Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

Ndoto zinaweza kuwa zinaonesha mazingira yanayofanana lakini ujumbe ukawa upo tofauti. Kwa mfano hiyo ndoto kama ukiwa na usikivu mzuri wa rohoni utagundua msisitizo upo kwenye lile neno "Kelele za wenzangu zisema nje ni hatari Kuna wadudu na wanyama, ingia ndani huku"

Halafu kama ni msomaji wa biblia utagundua neno hilo limetoka kwenye Ufunuo 22:15 "Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya."

Halafu mengine kwenye hiyo ndoto yanajazilizia ujumbe kwamba atoke kule nje ambako kuna wadudu nk
Labda umeogopa kwa sababu nimezungumzia mtumishi ambaye si sahihi.
Soma

Mt 7:15 "Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali."

 
Si kweli ulichoandika. Soma Ufunuo 1:1-2. Yohane ndiye aliyeandika.

Si kweli ulichoandika. Soma Ufunuo 1:1-2. Yohane ndiye aliyeandika.

Tukuamini wewe au walioziandika hizo biblia tunazozisoma ????

Soma biblia zilivyoandika

The Book of Revelation:


"The author of the book calls himself John, who because of his Christian faith has been exiled to the rocky island of Patmos, a Roman penal colony. Although he never claims to be John the apostle, he was so identified by several of the early church Fathers, including Justin, Irenaeus, Clement of Alexandria, Terullian, Cyprian, and Hippolytus. This identification, however, was denied by other Fathers, including Denis of Alexandria, Eusebius of Caesarea, Cyril of Jerusalem, Gregory Nazianzen, and John Chrysostom. Indeed, vocabulary, grammar, and style make it doubtful that the book could have been put into its present form by the same persons responsible for the fourth gospel.

(The New American Bible, ISBN: 978-0-529-06484-4, Page 1373)"


"Four times the author identifies himself as John (1:1,4,9; 22:8).....In the third century, however, an African bishop named Dionysius compared the language, style and thought of the Apocalypse (Revelation) with that of the other writings of John and decided that the book could not been written by the apostle of John. He suggested that the author was a certain John the Presbyter, whose name appears elsewhere in ancient writings. Although many today follow Dionysius in his view of authorship, the external evidence seems overwhelmingly supportive of the traditional view.

(From the NIV Bible Commentary [1], page 1922)"


Again, we don't know who wrote the Book of Revelation.

It is certainly highly doubtful that it was written by Apostle John.

The Theologians and Historians of the NIV Bible seem to agree with the invalidity of this book from the above quote.

So are you now going to consider the other John's words as the Words and Inspirations of GOD Almighty?


As we see, the style of writing in the book of Revelation is different from the books that are believed to be from John which are the Gospel of John, 1 John, 2 John and 3 John.

The book of Revelation's style seems to be closer to John the Presbyter's writings.

This man is known in ancient writings.

There are also many Christian theologians today that hold the same view about the falsety of the book of Revelation.


Isn't this sufficient enough to prove that the book is doubtful?


Notice that in the sections of "Gospel of John" and "Gospels of 1, 2 & 3 John" above, the author did not identify himself and it was ASSUMED without actual proofs that it was Saint John who wrote them. Notice how they said that if he were to identify himself, then it would be hard for them to explain it.


Now, notice the author in the Book of Revelation does identify himself as John, but he has a complete different language and style of writing from the other books, which created much uncertainty about its validity in the Church.


My questions here are:

Who wrote the Books?

And is or is not Saint John supposed to identify himself in his books?

And where are his books that have his name on them?


Again, keep in mind that the NT was not even documented on paper until 150 to 300 years after

Jesus (depending on what Christian you talk to).

So the dating is way too long for us to be assuming books to belong to certain people.

Let alone considering their nonsense (contents) as the True Living Words of GOD Almighty.
 
