Siri nzito sakata la Okrah na Dejan ndani ya Simba

Mimi nililiona hili jambo mwanzo kabisa toka mzungu anaingia mechi ya kwanza.Kuna watu wametengeneza tabaka ndani ya timu kuhakikisha huyu mzungu hawiki ndani ya simba.Kuna wachezaji wanataka watajwe wao tu kila siku ila wasichojua kuwa mzungu ana nyota kali inayong'aa sana, hawawezi kuifunika na ngoja aje kocha anaejielewa uone kama mzungu atakaa benchi.

Kila kocha mwenye kujielewa lazima atataka awe na striker mrefu,mwenye nguvu, skills na shooting accuracy kubwa. Dejan ni complete package .

Simba ifanye mchakato ilete kocha mzungu.
 
Mtu anakosa goli za wazi hata mimi simpi pasi nikiwa na mpira
 
Hamuna lolote hapo!
Bingwa Simba!
 
Kwa mzungu hata mie mwanasimba simtetei hata sasa akitaka aondoke tyu!
 
Et hawa ndo wandishi wa habar wenye weledi..... Shaffih anaitumia Simba kupata viewers wengi but ngoma ngumu!
Et time will tell... time ya Nyoko!
 
Vitu vingine vinakuzwa kwakuwa tu watu akili zao wameshazi tune kujadili vitu vidogo vidogo! Kama wanandoa wanagombana ndani ya nyumba sembuse wachezaji?
 
Uko sahihi kuhusu uwezo wa Mzungu, ila hauko sahihi kuhusu kuja kocha mpya. Sababu hata akija kocha mpya still atampanga Mzungu na wale wale jamaa ambao ndio wanaombania.

Hapa solutions ni either uongozi wa Simba kuwapiga mkwara Wachezaji au kufumua kikosi ulete wengine kama hawa wana chuki. Otherwise Simba italazimika kuachana na Mzungu ili kuwaridhisha Wachezaji wengine waliobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…