Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

Na kabila la Wabena linakuja juu. Nao ni ndugu na Wakinga na wanatoka mkoa mmoja isipokuwa wilaya tofauti.
 
Huwa wanasema hivyo lengo ni kutisha tu ili watu wasiwaibie au kuwafanyia kitu kibaya. Na hii imekuwa kawaida, kiasi kwamba mtu akisema anatokea Njombe na akawa mfanyabiashara, watu wana amini kuwa watu wa Njombe hawafanyi biashara bila uchawi. Na hii imefanya wawe wanaogopwa
 
Utasemaje Wabena ndugu zao wahehe, wakati Wabena wapo mkoa mmoja na Wakinga? Nikuambie Njombe ina Makabila matatu, Wabena, Wakinga na Wapangwa. Wakati huohuo Wahehe wapo Iringa.
 
Vipi korogwe haukufika
 
Uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo, pamoja na ushabiki maandazi tu, kila ethnic group lina unique identities zake na kamwe haziwezi kufanana na hata kulingana.
 
endeleeni na upumbav wenu na uchawi wenu wa kuamini Wakinga ni washirikina... Ukiingia dukani kwa mkinga atakupokea kwa salamu ustarabu na kukuelekeza vilivyopo na baada ya hapo atakuuliza unahitaji nini akusaidie... Hata kama ulikua huna mpango wa kununua chochote Customer Care yao inakushawish utoe pesa...
Ni upumbav wa WaTz kuwa na wivu na maendeleo ya watu, watazusha mwizi mshirikina freemason nk end of the day watu wanafanikiwa nyinyi mpo Ig Fb Jf mnabishana wakat hata hela ya kununua chapat moja huna, unategemea hadi mume wa dada yako afurahishwe na dada yako ndio akupe πŸ˜‚πŸ˜…
 
Umesahau uchawi wao wa punje za mahindi,na kuwaweka Bondi watoto/wazaz
 
Kuna kitu umesahau, watu ambao wameendelea pia wapo tayari to explore other ventures, hayo makabila walisomesha watoto, haya mambo ya retail & wholesale trading watu wanayakimbia kwa sababu kila mtu kafunguka sa hivi hata wewe kumbe unaweza ukaagiza bidhaa zako very cheap huko asia na kusukuma hapa mjini na ukatajirika

Sasa hivi wengi wanajikita kwenye professional works, business, tech, engineering & other consulting works, ukija kuangalia hizi biashara nyingi sasa hivi za retail za pembeni tuu ni kwaajili ku maintain cash flow kwa hawa professionals, na wengi wanafungulia wake zao n.k lakini wanaofanya wengi ni watu ambao hawana elimu (watu wana hustle kutoboa) akifungua anaenda kuloga wenzake wasiuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…