Mkuu naomba unisaidie ndoto yangu hii Mimi nimeota natapika na nikaja kuota viatu vyangu vimekatika nikanunua viatu vingine Ina maana Gani hii
 
Mkuu naomba unisaidie ndoto yangu hii Mimi nimeota natapika na nikaja kuota viatu vyangu vimekatika nikanunua viatu vingine Ina maana Gani hii
1. Ulikuwa unatapika wapi?
Lakini maana moja wapo ya kutapika ni kuongea vitu visivyofaa (Mithali 26:11 na Isaya 28:8-9)- Angalia ni vitu gani huwa unaongea?
2. Viatu kibiblia ni mikakati ya kufanya jambo unalotaka kulifanya. Miguu yako inapopata viatu vipya unakuwa umepewa mipango mikakati itakayokusaidia kutekeleza wazo ulilo nalo. Angalia katika mawazo uliyokuwa nayo je kuna wazo unmepata mipango mikakati ya kutekeleza?
*Kutoka 3:5- Mungu alimwambia Musa avuae viatu vyake akiwa anamaana ya aache mipango yake aliyonayo moyoni mwake ili Mungu apate nafasi ya kuweka mipango ya kwake kwenye moyo wa Musa.
Kutoka 12:11- Anatuonesha kitu kimojawapo ambacho mtu anatakiwa kuwa nacho kabla hajaanza safari ya kufanya jambo ni viatu miguu yaani mipango.
 
Rafiki yangu ameota akiwa masomoni India.

Lakini alivyoamka asubuhi amejikuta yupo nyumbani kwake, akajiandaa kwenda kazini kama kawaida.

Baadae alipigia simu kunieleza na kuniuliza nini tafsiri yake? Kiukweli, sina elimu, nikamwambia tuendelee kuuliza wajuvi wa mambo haya.

Sasa mtaalamu, naomba unisaidie kwa mtazamo wake, nini tafsiri ya ndoto hii ya rafiki yangu?

Natanguliza shukrani.
 
Mkuu Nina ndoto kadhaa zimekuwa zikinitafakarisha sana
Na zina miaka kadhaa lakini bado nazikumbuka hadi Leo na Kila nkikumbuka Kuna Hali Fulani nafeel

1: Niliota Niko mahali pa wazi na hadi location yenyewe naijua maana ni njia yangu nilikuwa napita mara nyingi lakini nilipokuwa hapo zikawa zinalia sauti kma za talumbeta na nikaona watu wengi wamevaa suti na walikuwa ni wachungaji maaskofu na viongozi mbalimbali wa dini ya kikristo wako mbele yangu makundi Kwa makundi nilipokuwa nikiwatafakari nikasikia sauti masikioni mwangu ikiniambia hao wote unaowaona tegemeo lao ni wewe ndio unatakiwa kuwaongoza nn Cha kufanya ,hii ndoto maana yake ni nn na nmeiota Miaka 3 iliyopita nmeiandika kwenye diary yangu

2: Nimeota nipo ndani ya jengo Fulani na Kwa muktadha wa lile jengo ni ofisi za usalama wa taifa ,kitu ambacho tulikuwa tunajadiri mule ni kwamba wameniita Kuna kazi wanataka kunipa lakini haijawekwa wazi ni kazi Gani . Hii maana yake ni nini?

3:Nimekuwa nikiota zaidi ya mara 3 nipo mahali natembea nikitazama juu naona ndege (aeroplane) kubwa inataka kudondoka na naiona kabisa inayumba yumba hatimae inadondoka mbele yangu nikiishuhudia, na nmeiota ndoto hii zaidi ya mara 3 Kwa majira tofauti.

Hizi ndoto tafsiri zake inaweza ikawa ni nini? Karibu mkuu
 
Mkuu habari yako, pole na majukumu.
Nina ndoto mbili
1) Hii huwa naota mara nyingi tangu nikiwa mdogo hadi Leo ( Kuota nikiwa sionekani kwa watu wengine hasahasa kwa watu wanaotaka kunifanyia ubaya mfano kunipiga, kuniua, kunikamata etc na ikitokea nimekamatwa kabla hawajanifanyia chochote hawanioni ila mimi nawaona kama kawaida halafu naondoka)
2) Hii nimeota mara moja tu ( Niliota kuna chemchem ya maji masafi imeanzia chini kwenda juu angani, na maji yalikuwa yanatiririki kutoka chini kuelekea juu angani na mda huo mimi nilijiona nikiwa nimesimama angani nimebebwa na hiyo chemchem itokayo chini, ikaenda mbali sana ikiwa imenibeba mwisho wake nikajikuta nipo ufukweni mwa bahari ambapo niliona watu weupe(wazungu) pekee wamekaa wakistarehe kwa amani kabisa.
 
binafsi nikiota mbwa wamenizunguka au wanataka kuning'ata, maana yake huwa ni roho za uzinzi zitanifuata muda si mrefu aither siku inayofuata. na mara zote nikioteshwa hivi keshi yake huwa napambana mno na tamaa ya uzinzi na maroho ya uzinzi. mara wanawake wakufuate fuate kimahaba na wakikuwekea mitego na hali ya hewa inakuwa ya roho ya uzinzi/tamaa za uzinzi. hapo Mungu huwa anakuwa amenionya niwe makini. almost every time I dream of this, huwa kesho yake najua kitakachoendelea. ndoto zingine nikiota huwa nahisi moyoni kama sauti inanitafsiria tena ya uhakika hadi najua nini maana yake. Mungu ni mwema sana.
 
