Tetesi: Siri nzito yafichuka kubadili katiba ya CCM habari kamili hii hapa

Ya ccm wewe yanakuhusu nini!!
Mbona Chagadema walibadili katiba wakatoa ukomo wa Mbowe!!
Katiba ya zamani ilitoa haki ya mwanachama kwenda mahakamani
kwanini Mr. ZeRO aliondoa !!
ati Mr ZeRO? mwache David Albert Bashite akapumzike sauzi.
 
Miongoni mwa Mabadiliko ya katiba ya ccm nipamoja na Mchakato wa kumpata mgombea Urais Kufanyika kila baada ya miaka 10,
Hivi unafahamu mchakato wa kubadilisha katiba ya nchi???? Kabla ya kuandika kitu chochote fanya kautafiti japo kidogo.
 
Kwa hiyo? Mbona kama mleta mada kama vile anaota mchana
 
wacha kuwatukana wakazi wa dar maana David Albert Bashite ni ZERO.
 
matumaini yangu kwa Chama cha Democrasia na Maendeleo yaliishia pale ambapo kiliamua kuahcana na demokrasia ya kubadilishana uongozi na kuamua kuwa chenye Mwenyeekiti wa Maisha ambaye iwapo angepata Urais kipindi anagombea na ukizingatia mchakato wa Katiba ulikuwa umepamba moto, basi ni wazi kuwa kipengele kimoja wapo kingebadilishwa na kumfanya kuwa rais wa maisha. Sema haya mambo ya kufa na tai au collective responibility yanakulazimisha mtu uwe mnafiki. Dah tumshukuru Mungu wakati mwingine ana makusudi yake na hii nchi. Any way upofu sio wa macho tu a=hata ufahamu ni upofu pia.
 
Kwani Mbowe atakuwa mwenyekiti CHADEMA mpaka lini??
 
•JAMBO LA NAMNA HII,NI DHAMBI NI JAMBO LISILOFAA KATU NA HALIKUBALIKI KAMWE.....
 
Aisee kumbe sizonje anataka kuwa dikteta mpaka ndani ya chama, mwafaaaa ccm
Sema twafaa tz sio mwafaaccm kwasababu wanaharakati wa ccm wangeweza kumpumzisha 2020 lakini kwa badiliko hilo automatically ni hadi 2025. Sasa si unajua akishapita kule huku kwingine ni goli la mkono tu ili aendelee kuinyoosha tz hadi 2025. Kwa hiyo sema twaafaa!
 
SASA HAPO KUNA SIRI GANI NA WEWE UMEIJUA? KAMA UMEKURUPUKA HIVI!!!! HAYO NI YA CCM LETE YA KWAKO LABDA TUJADILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…