joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hamna chochote bali ni kiki ya MO boxing sept 30 ,unaweka ukakuta mzungu na Okra wakapigana pambano la utangulizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nililiona hili jambo mwanzo kabisa toka mzungu anaingia mechi ya kwanza.Kuna watu wametengeneza tabaka ndani ya timu kuhakikisha huyu mzungu hawiki ndani ya simba.Kuna wachezaji wanataka watajwe wao tu kila siku ila wasichojua kuwa mzungu ana nyota kali inayong'aa sana, hawawezi kuifunika na ngoja aje kocha anaejielewa uone kama mzungu atakaa benchi.Yes inawezekana ikawa hivyo, lakini pia uenda kuna matabaka ndan ya timu unajua mzungu kulalamika sio mara moja kuna mechi moja hiv yeye na peter banda ten mzungu alilalamika na hapo kisa ni pasi akupewa inawezekana kuna ka hali cha kumtenga mzungu hapo 🙆🏻♂️
Kama alivyogeuka zidane mwaka ule kwa materaziOkrah itakuwa kuna neno alitamka
Zidane alimtandika kabisa.Kama alivyogeuka zidane mwaka ule kwa materazi
Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani vipi ya nyuma ya camera?? Iko sawa?
Matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi sana, matokeo ya mpira wa miguu moja wapo ni harmony na upendo baina ya wachezaji, hii haina picha nzuri tena kwenye mchezo tu wa kirafiki.
Time will tell.
Aende tu!Kuna kila dalili ya Mzungu kuondoka kwenye dirisha dogo la January kwa makubaliano ya pande mbili. Uwezekano wa kuendelea kubaki Simba ni 0%.
Na sababu ziko wazi kabisa.
Kwa mzungu hata mie mwanasimba simtetei hata sasa akitaka aondoke tyu!Mimi nililiona hili jambo mwanzo kabisa toka mzungu anaingia mechi ya kwanza.Kuna watu wametengeneza tabaka ndani ya timu kuhakikisha huyu mzungu hawiki ndani ya simba.Kuna wachezaji wanataka watajwe wao tu kila siku ila wasichojua kuwa mzungu ana nyota kali inayong'aa sana, hawawezi kuifunika na ngoja aje kocha anaejielewa uone kama mzungu atakaa benchi.
Kila kocha mwenye kujielewa lazima atataka awe na striker mrefu,mwenye nguvu, skills na shooting accuracy kubwa. Dejan ni complete package .
Simba ifanye mchakato ilete kocha mzungu.
Anaandika Shaffi Dauda
Simba kuna vitu havipo sawa, lakini ni zile zile stori za kuvalishana suti kwenye vumbi au kuifunga Bugati injini ya bajaj ila haibadili kuwa kuna mengi hayapo sawa.
Tazama vyema hii clip, tazama namna Dejan na Okrah walivyotoshana nguvu, haya tunayaona sisi uwanjani vipi ya nyuma ya camera?? Iko sawa?
Matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi sana, matokeo ya mpira wa miguu moja wapo ni harmony na upendo baina ya wachezaji, hii haina picha nzuri tena kwenye mchezo tu wa kirafiki.
Time will tell.
Kupishana kauli kupo popoteNa mashabiki wa simba wameshakata tamaa na Mdhungu ndiyo maana wanaona sawa tu apewe kipigo cha mbwa koko [emoji3]
Sio poa mnavyomuingia maungoni mzungu wa watu kisa amewazidi umaarufuMnayakuza tu! bongo uchochezi mwingi hakuna jambo zito la kufanya watu mfuatilie hadi mkose usingizi...
Yes kama manara na karia walivyopishana kauli mishipa ya shingo ikawasimama mashabiki wa simba kweri-kweri.Kupishana kauli kupo popote
Walipigana tena changing room wakaamuliwa 😀Sijaona tatizo hapo kama inavyoshupaliwa ,nikajua watu wamepeana "MAJEBU" ya MCHOMOKO.
Shafii mpuuzi tu, tulishuhudia Mane anammaind Salah hadharani na hakuna kilichotokeaEt hawa ndo wandishi wa habar wenye weledi..... Shaffih anaitumia Simba kupata viewers wengi but ngoma ngumu!
Et time will tell... time ya Nyoko!
Penye wengi kuna mengiYes kama manara na karia walivyopishana kauli mishipa ya shingo ikawasimama mashabiki wa simba kweri-kweri.
Tuseme ukweli tu wachezaji wa simba wameanza kumnyima mzungu ushirikiano kwasababu hawaoni matokeo ya maana kutoka kwake.
Ni kweli kabisaPenye wengi kuna mengi
Uko sahihi kuhusu uwezo wa Mzungu, ila hauko sahihi kuhusu kuja kocha mpya. Sababu hata akija kocha mpya still atampanga Mzungu na wale wale jamaa ambao ndio wanaombania.Mimi nililiona hili jambo mwanzo kabisa toka mzungu anaingia mechi ya kwanza.Kuna watu wametengeneza tabaka ndani ya timu kuhakikisha huyu mzungu hawiki ndani ya simba.Kuna wachezaji wanataka watajwe wao tu kila siku ila wasichojua kuwa mzungu ana nyota kali inayong'aa sana, hawawezi kuifunika na ngoja aje kocha anaejielewa uone kama mzungu atakaa benchi.
Kila kocha mwenye kujielewa lazima atataka awe na striker mrefu,mwenye nguvu, skills na shooting accuracy kubwa. Dejan ni complete package .
Simba ifanye mchakato ilete kocha mzungu.