Mimi niliota hivi;
Nipo na boss wangu, yeye anaendesha baiskeli (kwa mwendo mdogo) na mimi natembea nyuma ya hiyo baiskeli ni kama tunaonge hivi lkn yeye yupo mbele anaendesha n mimi natembea.
Kuna mahali tulifika kuna daraja linapita juu ya mto, yule boss wangu akiwa anaendesha baiskeli yake akakosea na kuingia kule mtoni, yaan alianguka kwenye maji. Mimi nikakimbia na kumuokoa kutoka kwenye maji na nikamuweka kando ya mto kule kule chini nikawa nampa pole. Ndoto ikaisha...
 
Kuwa masomoni ni kitendo cha kujifunza.
Pia asiangalie tu kuwa masomoni halafu akalenga kwenda kusoma darasani kama tunavyojua wanadamu bali Mungu anaweza kumuambia kwa picha hiyo kwamba "Mazingira anayopitia ni shule kwake " nikimaanisha muotaji wa ndoto hiyo.
Hivyo aangalie kuna vitu gani vinamzunguka muda huu au baada ya hapo ambavyo vinamfanya kutafakari au kuwa na maswali mengi.
Kuwa India kimasomo inaweza kuwa na maana ya kiwango cha mafunzo anayoyapata ni kikubwa kuliko kiwango cha mafunzo yanayotolewa mahali alipo au aliyoyazoea.
 
Hii ni ndoto yenye kuashiria matamanio ya ndani aliyo nayo mtu katika nafsi yake juu ya kufanikiwa katika jambo fulani asilolitarajia katika uhalisia kama lawezekana
 
Mkuu naomba unisaidie ndoto yangu hii Mimi nimeota natapika na nikaja kuota viatu vyangu vimekatika nikanunua viatu vingine Ina maana Gani hii
Uta- experience maovu ila utajitwalia usalama wako tena nakujitakasa.
 

Ni wito wa kiroho unaokutaka ujitambue na usimame katika njia sahihi yenye manufaa kwa wengine. Chagua hatima kama bado hujafanya hivyo na ifuate kikamilifu.
 
Ni ndoto yenye kuashiria ulinzi mwema na usalama wa nafsi yako (kwa kadri ya imani yako) lakini pia zingatia utulivu katika hisia zako maana ni muhimu katika kuarchive furaha yako.
 
Achana na "ulimwengu wa wafu wanaokokotana" kwa nini uongozwe na kipofu? Bila shaka utachelewa kuyafikia matarajio yako kwa kuacha hatima yako mikononi mwa wengine.

Simama imara pambania hatima ya maisha yako mwenyewe ukiwa mstari wa mbele na kamwe usidhani kuna mtu unapaswa kumfuata au kumtegemea "Simama jipambanie"
 

Una hisia za upendo bado kwa mwenza wako huyo na ana thamani kubwa kwako ni kama kitu unachokijali sana na huwezi taka kukiona kikiondoshwa maishani mwako (pikipiki) pamoja na usaliti (wizi) ruhusu msamaha uyazike yote katika kaburi la sahau.
 
Una hisia za upendo bado kwa mwenza wako huyo na ana thamani kubwa kwako ni kama kitu unachokijali sana na huwezi taka kukiona kikiondoshwa maishani mwako (pikipiki) pamoja na usaliti (wizi) ruhusu msamaha uyazike yote katika kaburi la sahau.
Unatoa ushauri au unatafsiri ndoto????????
Unajua sisi waafrika niwapuuzi sana nikiwemo namimi, ivi fikiria, kuna mtu anakutafsria ndoto yako.[emoji849] kwamba huyo mtu unaemtafsiria hajui maana ya ndoto? Yaani hajui ndoto ni nini?
 
Nimekuwa nikiota maranying naogelea kwenye bwawa la maji na katika kuogelea napendelea kwenye kina kirefu ,naomba unitafsirie hii ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…