Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Ningekuwa na nia ya cha juu ningemfuata inbox direct, ila kuna vijana lukuki wanataka hizo mambo, ndo maana nimeamua kutoa code live bila chenga.. ๐๐๐Nimekuelewa mkuu.
Sasa mbona nimeona unagawa chimbo kwa mtoa uzi, ama kuna cha juu utapata kama mtu kati? ๐
. Nimetaja machimbo ila sijataja majina ya wataalam kwa sababu ya usalama wao..
. Kwa hiyo ukifika hilo eneo/ mkoa/ wilaya pamabana kumpata huyo mhusika
. Siyo huyo tu, kuna mwingine yupo mtwara hapo, ila uwe tayari kukatwa kidole.. ๐๐. Hii ni serous issue.