Nasema kwamba dar es salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli
Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji
Laki moja kijijini ni hela ambayo inaweza kukupa manufaa makubwa.
Fanya hivi
Panda gari kutoka dar mpaka sumbawanga mjini, lala gesti ahsubui panda gari lolote kwenda Kijiji Chochote Cha mbali,
Ukifika mwambie bodaboda nataka kuongea na wewe mnunulie supu mwambie akupeleke kwa mganga wa kweli utampa nauli mara mbili.
Mpaka hapo itakuwa umepata connection ya mganga
Hakuna ndugu au rafiki atakuambia mganga aliempa mafanikio yake
Uzi tayari
Matusi ruksa ukinitukana nabouble