Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

Papaa Muu
Hebu pitia comment kwenye mitandao ya kijamii habari inayomuhusu CAG asilimia zaidi ya 80 watu hawajapendezwa na hichi alichofanya Magufuli hadi wajinga wameamka kwa sasa Rais haaminiki kwa wananchi

This is very very true...!!!
Akili ya kawaid tu haikubaliani na hichi alichofanya Magufuli kwa CAG Prof. Assad. Kumwondoa CAG mwenye kiwango cha elimu ya u-Profesa na kumweka mtu ambaye hana hata Udaktari wa Mahesabu ya Uhasibu/Uchumi unategemea nini kama siyo janja-janja ya kutaka kuendelea kula fedha za walipa kodi wa Tanzania. Rais gani anayepanga Bajeti za mifukoni badala ya kutokana na Bajeti ya Bunge....???!!!Maswali ya kujiuliza ni Ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Ndege Chato na Mbuga ya Burigi vilikuwa kwenye Bajeti gani?Ununuzi wa Bombadier, Dreamliner na Airbus tena kwa Cash zilitengewa Fedha Bunge gani?

Rais anayeamka asubuhi na kuagiza Fedha ya Bajeti iliyotengwa kwa ajili ya Sherehe za Uhuru au chochote yeye anaagiza zikajenge barabara,,,,!!Rais anayetamka kumpa RC Makonda 1.5 B ya kujenga hospitali ya Wilaya ilhali kuna Wizara ya Afya iliyotengewa Bajeti ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha husika....Rais anayetembea na Maburungutu ya Noti akifika mahali anaanza kukagaa mamilioni kwa wahitaji kana kwamba hizo hela zinatoka mfukoni..!!How do you account for that monie? Je, hayo siyo matumizi mabaya ya Fedha na ukiukwaji wa matumizi ya Fedha kulingana na taratibu za kifedha? CAG kama Prof. Assad anapokuja kuhoji madudu kama haya anaambiwa anajifanya muhimili na anaingilia mihimili mingine...nonsense!!!
 
Papaa Muu
Hivi kuna uhusiano gani ya kuwa ccm na kuwa mjinga mjinga mbn watu wapo ccm alaf Wana akili zao lkn huyu mtoa posti ana matatizo ya akili chuki zake Kwa CAG anataka kutubebesha na Sisi
 
Kama sikosei mtoa Uzi ni mnywa maji ya bendera ya ccm
 
CCM mna ushikiriano sana..atleast basi muwe mna edit propaganda zenu ili tusiwashtukie
 
Sahihi kabisa, tumeona Rais Zuma ameondolewa kwa mambo hayahaya ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Na Leo hii Rais aliyepo anachunguzwa na kuhojiwa na sio watu binafsi wala chama chake wanaomtetea.
Hapa kwetu hata watu hawajui kiini cha tuhuma ni kutetea tuu utadhani huyo Rais ni Yesu!
Lakini ubaya haulipi, Leo nimefuatilia Assad akikabidhi ofisi naona yeye ndio ameibuka mshindi
 
Tatizo kubwa kwenye nchi kama yetu MTU akistaafu watu wanajiuliza ' Oh mbona alikuwa mzuri tu, mbona hana kasfa yoyote. Unaposema a person is exceptionally good, umemlinganisha na nani? Au kustaafu lazima use umefanya makosa?
 
Ukurusa namba ngapi ktk report ya CAG kahoji 1.5T?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…