Siri: Njia rahisi ya kupata mganga wa kweli

Nasema kwamba dar es salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli

Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji
Laki moja kijijini ni hela ambayo inaweza kukupa manufaa makubwa.

Fanya hivi
Panda gari kutoka dar mpaka sumbawanga mjini, lala gesti ahsubui panda gari lolote kwenda Kijiji Chochote Cha mbali,

Ukifika mwambie bodaboda nataka kuongea na wewe mnunulie supu mwambie akupeleke kwa mganga wa kweli utampa nauli mara mbili.

Mpaka hapo itakuwa umepata connection ya mganga

Hakuna ndugu au rafiki atakuambia mganga aliempa mafanikio yake

Uzi tayari
Matusi ruksa ukinitukana nabouble
Huko mbeya au sumbawanga ambako hao waganga wakali wapo wamewazidi Nini watu wa sehemu nyingine?
 
Mganga aache kuwapa ndugu zake utajiri aje akupe wewe kwamba anakupenda sana?! Yeye mwenyewe life linampiga chenga adi anakuomba wewe umpelekee jogoo au mbuzi, sasa km ni rahisi ivyo si angefanya uganga wake tu umletee kila kitu daily awe anakula kuku na misosi ya kusaza?! Mleta mada atakua dalali wa waganga huko Sumbawanga🙂
UNAULIZIA KIJANJA😂😂
 
Nasema kwamba dar es salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli

Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji
Laki moja kijijini ni hela ambayo inaweza kukupa manufaa makubwa.

Fanya hivi
Panda gari kutoka dar mpaka sumbawanga mjini, lala gesti ahsubui panda gari lolote kwenda Kijiji Chochote Cha mbali,

Ukifika mwambie bodaboda nataka kuongea na wewe mnunulie supu mwambie akupeleke kwa mganga wa kweli utampa nauli mara mbili.

Mpaka hapo itakuwa umepata connection ya mganga

Hakuna ndugu au rafiki atakuambia mganga aliempa mafanikio yake

Uzi tayari
Matusi ruksa ukinitukana nabouble
Hili jamaa Lina akili basi tu linaogopa masharti ya mganga
 
Back
Top Bottom