Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

Mkuu, Mungu ana_operate kwenye ulimwengu wa kiroho na miungu pia ni hivyo hivyo. Kwahiyo itategemea dhamira/nia yako ipi. Na ndio maana mwenye uzi ameweka wazi kuwa mmoja anaweza kutumia hizo nguvu kwa nia ovu na mwingine akazitumia kwa nia njema.

2 Wakorintho 6:14 NEN​

Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?
 
Kutokana na Luka 16:18-31
Hakuna uwezekano wa mawasiliano kati ya wafu na watu walio hai...
Mtu akiwa hai anakuwa na uhuru wa kuchagua pa kwenda, ila akifa, habari yake imeisha, anaenda aliko chagua,... hakuna namna hata kwa maombi ya kumsaidia au kumuhamisha tena.
........26 Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu......
2kor 12:1-3
Paul anaongelea mtu alinyakuliwa mpaka mbingu ya tatu.

Unaweza kuelezea hiyo mistari!?
_________________________________
2 Namjua mtu mmoja katika Kristo, yapata sasa miaka kumi na minne, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua). Mtu huyo alinyakuliwa juu mpaka mbingu ya tatu.
2 Wakorintho 12:2

3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua);
2 Wakorintho 12:3
___________________________________
 
SAULI ALIENDA KWA MCHAWI NDIO AKAPANDISHIWA HUO MZIMU WA SAMWELI, USITUMIE MAANDIKO KU PROVE UMIZIMU
Sasa mzee unasema watu waliokufa hatuwezi kuwasiliana nao. Je, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.

Hapa tunaongelea experience na uhalisia dhidi ya dogmas. Wewe unazoongea hapa ni dogma kutaka kulazimisha kile ulichokalili kuwa ni ukweli

Mzee hujui kuwa Mungu ndiye akiweka roho mbaya kwa Sauli!?
Kwanini Mungu amuwekee roho mbaya sauli!? Maswali ni mengi mno.
Ukitaka tuweze kuchambua biblia, utajikuta unakasilika tu bila sababu mwenzangu.
 
je! wafu hawawezi kuwasiliana na walio hai, na je! hawajui mambo ambayo walio hai wanayafanya?​

“Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, wala kuamshwa usingizini.” “Wanawe hufkilia heshima, wala yeye hajui; kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.” Ayu. 14:12,21. “Wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.” Mhu. 9:6.

Wafu hawawezi kuwasiliana na walio hai. Wamekufa. Mawazo yao yamepotea (Zab. 146:4).
 
e, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.
mzimu ni roho chafu, shetani huchukua sura hata za waliokufa, je hili hujui ndugu...

2 Kor 11:14 SUV​

Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.

Wakati wa Musa, Mungu aliamuru watu wanaofundisha kuwa wafu wako hai wafanywe nini?​

“Tena mtu mume au mtu mke aliye na pepo, au aliye mchawi, hakika atauawa; watawapiga kwa mawe.” Law. 20:27.

Mungu alisisitiza kuwa wachawi na wengine waliokuwa na pepo (waliodai kuwa wanaweza kuwasiliana na waliokufa) ni lazima wauawe.

KWA MUJIBU WA MAANDIKO HUYO MCHAWI ALIYELET AMZIMU WA SAMWELI ALITAKIWA AUWAWE

Shetani na malaika zake watawadanganya mabilioni ya watu kwa kuja kama wapendwa waliomcha Mungu waliokufa, wachungaji wacha Mungu ambao sasa wamekufa, manabii wa Biblia, au hata mitume au wanafunzi wa Kristo (2 Kor. 11:13-15). Wanaweza pia kuja kama watu maarufu waliokufa kama wafalme na Maraisi. Wale wanaosadiki kwamba wafu wako hai, katika umbile lo lote lile, kwa hakika watadanganyika kabisa.
 
Sasa mzee unasema watu waliokufa hatuwezi kuwasiliana nao. Je, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.

Je, mashetani hufanya kweli miujiza?​

“Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara” Ufu. 16:14. “Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.” Mt. 24:24.

Ndiyo, mashetani hufanya miujiza ya kuaminika ajabu! (Ufu.13:13,14). Shetani na malaika zake hujigeuza kuwa malaika wa nuru (2 Kor. 11:14), na, mbaya zaidi, hujigeuza kuwa Kristo mwenyewe (Mt. 24:23,24).
 
