- Thread starter
- #21
Ukweli mtupuHata hivyo hayajawakuta waache wajifany hamnazo, Ni juzi tu ndugu mmoja katoa ushuhuda kukuta mchungaji na mke wake wako wanaroga kanisani.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mtupuHata hivyo hayajawakuta waache wajifany hamnazo, Ni juzi tu ndugu mmoja katoa ushuhuda kukuta mchungaji na mke wake wako wanaroga kanisani.....
1. Nenda Mbeya - tukuyu - kyela - panda pantoni - Ziwa nyasa- mbamba bay... Huko ni uhakika ukifaulu mitihani yao. 🔥💣💣💣Mtaalamu inaonekana una exposer kubwa sana kuhusu haya mambo naomba kukuuliza mkoa gani ni the best kwa waganga wakali
Maajabu makubwa ya ushirikina! Wanaweza kukufanyia mchezo usipate pesa ila wasiweze kuiba Bank watajirike waohuyo mganga mwenye anaishi machakani huko yeye mafanikio hayataki?
ni ajabu sana, wanawezaje kumpa mtu utajiri na wao maisha yao pangu pakavu tia mchuziMaajabu makubwa ya ushirikina! Wanaweza kukufanyia mchezo usipate pesa ila wasiweze kuiba Bank watajirike wao
Wewe unaetumia akili Yako umefika wapi mpaka Leo? Kila mtu ana Imani zake ntaenda motoni kwa ushirikina wewe utakuja motoni kwa kusema uongo
Buhahahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣Mganga mimi!!!View attachment 3238128
Mkuu hii comment Yako naiscreenshot, naitoa lamination alafu naibandika gheto, ntakupa mrejesho kwakuwa nipo dar naanza na tanga1. Nenda Mbeya - tukuyu - kyela - panda pantoni - Ziwa nyasa- mbamba bay... Huko ni uhakika ukifaulu mitihani yao. 🔥💣💣💣
2. Nenda Tanga - handeni - Kwa msisi, kuna dingi hapo ni wa moto sana, ila mashart yake ni mgumu mnoo... 🥺 🥺.
Hizi codes mbili zinakutosha kwa Sasa.
Unajuwa kama pesa ushetani unahusika humo mkuuMaajabu makubwa ya ushirikina! Wanaweza kukufanyia mchezo usipate pesa ila wasiweze kuiba Bank watajirike wao
Kila rahel mkuu... 🤝🤝🤝.Mkuu hii comment Yako naiscreenshot, naitoa lamination alafu naibandika gheto, ntakupa mrejesho kwakuwa nipo dar naanza na tanga
Ni sawa ushetani uhusike hatukatai, mbona mganga hana nguvu ya kutajirika kama anavoweza kuwapa uwezo wengine watajirike?Unajuwa kama pesa ushetani unahusika humo mkuu
Mkuu badirika hata mwalimu wa biashara anafundisha masomo ya biashara hali ya kua yete hana biashara hata moja.Ni sawa ushetani uhusike hatukatai, mbona mganga hana nguvu ya kutajirika kama anavoweza kuwapa uwezo wengine watajirike?
. Ndiyo, kabila lingine kwenda kabila lingine inahitaji Mtaalam akuzoee, akuchimbe tabia zako( na hii huchukua mda kidogo usiopungua mwaka mmoja au miaka miwili, Sasa kama huna uvumilivu utajikuta ndani ya mwaka huo huo unatafuta mganga mpya 😁😁) ,
. Na mganga mpya tena atafanya hivyo hivyo kama yule wa mwanzo, so utajikuta wewe ni mtu wa kuzulula tu kila nyumba ya makuti..
. Mpaka Mtaalam akukabidhi mabomu ya kuvunja milima siyo rahisi kabisa,
. Mganga hatoi Pesa/utajiri,, wale ni madalali kama madalali wengine tu na ndo maana utawaona ni watu wa kawaida tu, hawana nyumba za maana, hawana gari, mda mwingine hata kununua viatu inakuwa ni issue, siyo kwamba hawawezi kumiliki hizo hela ila wanaziogopa( usiwaone wajinga, maagano na shetani ni hatari sana 😁😁) .Mkuu, kama yeye ni mganga wa kweli kwanini anizoee ndo aweze kuzijua tabia zangu? Kwanini asizijue kupitia darubini yake? Ama madude yake?
Kwahiyo mkuu unakubali kwenda motoni? Ujue kule ukiingia ndio imeisha hiyo huchomoki milele.Wewe unaetumia akili Yako umefika wapi mpaka Leo? Kila mtu ana Imani zake ntaenda motoni kwa ushirikina wewe utakuja motoni kwa kusema uongo
Nimekuelewa mkuu.. Mganga hatoi Pesa/utajiri,, wale ni madalali kama madalali wengine tu na ndo maana utawaona ni watu wa kawaida tu, hawana nyumba za maana, hawana gari, mda mwingine hata kununua viatu inakuwa ni issue, siyo kwamba hawawezi kumiliki hizo hela ila wanaziogopa( usiwaone wajinga, maagano na shetani ni hatari sana 😁😁) .
. Yeye kazi yake kuu ni kukuunganisha na mashetani kupitia lugha zao wanazotumia kuwasiliana nao mpaka wanaelewana, na ndo maana ukivunja mashart huwa hawana uwezo wa kurekebisha ulichokosea( pale unakuwa umekula kiapo na shetani ambaye hajawahi kumuonea huruma binadamu hata siku moja, .
. Madalali/waganga huwa wanangalia uthubutu na kifua Cha mtu kama kinaweza kuhifadhi jambo Fulani kwenye roho bila kuropoka kwa mtu yeyote yule ili siri zisitoke nje bila mipangilio.
. Hata wachawi wa mitaani ni hivyo hivyo, hawezi kukushirikisha jambo la kumiliki matunguli au kukuunga kwenye chama mpaka wakuchunguze kwa mda Fulani ili waangalie mienendo yako ya kutunza siri na mambo mengine.