Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Izo 1.5 T zimebaki propaganda mitandaoni lakini pale Bungeni walishindwa kuthibitisha, Zitto alitaka kujaribu kutumia ripoti ya CAG kumchafua JPM lakini alishindwa vibaya pale Bungeni. JPM yuko vizuri na mzarendo Halisi kutokea katika familia za kawaida kabisa.
Hao book 7 wanafikili wameshaiangusha Chadema sasa iliobaki tishio ni ACT ndo wanamuandama Zitto na akili za kutumikaHivi mbona issue nyingi sana anasingiziwa Zitto ndio yupo nyuma? Yaani Zitto ndio awe anaendesha ofisi ya CAG?
Yaani bora wangefuta vyama vingi kibakie CCM tu wafanye siasa wanavyotaka wao.Hao book 7 wanafikili wameshaiangusha Chadema sasa iliobaki tishio ni ACT ndo wanamuandama Zitto na akili za kutumika
Kwa hiyo unamaanisha hakuna Tr 1.5 ambayo matumizi yake hayajajulikana mpaka leo?
Mkuu usitake watu wakuporomoshee matusi asubuh asubuh maana watu wanaugulia moyoni.
Siku hizi mtu akisimama kwenye njia sahihi anaitwa mchochezi
Kwendraawhat do you think?