogo linakuja juu ni kama Israel kanchi kadogo ila kina hatari kweny vita
 
Biashara za wizi wa kariakoo alikomesha magufuli wachaga wakaona wakimbilie kwenye miji midogo inayokua kama Inyonga na Kahama
 
Wabena na wakinga ni kama hawana utofauti Sana wote wanamiliki uchumi mkubwa na familia bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…