Sasa mzee unasema watu waliokufa hatuwezi kuwasiliana nao. Je, huo mzimu ni kitu gani!? Mzee usitafsiri biblia unavyotaka wewe mwenyewe.

Hapa tunaongelea experience na uhalisia dhidi ya dogmas. Wewe unazoongea hapa ni dogma kutaka kulazimisha kile ulichokalili kuwa ni ukweli

Ni kwa nini Shetani alisema uongo kuhusu kifo? Je, inawezekana kuna sababu ya muhimu kuliko wengi wanavyofkiri?​

Ni moja kati ya mafundisho ya msingi ya ufalme wa Ibilisi. Amekuwa akifanya miujiza katika vizazi vyote kwa kutumia watu wanaodai kuwa wanapata uwezo wao toka kwa roho za waliokufa (k.m. Wachawi wa Misri – Kut. 7:11; Mwanamke wa Endori – 1 Sam.28:3-25; Wachawi – Dan.2:2; Kijakazi mwenye pepo wa uaguzi – Mdo. 16:16-18).

Onyo Muhimu
Katika siku za mwisho Shetani atatumia tena uchawi – kama alivyofanya wakati wa Danieli – kudanganya ulimwengu (Ufu. 18:23). Uchawi ni wakala wa miujiza unaodai kuwa unapata nguvu na hekima toka kwa roho za waliokufa.
 
je! wafu hawawezi kuwasiliana na walio hai, na je! hawajui mambo ambayo walio hai wanayafanya?​

“Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, wala kuamshwa usingizini.” “Wanawe hufkilia heshima, wala yeye hajui; kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.” Ayu. 14:12,21. “Wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.” Mhu. 9:6.

Wafu hawawezi kuwasiliana na walio hai. Wamekufa. Mawazo yao yamepotea (Zab. 146:4).
Mzee kubali kuamka kutoka kwenye usingizi.
Nikuulize swali dogo tu. Ni nani aliyewaumba roho wasafi na roho wachafu!?
 
roho wa MUNGU akiondoka anayekaa ni roho mchafu, MUNGU akikuacha anakuwa ameruhusu ukaliwe na roho chafu, hauwezi kukaa bila roho wa Mungu AU Washetani...

kasome tafsiri mbali mbali utaelewa maana ya MUNGU kukuwekea roho mbaya, ni pale anakuacha
Hii imani yako mzee. Hongera
IMANI NI HISIA.
Je unaweza kutumia hata kidogo akili ukaunganisha na hisia!?

Hata hivyo soma biblia usilete mabishano ambayo hayamo kwenye biblia.

Soma biblia Ligth and Dark are there to compliment siyo kushindana

Kutoka 14:8

Na Bwana akaufanya moyo wake Farao mfalme wa Misri kuwa mgumu, naye akawafuata wana wa Israeli; kwa sababu wana wa Israeli walitoka kwa ujeuri.
 
Ni kwa nini Shetani alisema uongo kuhusu kifo? Je, inawezekana kuna sababu ya muhimu kuliko wengi wanavyofkiri?​

Ni moja kati ya mafundisho ya msingi ya ufalme wa Ibilisi. Amekuwa akifanya miujiza katika vizazi vyote kwa kutumia watu wanaodai kuwa wanapata uwezo wao toka kwa roho za waliokufa (k.m. Wachawi wa Misri – Kut. 7:11; Mwanamke wa Endori – 1 Sam.28:3-25; Wachawi – Dan.2:2; Kijakazi mwenye pepo wa uaguzi – Mdo. 16:16-18).

Onyo Muhimu
Katika siku za mwisho Shetani atatumia tena uchawi – kama alivyofanya wakati wa Danieli – kudanganya ulimwengu (Ufu. 18:23). Uchawi ni wakala wa miujiza unaodai kuwa unapata nguvu na hekima toka kwa roho za waliokufa.
Hakuna huku haitatokea. Nakuhakikishia hilo. Energy anazotumia mchawi na anazotumia mchunga source yake ni ile ile tu.

Kitabu cha ufunuo ni moja ya Apocalyptic literature kwa sasa zipo movie zinazofanana na kitabu hicho.

