Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa

Profesa asad aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG

Muda wake umeisha apumzike

Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
 
Kuifikia Kenya will cost about 300 years provided that Kenya will be costant on it's economic development and not otherwise..
Wanangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Nilichomuona Zitto kafanikiwa ni kuimeza CHADEMA mazima. Si twitter wala Jf siku inaweza pita bila kusikia issue za chadema ila zitto tu.
 
makes you wonder when someone attacks someone who questions embezzlement of that someones money..., maybe for lack of knowledge that the money is his through payment of taxes..., couldn't care less about his personality or motives, but at-least one should care the questions asked in so far as they are valid...
 
Kiongozi mjinga hujizunshia watu wajinga, washauri wajinga, watetezi wajinga nk.
 
Papaa Muu
 
Nilishangaa sana CAG alivyoenda Marekani na kuanza kuzungumzia home affairs. Lengolake haswa lilikuwa nini? Kwanini hakuyasema hayo akiwa ndani?
Muda ile interview inafanyika,aliyemfanyia ile interview alikua Somalia au alikua wapi?
 
Naunga mkojo hoja
 
Hizi siasa za Tanzania ya leo zinatia kichefuchefu. Mtu unajigamba kufanya maendeleo lukuki , lakini bado unahangaika kuchafua watu na kuwatisha......!
 
Kwa hiyo unamaanisha hakuna Tr 1.5 ambayo matumizi yake hayajajulikana mpaka leo?

Mkuu usitake watu wakuporomoshee matusi asubuh asubuh maana watu wanaugulia moyoni.
Huyohuyo Prof. Assad alikanusha wizi wa 1.5T wewe umepata wapi hiyo figure kama siyo Zitto aliisema kwa waandishi wa habari? Huyo Prof. Assad wakati wake umeshapita na akileta ujinga wa kisiasa atajuta!
 
Hizi siasa za Tanzania ya leo zinatia kichefuchefu. Mtu unajigamba kufanya maendeleo lukuki , lakini bado unahangaika kuchafua watu na kuwatisha......!
Mtanyooka tu nyinyi vuvuzela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…