Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Asante kwa maelezo mazuriPole sana ndugu yangu.
Kuna maradhi ambayo chanzo chake ni ulimwengu wa roho tiba yake ni kutoka ulimwengu wa roho. Yapo mengine yatokanayo na saikolojia tiba yake ni vivyo hivyo kisaikolojia.
Lakini yapo yanayotokana na ulimwengu wa mwili, tiba yake ni kwenda hospital na kupata matibabu.
Kuna aina mbili kuu za mdoto:-
1. Ndoto inayotokana na jambo unaloliwaza mara kwa mara.
2. Ujumbe kutoka ulimwengu wa roho.
Ushauri wangu:-
Kwanza ninatakiwa kujua chanzo cha tatizo lako. Hatua hizo tunaita DELIVERANCE. Nikishafahamu chanzo cha tatizo, nijua kama ni la kiroho au la kimwili. Kama ni tatizo la kimwili utaombewa sana na halitaweza kutatulika ni muhimu kwenda hospital kwa uchunguzi wa kitabibu.
Kama ni la kiroho, hatua za kufanya DELIVERANCE zitasaidia. Na utapona hakika.
Mpaka sasa sijajua ni La kiroho ama La kimwili.kote kote holla.
Sio hospital sio maombezi