Siri: Njia rahisi ya kupata mganga wa kweli

Nimekuelewa mkuu.
Sasa mbona nimeona unagawa chimbo kwa mtoa uzi, ama kuna cha juu utapata kama mtu kati? ๐Ÿ˜
Ningekuwa na nia ya cha juu ningemfuata inbox direct, ila kuna vijana lukuki wanataka hizo mambo, ndo maana nimeamua kutoa code live bila chenga.. ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

. Nimetaja machimbo ila sijataja majina ya wataalam kwa sababu ya usalama wao..

. Kwa hiyo ukifika hilo eneo/ mkoa/ wilaya pamabana kumpata huyo mhusika

. Siyo huyo tu, kuna mwingine yupo mtwara hapo, ila uwe tayari kukatwa kidole.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜. Hii ni serous issue.
 
Hii naipa 50/50๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜ถ
 

Nimekuelewa mkuu
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Uganga ni ujuzi, unaweza ukapata mganga mkweli ila hana ujuzi sana na sio kila mganga ana yuko vizuri kwenye kila kitu kwenye masuala ya uganga.
 
Maajabu makubwa ya ushirikina! Wanaweza kukufanyia mchezo usipate pesa ila wasiweze kuiba Bank watajirike wao
Mbona kuna chuma ulete wanaiba hela au wewe unataka waibe bank tu? Ila kuna pesa za majini
 
ni ajabu sana, wanawezaje kumpa mtu utajiri na wao maisha yao pangu pakavu tia mchuzi
Kwanza ujue mkuu waganga wengi sio kwamba walipenda kuwa waganga bali wengi wamelazimika kuwa waganga.
 
Kwa msisi anaitwa mzee nani,hana ghalama kubwa kweli,
 
Mi nataka niwe napata mademu qenye chura tu
 
Mkuu nielekeze huyo wa mtwara hata kwa PM, Kukatwa kidole sio tatizo,kidole anakikata kwa kutumia nini kwanza!?
 
Mkuu hii comment Yako naiscreenshot, naitoa lamination alafu naibandika gheto, ntakupa mrejesho kwakuwa nipo dar naanza na tanga
Twende wote๐Ÿ˜ƒ
 
Ni sawa ushetani uhusike hatukatai, mbona mganga hana nguvu ya kutajirika kama anavoweza kuwapa uwezo wengine watajirike?
Swali zuri sana hili. Kumbuka kila fani/kazi ina masharti na Utaratibu wake. (Wenyewe wanaita vigezo na masharti) mfano mzuri ni Hizi kampuni za e.g. YAS au wale wanaochezesha Tatu mzuka n.k. usishangae hao wachezeshaji wanagwa mamilioni ilhali wao kama wao hali ni tete. Ni waajiriwa tu -wanategemea mishahara tena ni midogo na haiwatoshelezi mahitaji.
 
Mganga aache kuwapa ndugu zake utajiri aje akupe wewe kwamba anakupenda sana?! Yeye mwenyewe life linampiga chenga adi anakuomba wewe umpelekee jogoo au mbuzi, sasa km ni rahisi ivyo si angefanya uganga wake tu umletee kila kitu daily awe anakula kuku na misosi ya kusaza?! Mleta mada atakua dalali wa waganga huko Sumbawanga๐Ÿ™‚
 
Mkuu kwa Msisi ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Sidhani kama ndo wa hivyo. Mm naona amethubutu/amehiari kutushirikisha uzoefu wake. Wapo watu wengi saana kwenye harakati hizo za kutumia waganga lakini ni wachache wanaokuwa huru na kukubali kuelezea wahangaikaji wenzao ktk magonjwa au kuisaka sent ni wapi na ni kwa jinsi gani walivyofanikiwa. Inakuwa ni siri sirini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