Watu ni ma criminal hadi ndotoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ( natania Mkuu)Mimi nimeota mtoto mdogo wa darasa la saba amekuja chumbani kwangu katika kupiga piga story yule mtoto akanionesha dalili ya mwanamke ambaye ananitaka.sasa mi nipo napiga nae story huku najiuliza huyu mtoto vipi?mbona anataka mambo ya kikubwa na wakati yeye ni mtoto?sasa wakati tunaagana akanikumbatia ni kunipa denda na mimi nikajikuta nimempokea kiushirikiano ile napeleka mkono kifuani mtoto anayo matiti kabisa yaani anaonekana ni mtoto ambaye tayari alishapevuka.nikasema potelea ya mbali wacha nimgegede maana hili ni zali ila naanza kumsaura nguo nikashtuka.nipe tafsiri mkubwa
Tuambie basi jibu lilikuja vipi?Mimi naamini kwamba kila mtu na tafsiri yake katika ndoto, kuna ndoto iliwai kunisumbua miaka karibu mi3 au mi4 nilikua naota nakimbizwa na wanajeshi yani hii ndoto nikiiota mfano leo haimalizi cku3 inajirudia lkn katika cku zote izo hawakuwai kunikamata mara nyingi sana nawaacha kwa mbio kuna mda najificha wanapita! Mwanzo nilichukulia mzaa ila kadri cku zilivyozidi kwenda hii ndoto ilinikomalia vibaya sana nikaanza kwenda kwa waganga wapiga ramli tena wale maarufu kbsa katika mkoa niliokuepo kwa nyakati tofauti tofauti hkna hata1 alieweza kunipa tafsiri ya ndoto ile walikua wakipiga ramli mwingine ananiambia hivi mwingine vile! Mwingine aliniagiza hadi kondoo nitapeleka lkn ckupata ufumbuzi wa ile ndoto na ndoto yenyewe nayo haikukoma, Nilijaribu kuwaeleza wazee pia wa makamo bado pia ckupata jibu kamili, kumbe ndugu zangu Ni kweli Mungu anaweza kukuletea ujumbe kupitia ndoto nilikuja kugundua baadae sana maana ya ile ndoto tena ckwenda hta kwa waganga! Niliondoka2 ule mkoa (kuhama kbsa) jibu lilikuja lenyewe naomba niishie hpo
Hii pia nimewahi kuiota mara kadhaa. Kwangu hizo risasi hua zinanipata ila sifi, najificha ila wananipata bado.Kuna kipindi hii ndoto ya kupigwa risasi inajirudiaga japo huwa sifi cjui tafsiri yake nn
Noma sana!Hujakosea mkuu ila hujaenda ndani zaidi ,pia inatakiwa ujue kwa nini tunaota ,ni hivi ndoto unazozikumbuka ni asilimia ndogo sana ya ndoto unazoota yaani hazifiki hata 1% ,ni kwamba asilimia 100% ya usingizi hutengenezwa na ndoto.Bila ndoto ubongo utakufa au kuzima hivyo ndoto ni chakula cha ubongo wakati umelala,sasa tuje kwenye ndoto ambazo huleta matokeo,ni hivi ukiona umekumbuka ndoto au umekumbuka uliota ujue kuna signal imenaswa kwenye ulimwengu wa roho kama tahadhari au saa nyingine mwili unatoa signal kwenye ubongo mfano mkojo kujaa kwenye kibofu,kulala vibaya,hizi signal usipozijua inakua tabu zaidi au maradufu unapokumbwa na lile tatizo . ingekua ndoto ni kitu simple kama unavyowaza basi mitume na manabii na vitabu vyote vitakatifu vinatudanganya,haya maisha usiyoyajua ni kwamba yanaendeshwa kwa mahesabu ,hakuna ambalo litakutokea ambalo halikupigiwa mahesabu ,hivyo kwa neema ya Mungu tunanasa mawimbi ya yale yatakayotupata au kutokea mbelen kupitia ndoto ,kama uko advanced unafunuliwa wazi wazi na Mungu,ila sisi wadhambi tunaonyeshwa kupitia ndoto,ni hivi huwezi kuota kitu usichokijua ,au hali usiyoijua material zote zinazotumika kwenye ndoto zinatokana na yale uliyonayo akilini.Mkuu jiongeze acha hulka za kizamani au uzungu mtafute Mungu maadamu uko hai na nguvu iko nyakati utapitia ambazo hutakaa udhanie kama ungekuja kupitia.