Kama unaamini hicho mzee sikupangii but niache na mimi na uhuru wangu.

THANK YOU.
 
KAMA KUNA MTU ANALO SWALI KUHUSU TOPIC HII AULIZE
Asante mkuu Venus Star kwa mada yako nzuri, Hakika nimejifunza kitu kipya kuhusu mambo ya kiroho.
Swali langu, ni Je, na yule aliyefungua Jicho la tatu kwanjia ya kufanya yoga na meditation ana haja ya kufanya haya yote? ili aweze kuoparet kwenye ulimwengu huo wa roho au yeye hata asipofanya hayo maelekezo uliyofundisha hapa anajitosheleza?
 
Wew sijui nikuite mtumishi ama nani, em tafakari kabla hujawaletea hawa izo mbinu zako za kiroho kama zina madhara ama la!.

Huwez kuingia huko kiholela namna hiyo, or otherwise uingie kupitia mind tricks kama vile Third eye opening, meditation and astral projection, accidentally unapokuwa umelala, vinginevyo haiwezekani acha kuwalisha watu watango pori
Mind tricks yenyewe haina madhara? Kama meditation na kufungua Third eye
 
Mzee kubali kuamka kutoka kwenye usingizi.
Nikuulize swali dogo tu. Ni nani aliyewaumba roho wasafi na roho wachafu!?

Ufu 12:7-10 SUV​

Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake; nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku.
 
Hii imani yako mzee. Hongera
IMANI NI HISIA.
Je unaweza kutumia hata kidogo akili ukaunganisha na hisia!?

Hata hivyo soma biblia usilete mabishano ambayo hayamo kwenye biblia.

Soma biblia Ligth and Dark are there to compliment siyo kushindana
WAFU HAWASOMI STATUS KWA WHATSAP WALA INSTAGRAM.....

...endeleeni kuwaandikia BARUA WAFU WENU MAANA WANAZISOMA NA WANAUONA UPENDO WENU HAKIKA....

Isaya:8.19 inasema,
"Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong'ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?"
 
Energy anazotumia mchawi na anazotumia mchunga source yake ni ile ile tu.
Isaya:8.19 inasema,

"Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong'ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?"

WATU WALIOKUFA HAWANA SMARTPHONE haha hahaha hahahah

🔥ETI MAREHEMU KANITOKEA AKANAMBIA KESHO NISIENDE SHULE.... NENDA KAUZE MITUMBA WEWE haha haha hahah

........kuna mtu alimwandikia mpendwa wake aliyekufa BARUA YA KUMUELEZEA HALI YA KISIASA YA TANZANIA haha hahaha hahaha

📚IN JESUS NAME, BE FREE INDEED. USIKUBALI KUTUMIKISHWA NA WAFU NA MAFUNDISHO YA MASHETANI.

-SHETANI HUTUMIA SURA ZA WATU TUNAOWAPENDA WALIOKUFA NA KUJA KUTUTABIRIA MAMBO AMBAYO NI YA KWELI KWA LENGO LA KUTUCHOTA AKILI ZETU ILI TUWAAMINI WAFU MPAKA KUWAFANYIA IBADA.

"SHETANI ALIPOMFUATA EVA HAKUMDANGANYA, ALIMWAMBIA UKWELI NUSU NA UONGO NUSU."

HAKUNA USHIRIKA KATI YA WAFU NA WALIO HAI, BE VERY CAREFUL. I DONT CARE NI KANISA LAKO LIMEKWAMBIA KUWA NI SAWA AU NI BABA, AU NI MTUME NA NABII AU NI NANI SIJUI. HAWEZI KUSHINDANA NA NENO LA MUNGU. HAWEZI KUSEMA ANACHOSEMA YEYE KWA MAFUNDISHO YA MASHETANI NI CHA KWELI KULIKO NENO LA MUNGU.

KWANI UTAPUNGUKIWA NINI UKIMWABUDU MUNGU WA KWELI NA WA PEKEE? MPAKA UKAZANE NA WAFU? JEHOVA IS NOT ENOUGH FOR YOU? WHY DO YOU STILL NEED AN ATTACHMENT SPIRIT? KWA JINA LA YESU.
 
Back
Top Bottom