Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

Mkuu endelea kumwaga nondo, tuoneshe njia tukazurule huko ulimwenguni, tumewashtukia hao wanataka waende wao kila siku... Au ndio imeishia hapo?
huu uzi ulikuwa mzuri sana tatizo wafia dini wamekuja kuuvuruga😕
 
Dah Asante mkuu

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Venus Star mbona umeutelekeza uzi wako? Hebu umalizie kuna kitu najifunza hapa[emoji120][emoji120]
 
Naomba kujuzwa, Kiasi cha asali na sukari kwa kikombe kimoja
 
Umesema Utaweza Kuzungumza na Waliokufa...Sasa mbona Maandiko yanasema hakuana ushirika Kati ya walio hai na Wafu....
Na Ni Jambo gani hasa unazungumza na Wafu...?
Hapo hapo, ukishtuka jua hiyo ndio salama yako. Mimi ninavyojua waganga wa kienyeji au upande ule watakuambia inawezekana, jini pia linaweza kujifanya ni babu wa babu yako likaongea. Baba wa uongo ni shetani.
 
[emoji106]
 
Ubarikiwe sana kwa mafundisho haya, wengi huwa tunakurupuka kufunga pasipo kufanya maandalizi kiroho, kuna jambo hapo ningeomba ufafanuzi wa kina naweza kuku Pm
 
Mwambie huyo mshika Mistari Michache Ya Biblia Nakutaka kutupotosha.Mungu Pia Aliweka Roho Yakikatili Kwa Farao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…