Same here!!Hiyo namba 3,naota sana aisee kama ni kweli basi I'm kushney
Mapambano yanaendelea. Mungu ni kiongozi mwaminifu ambaye humpa atakaye kwa wakati sahihiTafsiri ya madini ni thamani na nyoka huwa ni adui hivyo kuokota madini nikupata thamani au kibali mbele ya watesi wako ambao hawali walikuchukulia ndivyo sivyo na pia ni ishara ya mambo yako kukunyookea au kufanikiwa.
Kujirudia kwa ndoto inamaana hujaelewa unachoambiwa pia Mungu anakwambia kuwa hilo jambo usiposhughurika nalo litatokea. Mwanzo 41:32Asante kwa hili neno kuna ndoto hujirudia nimesali wee nothing is changing had nimechoka sasa loh
Niliota nipo shule Kama mwanafunzi na boyfriend wangu ni Kati ya walimu wanaosahihisha mitihani.
Wakati wa usiku kulala wenzangu wote wapo mabwenini, Mimi nikawa nimewekewa godoro nje nilale na yule boyfriend.
Kelele za wenzangu zisema nje ni hatari Kuna wadudu na wanyama, ingia ndani huku boyfriend ananishawishi tulale usiku umeingia then nikashtuka, mpaka leo sijaelewa maana ya hii ndoto.
jibu: Ufunuo 22:14-15. Unaambiwa upo nje ya mti wa uzima. Hamanishi haupo kanisani lakini upo nje ya Kristo. Muangalie sana huyo anayepanda pengu ya kiroho. Nani anayekulisha neno? Tatizo lipo hapo ndiyo maana wenzako wankwambia huko nje ni hatari. Hawawezi kukwambia upo nje wakati upo ndani.
1. Gari ni usafiri wa kukutoa mahali pamoja kwenda mahali pengine. Jambo gani unalifanya kwenye maisha yako ambalo linakutoa mahali pamoja kwenda pengine? mfano biashara, kilimo, kazi nk. Hilo unalilifanya si sahihi ndiyo maana unaoneshwa kwamba hutoshi humo. Haijalishi wewe unaona upo sahihi kwa macho yako. Jitathimini kwenye eneo hilo huku ukiuomba Mungu akuoneshe jambo sahihi la kufanya wewe si kukopi kwa watu wengine.kuna kipindi nilikua naota kua nko kwenye gari ila hilo gari halinitoshi! yaani nikikaa hapanitoshi humo ndani, au wakati mwingine naota nkiwa ndani sioni mbele[emoji848] sometime naota niko helpless kiasi siwezi kuliendesha!
ndoto nyingine ni kua naota napaa, mwanzo nlikua naweza kuota nmepaa ila baada ya mda naanguka, sometime naota napaa mpaka juu zaidi! na kuna wakati naota napaa ila kuna mtu(kitu) kinanivuta! kama miezi mi2 iliyopita nkaota napaa ila navutwa nkatumia nguvu nyingi kugeuka kuona nani ananivuta, ila uso wake ulikua umefunikwa japo niliweza kung'amua ni mwanamke! nlipojaribu kuufunua sikua na nguvu kabisa!
mtarimbo
Si kweli ulichoandika. Soma Ufunuo 1:1-2. Yohane ndiye aliyeandika.Ufunuo hajulikani kaandika Nani , ni watu walishiba kiti moto wakaota ajabu ajabu