🤣🤣🤣🤣🙌🙌Wakinga ni wachawi tangu zamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🙌🙌Wakinga ni wachawi tangu zamani
Wakinga kwao kabisa ni Njombe na siyo Iringa. Na Njombe wilayani Makete. Huko Iringa wanahamia kama wanavyo hamia DSM.Njombe na Iringa
Mkoani Njombe.Mkinga ni kabila linalopatikana mkoa gani?
Huwa wanasema hivyo lengo ni kutisha tu ili watu wasiwaibie au kuwafanyia kitu kibaya. Na hii imekuwa kawaida, kiasi kwamba mtu akisema anatokea Njombe na akawa mfanyabiashara, watu wana amini kuwa watu wa Njombe hawafanyi biashara bila uchawi. Na hii imefanya wawe wanaogopwaKuna siku natoka zangu Mbezi nimetoka mkoa Alfajiri nikapanda daladala naelekea Home kufika Tabata akapanda Mkinga kalewa full kuropokwa si akatoa burungutu lahela anawaonyesha abiria alafu anacheka Hahahaaa mm ndo mkinga bana sasa ole wake mtu aniibie nashuka Tabata Darajani mm siangaiki nae nakuua alafu nakufanya msukule nakueka kwenye Duka langu la kariakoo pale kazi yako kuita wateja Njoo njooo[emoji23][emoji23].
Wakinga na biashara zao namafanikio yao waacheni km walivyo[emoji38][emoji23][emoji1787]
Idiot commentWachaga wapo mbali sana kibiashara. Elimu imewasaidia, huwezi kufananisha na kabila lolote Tanzania.
Utasemaje Wabena ndugu zao wahehe, wakati Wabena wapo mkoa mmoja na Wakinga? Nikuambie Njombe ina Makabila matatu, Wabena, Wakinga na Wapangwa. Wakati huohuo Wahehe wapo Iringa.Mbena ndugu zake ni wahehe maana hata lugha hazipishani sana.
hao wabena nimekaa nao sana kuanzia kina mwajombe, lugenge, kivambe, n.k.
wabena wenyewe miji yao ya njombe na makambako, mkinga kameza hapo mbena anaangalia tu, kwa wabena labda ni dada zao tu wana sifa ya wife material, kwa biashara hapo ni mkinga.
ni vile tu kwa sasa mkinga kaja kwa kasi kwa hio wabena huwa wana tabia ya kujipendekeza sana kwa wakinga kwamba wao ni ndugu 😂😂.
S=I,what you save is what you will investSi kweli labda utajiri wa kimasikini
Vipi korogwe haukufikaNimezunguka siku 32 Tanzania nzima kwenye miji mikuu na midogo inayofikika kwa lami kasoro Kigoma na Kagera
Nilikuwa na Kampuni moja hivi ya nje kwenye reaserch flani
Na nikafanya reaserch ya siri mimi nilitaka nione kama ni kweli wachaga wamesambaa Kila mahali na wanafanya vizuri kuliko watu wengine Nikakuta sio kweli
1. Kariakoo. Nilikuta wamekutana na upinzani mkali wamezidiwa na Wakinga
2. Tanga , Lushoto na Handeni ...ni mchanganyiko Kila mtu anapambana
Kama lushoto wenyeji wako moto sana ndio wakulima wakubwa wa Matunda na mboga mboga na wasafirishaji pia.
3. Handeni ..Mchanganyiko kidogo ila nimeona mchaga mmoja ni Mama mwenye duka kubwa la agrovet ndio aliyechangamka pale wengine ni Mchanganyiko
3. Lindi. Kondeboys wanafanya vizuri na wabena ingawa huu mji nao sijakuelewa vizuri
Pamepoa sana.
4.Masasi. Pako vizuri sana. Wafanyabiasha wakubwa hapa ni wabena na Wakinga na Kondeboys kidogo wanajitahidi.
5. Mtwara yote hii Wakinga / Wabena
6. SONGEA. Wakinga/ wabena
Labda huyu mwenye La chazz night club
Sijamjua Challes Hilary ni kabila gani
7. Njombe. Wenyeji wako very active Wakinga / Wabena
Mahotel mazuri, lodges nzuri wanatawala vizuri
8. Makambako . Wahehe/ Wakinga
9. Iringa. Vile vile ila niliingia kwenye bar moja ya mchaga inafanya vizuri
10.Mafinga. Wakinga. Na ndio Fredy vunja bei amekita mzizi kama home na kuweka Chachu kwa vijana wengi
11. Mbeya . Changanyikeni wachaga wapo, wanyakyusa wapo wahehe , wabena, Kila mtu yupo huko
12. Tunduma. Wakinga / Wabena na Mchanganyiko
13. Sumbawanga. Hakuna bingwa biashara kubwa zimeshikwa na waarabu wa Tawakall
Hawa wenye Dew Drop Kampuni ya maji
14. Mpanda. Pamechangamka sana ila hakuna bingwa Kila mtu anagusa kidogo kidogo maendeleo yanakuja
15. Tabora. Mji mkongwe ....sijaona chochote kilichonivutia
16. Nzega. Lodge nyingi tu ..Na vijana wengi kutoka singida wanyaturu na wanyiramba ndio wapambanaji hapa
17. Kahama. Hapa ni amazing. Kila kabila lipo na Kila mchunguli fursa.
Nililala submarine hotel nikafeel kama Niko Arusha uchumi ni kunyang'anyana hakuja shujaa
18.Singida. Wachaga wamevamia kidogo kwa Kasi hata manyoni hapo wapo Nililala Narumu hotel ni ya mchaga
19.Dodoma.
Ngoma droo Kila mtu anazama pango jipya
20.Moro. Changanyikeni
Wacha nipumzuke kidogo nitarudi tumalizie ziwani.
Uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo, pamoja na ushabiki maandazi tu, kila ethnic group lina unique identities zake na kamwe haziwezi kufanana na hata kulingana.Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima.
Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa), wapare, n.k.
Kwa sasa hali imebadilika kabisa kwa mapinduzi anayofanga mkinga kwa sulaha yake kuu ya kuuza kwa bei ndogo, yani kwenye swala la bei kwa mkinga uta enjoy sana, faida anayotaka yeye huwa ni ndogo tu wala si kubwa, hata awe peke yake anaeiuza bidhaa, na hili limefanikiwa zaidi kwa wakinga wengi ndugu zao kujazana mji wa Guangzhou huko China na kwa sasa wana meli zao kabisa za kusafirisha mizigo na wana umoja wa kusaidiana.
siri nyingine wanajali sana wateja wao, kila mteja wanamjali.
Kwenye matumizi ya fedha hapa nadhani hawama mpinzani, mkinga anaishi simple sana
Nilifika hapo sokoni tu...sikuona jipya sana ni wenyeji zaidiVipi korogwe haukufika
Na bado.Idiot comment
Pale Kkoo wako sehemu gani?
Cha ajabu wakinga wamekimbia kwao njombe na watu wengine wameenda kupiga pesa kwao kuna hadi wanaigeria wanafanya biashara njombe na wanatengeneza pesa
Kuna kitu umesahau, watu ambao wameendelea pia wapo tayari to explore other ventures, hayo makabila walisomesha watoto, haya mambo ya retail & wholesale trading watu wanayakimbia kwa sababu kila mtu kafunguka sa hivi hata wewe kumbe unaweza ukaagiza bidhaa zako very cheap huko asia na kusukuma hapa mjini na ukatajirikaHao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima.
Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa), wapare, n.k.
Kwa sasa hali imebadilika kabisa kwa mapinduzi anayofanga mkinga kwa sulaha yake kuu ya kuuza kwa bei ndogo, yani kwenye swala la bei kwa mkinga uta enjoy sana, faida anayotaka yeye huwa ni ndogo tu wala si kubwa, hata awe peke yake anaeiuza bidhaa, na hili limefanikiwa zaidi kwa wakinga wengi ndugu zao kujazana mji wa Guangzhou huko China na kwa sasa wana meli zao kabisa za kusafirisha mizigo na wana umoja wa kusaidiana.
siri nyingine wanajali sana wateja wao, kila mteja wanamjali.
Kwenye matumizi ya fedha hapa nadhani hawama mpinzani, mkinga anaishi simple sana
Mkinga kwao Njombe. Iringa ni ya Wahehe. Lwe mwakwifwanya mwivahehe nye valya makangasa mun'y au basiNjombe na Iringa